16/01/2024
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟕𝐓𝐇 𝐉𝐀𝐍
Weka like tulale na 2k likes wakuu
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Huh! Imelia na yeye,hajazoea maisha ya ghetto,aliamua kuenda kuchota maji,lakini kuleta,mtungi iko na maji nusu,hadi Becky akauliza mum,kwani maji imeisha? Imelia akamwambia nimeenda kuchota maji nikapata wamama wanabishania,nikawaambia watulie tuchote kwa utaratibu,lakini walimfukuza,wakamwambia aishie ju hata hawamjui. Wueh, Imelia kuona ile vujo,aliamua kurudi tu bila maji. Kumbuka walikatiwa maji kwa nyumba yao plus na stima😢😢😢
Upande wa Moses Jabulani,the mubabaz,ashaamka yafaa aende kusort mambo ya kina Lexy,akauliza Trisha k**a chai iko ready but Trisha amenuna kununa,akauliza Moses, uko sure mimi ni wa maana kweli? Moses akamuuliza mbona? Trisha akamwambia si unaona unataka kutoka uende kusort issue za akina Lexy huko,hata hujai nipeleka out unaconcern tu na watu wengine. Moses akaona enyewe hapa bae wake anasema kweli,akacancel safari ya kuenda kusort issue ya Lexy akaamua kubaki na Trisha. Women😂😂😂
Lexy alikuja jikoni akauliza Moh,jana ulikua unalia,shida ni nini? Moh akadanganya Lexy,akamwambia nilikua nalia ju nilipata news kuwa rafiki yangu amekufa. Lexy akamwambia naeza kupea off uende mazishi but Moh akamwambia ashazikwa already hata afkado za Nandwa zimeisha haina haja niende. Moh hakutaka kuambia Lexy whats eating her,chenye kinamkula.
Imelia ashatoka already,on her way kuenda kuonana na Lexy. Alipigiwa simu na Moses akamwambia Imelia,unaonaje twende kesho ju leo niko na shughuli? Imelia akamwambia usijali,hata mimi nishafika let me handle it nitakuambia venye kutaenda. Ilikua wakuje wawili huku but Moses akahadaiwa na Trisha akacance.
Lexy ako kwa balcon hapo juu na Tito wanapitia paper fulani,kisha Lexy akamuona mamake,akaambia Tito si nilikuambia madhe atanimiss arudi? Ndo huyu ashafika. Lexy akajifanya na furaha sana hadi akaambia mamake,nipe hug lakini mamake alimwambia shindwe, nimekuja hapa kukuambia uachane na Becky kabisa,ujinga wa kutumia landlord uache na ukome venye ulicome hili langu,hata ungezaliwa slippers uende ukae huko kwa lodging ukikanyagwa na waganga,aah I meam wanaume. Lexy akamuuliza what if umeamua kujenga jasho ya kuiba mali yangu? Kumbe Becky alimfuata Imelia,akaambia Lexy sikiza, sina haja na mali yako sawa. Lexy akawauliza,kwani mumekuja jeshi mzima? Becky akamwambia relax Lexy, wenye walifanya ukaenda streets na wenye walifanya mamako akachizi,si sisi,na ningekua wewe singefukuza mamangu umesikia? Mimi hapa nilipoteza mamangu,na aliniambia kitu moja kabla akufe,mzazi anaeza kuwa the worst animal on earth akiwa uhai,but the moment atakufa k**a hamjasolve issues zenu,hutawai pata amani hata kidogo. Just imagine venye Becky amesema reality lakini Lexy alianza kucheka,akaambia Becky sikiza pastor Becky, nilikua nimefurahi kuona mamangu nikidhani anarudi huku but naona ameamua kusight na wewe,so please tokeni. Imelia alianza kulia,akauliza Lexy,mbona usifanye the right thing? Lexy alimwambia right thing nitafanya wakati utaamua kukaa na mimi. Moh alikua hapo,akawaambia haya,hamsikii mdosi wangu amesema muende? Tokeni bna. Becky aliambia Moh,hii decision unamake kusight na Lexy,utaregret. Sanchez ndio anashangaa venye Lexy anatreat mamake hadi akaangalia Tito,nduguu,ni hivyo sindio?😂😂😂
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Lexy walirudi kwa hao,akaambia Tito,usiworry na msee k**a Becky,yeye ni msee ako down anatry kukuchocha,lakini Tito hayuko sawa. Moh alikuja akawaambia ashawafukuza na ashaambia soldier wasiwai ingia. Lexy ako happy hadi akasema wasee si tuchape sherehe sasa? Tukunywe kiasi. Moh akaendea glasses but Tito akaambia Lexy,sitaweza kunywa,Lexy akamwambia relax,kunywa kadogo. Sanchez pia alikua hapo,yani wako forced kusherehekea😂😂ju Tito na Sanchez hawako rada na hizi tabia za Lexy but ju yeye ndio sonko wao,inabidi.
Wakati hao wanasherehekea,huku kwa barabara,Imelia ni kulia tu. Becky yuko hapo kumpebeleza tu wakati mtoto wake anachapa sherehe kwa kumfukuza kwa mansion. Hivi ndio watu hucreate laana wao wenyewe.
Wakati Becky wamefika nyumbani,akachukua mtungi aendee maji,lakini imelia akamwambia wait,si Junior huwa anauza maji,acha tumpigie atuletee. Imelia akamcall Junior akamwambia tuletee maji hapa. Junior akamwambia good,hata siko mbali,niko in vicinity.
Imelia anashangaa sana mbona Moh anasight na Lexy. Becky akamwambia usijali,achana na huyo. Punde si punde,Landlord akafika,akaambia Becky sikiza, kesho kesho nisikupate hapa,utafute kwenye utaenda,kumbe wakati Landlord anasema,Junior wa Maji ndio pia amefika,akaambia Landlord sikiza,sijui mnaulizana nini ama mlianzia wapi issue yenu,lakini chenye najua ni hakuna pahali Becky anaenda😂😂😂
Landlord akajua ooh,ile siku ukaita sister yako,na leo umeita huyu sindio? Becky alimwambia Landlord please please,hata nakupigia magoti,lakini wapi,Landlord alikataa. Junior! Junior Katana,kuona venye Becky amepiga magoti,na bado Landlord hataki kumsikia,alijam sasa,baaaasi. Nakuambia Landlord kalibebwa juu,kakafinyiliwa kwa mansion yake ya alluminium na Junior akamwambia sikiza, ukiendelea na huu ujinga,mimi na maboys wangu tutakuja kwako tukuchomee kwa ile nyumba yako,sawa! Landlord kuona hivyo,akamwambia bro aki mimi nimekua najoke tu,hata uliza Becky. Junior akamwambia na sasa nataka urudishe maji na stima mara moja. Landlord alitetemeka,akaanza kusweat socks,kisha wakati kaliachiliwa,kakatoka mbio hadi kwake😂😂😂hakuna maboys Junior anasema,ni kuogopesha tu Lanlord😂😂😂
Lexy na Moh wamekunywa wamelewa hadi wameanza tu kuongea vitu zao wakiimba nyimbo za walevi,lakini sasa,nik**a drama,nik**a video, all this time,Moh hajasight na Lexy ju yeye anakunywa yes but hakunywi ya kulewa,ju hata ukiona Lexy akicheka, Moh anamuangalia na macho ya dharau sana. Damu ni nzito kuliko pombe,hakuna venye Moh anaeza sight na Lexy kuumiza Becky ni Lexy amekua fooled na maneno ya Moh,hii sasa ndio inabamba😂😂