Moureen Koech

  • Home
  • Moureen Koech

Moureen Koech This is a fun hypothetical page , exploring how one can react in various situations,have fun!😂😂

24/07/2023

If you could choose your soulmate before you were born, who would it be?

22/07/2023

If you could only eat one kind of food for the rest of your life, what would it be? 🤔🤔🤔😆

20/07/2023

If you could meet any politician in the world, who would it be and why?

19/07/2023

If Your country was a student in University, which Course would it get A in?

Sad news as the content creator and man united fan Shosh wa Kinangop passes.
04/06/2023

Sad news as the content creator and man united fan Shosh wa Kinangop passes.



Sometimes the bad things that happen in our lives put us directly to the best things that will ever happen in life.Live ...
03/06/2023

Sometimes the bad things that happen in our lives put us directly to the best things that will ever happen in life.Live the life you love💥💥

https://optylaxmedia.com/



Ngoma Music Centre is a music school located in Buxton, Mombasa. It was established in 2011 and offers a wide array of m...
02/06/2023

Ngoma Music Centre is a music school located in Buxton, Mombasa. It was established in 2011 and offers a wide array of music practices ranging from vocal trainings to different musical instruments for people from the age of 3-80 years.




Founder Dancan Masila and a student during a guiter class. Ngoma Music Centre is a music school located in Buxton, Mombasa. It was established in 2011 and offers a wide array of music practices ranging from vocal trainings to different musical instruments for people from the age of 3-80 years. The s...

“Our founders got it right when they wrote in the Declaration of Independence that our rights come from nature and natur...
01/06/2023

“Our founders got it right when they wrote in the Declaration of Independence that our rights come from nature and nature's God, not from government ..."

Happy Madaraka day



30/05/2023

Upinzani dhidi ya mswada wa fedha 2023,umekuwa ukiongezeka .Je, maoni yako ni yepi kuhusiana na mswada huo?

Zungumza nami...

Nashukuru Maulana kwa kuimarisha afya yangu,kuniwezesha kufika siku ya kuzaliwa kwangu, Kazawadiwa mwaka moja zaidi!Heri...
24/05/2023

Nashukuru Maulana kwa kuimarisha afya yangu,kuniwezesha kufika siku ya kuzaliwa kwangu, Kazawadiwa mwaka moja zaidi!

Heri ya Kuzaliwa kwangu🎊🎊🎊🎊🎊🎉


Cooperative bank conference with sacco CEOs addressing key issues on Entrepreneurship,Startups and SMEs.
11/05/2023

Cooperative bank conference with sacco CEOs addressing key issues on Entrepreneurship,Startups and SMEs.


Hongera  Emmanuel kwa kazi yako mpya.Hakika, tutatimiza ndoto 🙏🙏
30/04/2023

Hongera Emmanuel kwa kazi yako mpya.

Hakika, tutatimiza ndoto 🙏🙏


mkutano wa wakuu wa shule za sekondari ( KESSHA) kutoka kaunti ya Kirinyanga ,  unaendelea mjini mombasa...
24/04/2023

mkutano wa wakuu wa shule za sekondari ( KESSHA) kutoka kaunti ya Kirinyanga , unaendelea mjini mombasa...




Je wajua shule ya mwanao vyema??
22/04/2023

Je wajua shule ya mwanao vyema??



Victoria Musyoka - Director VOK Township Academy. Valley of Knowledge Township Academy has a unique and long-standing reputation in and out of the school. Dubbed as 'V.O.K Township', the school has an outstanding cultural diversity, academic, creative and sporting prowess which aims at growing the l...

Eid Mubarak to all my Muslim brothers and sisters...
21/04/2023

Eid Mubarak to all my Muslim brothers and sisters...

Makamu Chansela wa Chuo Kikuu Cha Kenyatta,  Paul Wainaina asubuhi ya leo amerejea chuoni akiandamana   na wanafunzi tak...
03/11/2022

Makamu Chansela wa Chuo Kikuu Cha Kenyatta, Paul Wainaina asubuhi ya leo amerejea chuoni akiandamana na wanafunzi takriban 100 ili kurudisha wadhifa wake.

