Mashabiki Wa Radio Kaya

  • Home
  • Mashabiki Wa Radio Kaya

Mashabiki  Wa Radio Kaya Original mashabiki wa radio Kaya page

15/05/2024
Idara ya utabiri wa hali ya hewa KMD imesema kuwa mvua kubwa inatarajiwa kunyesha nchini, katika kipindi cha siku tatu z...
02/04/2024

Idara ya utabiri wa hali ya hewa KMD imesema kuwa mvua kubwa inatarajiwa kunyesha nchini, katika kipindi cha siku tatu zijazo. Kuanzia hii leo mkoa wa Nyanza, Rift Valley, Nairobi, mkoa wa Pwani na Kaskazini mwa Kenya mvua kubwa itanyesha kuanzia leo hadi siku ya Jumatano, wakenya wakitakiwa kuwa makini kwani mvua hiyo italeta mafuriko sehemu mbali mbali nchini.
The heavy rainfall is likely to be accompanied by gusty winds

Maraisi wa Senegal tangu uhuru wake
28/03/2024

Maraisi wa Senegal tangu uhuru wake

Kampuni ya Booyoung Group ya Korea Kusini imeahidi kulipa wafanyikazi  $75,000 kwa kila mtoto atakayezaliwa, ili kusaidi...
28/03/2024

Kampuni ya Booyoung Group ya Korea Kusini imeahidi kulipa wafanyikazi $75,000 kwa kila mtoto atakayezaliwa, ili kusaidia kuinua kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini humo.

Wanufaika ni pamoja na wanaume na wanawake.

Je vipi k**a utaratibu huu ukija nchini kwako, utapanga kupata watoto wangapi?

Joshua Karianjahi Waiganjo ambaye aligonga vichwa vya habari miaka 11 iliyopita, baada ya kuk**atwa na kushtakiwa kwa ma...
28/03/2024

Joshua Karianjahi Waiganjo ambaye aligonga vichwa vya habari miaka 11 iliyopita, baada ya kuk**atwa na kushtakiwa kwa makosa ya kujifanya afisa mkuu wa polisi, sasa yuko huru. Waiganjo amejipata huru baada ya mahak**a ya Naivasha kumuondolea mashtaka yote, ikiwa ni pamoja na mashtaka matano ya kujifanya kuwa afisa wa polisi, na hata kuvalia sare za polisi.

🔔 Discover the History of Kengeleni Bell Tower! 🔔Did you know that nestled at the junction of Mombasa-Malindi and Fidel ...
24/03/2024

🔔 Discover the History of Kengeleni Bell Tower! 🔔

Did you know that nestled at the junction of Mombasa-Malindi and Fidel Odinga roads lies a remarkable piece of history? The iconic Kengeleni Bell Tower stands proudly on a quarter of an acre, serving not only as a landmark but also as a significant tourist attraction.

But what's the story behind this historic bell tower, you ask? Dating back to the 1870s, this tower holds more than just architectural beauty—it holds tales of resilience and vigilance. The 300kg copper bell adorning the tower was more than just a decorative piece; it was a lifeline for the locals.

During those tumultuous times, when Arab slave ships lurked off the coast of Mombasa, the bell served a vital purpose. Its resonating chimes would sound warnings, echoing across the land, alerting the community to the imminent danger of approaching slave traders. It stood as a beacon of hope, a symbol of defiance against the inhumanity of the Arab slave trade.

Today, as visitors stand in awe of the Kengeleni Bell Tower, they are reminded of the resilience of the people who once called this land home. It stands as a testament to their courage and strength in the face of adversity—a reminder of the importance of preserving our history for generations to come.

So next time you find yourself in the vibrant streets of Kengeleni, take a moment to pause and admire the towering presence of the bell—a silent guardian with a voice that once echoed across the seas, protecting the shores of Mombasa Island. 🌟

11/03/2024
07/03/2024

It has been noticed of late that invisible pornographic videos are published in people's profiles, without their knowledge. The owner of the page doesn't see them, but the others do, as if it were an authentic publication that you had made! They post their comments as if they were you... Please, if something as such happens on my page, notify me immediately. Out of respect for EVERYONE, as well as my own integrity, I distance myself from such publications. Copy and paste on your page. It is time for this phenomenon to stop. THANK YOU.

03/03/2024

DARASA HALIFAI

MWALIMU ANAULIZA SWALI VIZURI

HOW MANY TYPES OF LAND DO WE HAVE?

STEVE ... we have three types of land sir.

1) Land rover.

2) Landcruser

3) Landloard


Sasa ikiwa ni wewe ndo mwalimu wa English unanfanya nini steve.

VOLUME IKO SAWA AMA NIONGEZE😁😂🤣😃🤣
02/03/2024

VOLUME IKO SAWA AMA NIONGEZE😁😂🤣😃🤣

UMEJIFUNZA NINI?
02/03/2024

UMEJIFUNZA NINI?

ACHA MZEE AJIPE RAHA
01/03/2024

ACHA MZEE AJIPE RAHA

A T I        N I N I
01/03/2024

A T I N I N I

LAZIMA PHANUKE PHAPHA RERO😂🤣😂🤣
29/02/2024

LAZIMA PHANUKE PHAPHA RERO😂🤣😂🤣

🤣😂🤣😂MAJIRANI HOYEEE🤣😂🤣
24/02/2024

🤣😂🤣😂MAJIRANI HOYEEE🤣😂🤣

Angekua mweupe mungesema ni mchina sasa mtasema ni mkabila gani
23/02/2024

Angekua mweupe mungesema ni mchina sasa mtasema ni mkabila gani

😂🤣🤣 ULITUMIA HII NA HUJAOA WALA KUOLEWA😂🤣😂🤣       UTA DO?
22/02/2024

😂🤣🤣 ULITUMIA HII NA HUJAOA WALA KUOLEWA😂🤣😂🤣

UTA DO?

WOW, RIMINDS US OUR CULTURE AND HERITAGE
19/02/2024

WOW, RIMINDS US OUR CULTURE AND HERITAGE

IS IT TRUE?
19/02/2024

IS IT TRUE?

UMEJIFUNZA NINI?
19/02/2024

UMEJIFUNZA NINI?

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashabiki Wa Radio Kaya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share