09/07/2023
Nilikuwa naulizaaa,,,hii group hatuwezi 😏kui-change iwe Sacco.....🤣then tununue magari🚚🚛yetu mazuri,ma-basi na Bodaboda 🏍️🏍️zituletee faida.Then hiyo faida tununue nayo meli🛳️🛳️nyingi za kusafirisha mafuta🤔na makonteina kutoka🤪bara ulaya na Asia...Na ifike hata🤣hata tukipata faida kubwa 😋😎tumnunulie kila member wa hii group 🤔🤔ndege🚅🚝yake halafu tumjengee na magorofa🏬🏬.
Hii idea mnaionaje???
Nimeileta kwa hii group juu hizo group zingine naona hazina future 🤣🤣
Sijavuta bangi kabisa victor Ke......
Follow victor navin