Wanaina Alifutwa kazi mwezi Julai lakini akapata amri ya kusimamisha kufutwa kwake.

Kurejea kwake kunakuja baada ya baraza lililomfuta kazi kujiuzulu mapema wiki hii. Maamuzi ya baraza hilo yametenguliwa na baraza jipya.

Waziri mteule Wizara ya Mazingira na Misitu, Roselinda Soipan Tuya amebaini kuwa thamani yake ni Sh156 milioni.Aliliambi...
19/10/2022

Waziri mteule Wizara ya Mazingira na Misitu, Roselinda Soipan Tuya amebaini kuwa thamani yake ni Sh156 milioni.

Aliliambia Bunge la Kitaifa Jumatano kwamba thamani yake inajumuisha kwa kiasi kikubwa mali zisizohamishika k**a vile nyumba.

"Nina nyumba tatu, moja Nairobi, Narok na kijiji changu na magari. Nina vyumba Narok na moja Nairobi.
Sehemu mbili za ardhi Kitengela na pia biashara ya maziwa," Tuya alifichua.

Pia anasema hisa kutoka kwa chama cha ushirika cha bunge ni sehemu ya thamani yake.

Naibu Rais Rigathi Gachagua ameondoka nchini kwa safari yake ya kwanza nje ya nchi. Gachagua aliondoka nchini kuelekea K...
13/10/2022

Naibu Rais Rigathi Gachagua ameondoka nchini kwa safari yake ya kwanza nje ya nchi.

Gachagua aliondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda siku ya Alhamisi asubuhi ambapo ataipamba kongamano la Youth Connect Africa Summit.

Aliandamana na wabunge wengine akiwemo mwakilishi wa wanawake Kaunti ya Bomet Linet Chepkorir almaarufu Toto.

Elon musk amezua gumzo mitandaoni baada ya kuzindua bidhaa mpya ya manukato ya ' Burnt Hair'.  Kupitia mtandao wa twitte...
12/10/2022

Elon musk amezua gumzo mitandaoni baada ya kuzindua bidhaa mpya ya manukato ya ' Burnt Hair'.

Kupitia mtandao wa twitter tarehe 11 Oktoba, mjasiriamali huyo alitangaza mradi mpya wa biashara pamoja na kampuni zake za SpaceX na Tesla- Manukato ya ‘’Burnt Hair’’.

Bidhaa anayoitaja k**a "Harufu Bora Zaidi Duniani". Musk alizidi kushangaza wengi kwa kusasisha wasifu wake wa twitter k**a "Perfume Salesman".

Musk zaidi alitoa ufahamu wa kina juu ya sababu ya kuzinduliwa kwa bidhaa mpya na chapa yake, The Boring company.

"Kwa jina k**a langu, kuingia kwenye biashara ya manukato hakuepukiki. Mbona hata nilipigana kwa muda mrefu hivyo?’’ aliandika.

Tovuti ya Kampuni ya Boring inajumuisha picha ya chupa ya glasi nyekundu yenye herufi za ‘Burnt Hair' na ‘Singed’ iliyoandikwa kwa herufi nzito. Juu ya tovuti, harufu inasemekana kuwa chenye "Kiini cha Tamaa ya kuchukiza". Chini ya tovuti ilikuwa na maneno yafuatayo; "K**a tu kuegemea mshumaa kwenye meza ya chakula cha jioni, lakini bila kazi ngumu," “Simama kwenye umati! Jitambue unapopitia uwanja wa ndege.”

Musk aliisifu zaidi bidhaa hiyo akisema ni bidhaa ya jinsia zote. Kwa kila chupa bei yake ni $100. Mtu anaweza kununua manukato kwa njia yoyote ikijumuisha cryptocurrency na pia Doge, Musk alisema.

Bilionea huyo baadaye kupitia ujumbe wa twitter alisema kuwa hadi sasa, chupa 10,000 za manukato hayo zimeuzwa.

12/10/2022

Wagombea wa nafasi za kazi za Katibu Mkuu (PS) wana matumaini kwamba watu watakaochaguliwa kushika nafasi hizo watakuwa wataalamu pasi na misimamo yao ya kisiasa .

Wakizungumza baada ya kuhojiwa na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) Jumatano, watahiniwa hao walisema wanaamini Wakenya wote wanaohitimu kupata kazi hizo wana nafasi ya kuchaguliwa.

Tume ilipanga wagombea 59 kwa ajili ya kuhojiwa katika siku ya kwanza ya usaili, zoezi ambalo litamalizika Oktoba 22.

Majopo matano yaliundwa kuwahoji watahiniwa 477 katika vipindi vya dakika 30.

Rais William Ruto ametupilia mbali uamuzi wa mahak**a dhidi ya azma ya serikali ya kuongeza makato ya NSSF. Mahak**a ya ...
11/10/2022

Rais William Ruto ametupilia mbali uamuzi wa mahak**a dhidi ya azma ya serikali ya kuongeza makato ya NSSF.

Mahak**a ya Kazi na Mahusiano ya Ajira ilikuwa imetangaza zabuni hiyo kuwa kinyume na katiba.

Mahak**a ilisema Sheria ya NSSF, 2013, inakiuka Katiba kwa kuwa hakukuwa na ushiriki wa wananchi kabla ya kupitishwa kwake.

Hata hivyo, Jumanne, Ruto alisema kwamba Wakenya lazima waendeshe ajenda ya kuokoa ya NSSF. "Watu wengi kwenye orodha ya NSSF wanalipa Sh200, ni ujinga. Tumetoka tu kupata uamuzi kutoka kortini wiki moja iliyopita kwamba ni makosa sisi kuongeza kutoka Sh200, sijui tunafanya nini. tunaishi nchi moja?" Ruto alisema.

Familia ya aliyekuwa mbunge wa Ainabkoi marehemu William Chepkut imeshukuru umma kwa maombi yao katika kipindi hiki cha ...
08/10/2022

Familia ya aliyekuwa mbunge wa Ainabkoi marehemu William Chepkut imeshukuru umma kwa maombi yao katika kipindi hiki cha maombolezo.

Katika taarifa iliyotumwa kwenye ukurasa wa Twitter wa marehemu, waliomba kuheshimiwa kwa faragha haswa wakati huu wa huzuni.

Chepkut aliaga dunia Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Mediheal hii ni baada ya kupambana na ugonjwa wa Figo kwa muda mrefu.

28/06/2022

Polisi mjini Nakuru wamewatia mbaroni washukiwa 128 katika msako unaoendelea dhidi ya genge la uhalifu la Confirmed.

Mkuu wa Mkoa wa Bonde la Ufa Maalim Mohamed alisema viongozi mbalimbali pia wamerekodi taarifa kuhusu madai yao ya kuhusishwa na kundi hilo la uhalifu.

"Uchunguzi unaendelea na tutahakikisha wamefikishwa mahak**ani," Maalim aliambia wanahabari mjini Nakuru.

Wanawake watano wameuawa katika eneo la Mawanga mjini Nakuru katika muda wa wiki mbili zilizopita.

Naibu Rais William Ruto ameelezea kibali chake cha kuwania kiti cha Urais  nchini kuwa dhihirisho kuu kwamba kila Mkenya...
04/06/2022

Naibu Rais William Ruto ameelezea kibali chake cha kuwania kiti cha Urais nchini kuwa dhihirisho kuu kwamba kila Mkenya bila kujali asili yake anaweza kuongoza nchi.

Alisema kuwania kwake ni ushindi kwa Wakenya wa kawaida ambao wamefanywa kuamini kwamba uongozi wa nchi ni hifadhi ya wasomi.

“Leo ni siku muhimu katika historia ya Kenya. Kila mama hata k**a ni maskini anaweza kuwa na uhakika kwamba siku moja mwanawe anaweza kuwa Rais wa Kenya,” Ruto alisema.

Alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wa Kenya Kwanza huko Kamukunji siku ya Jumamosi.

Mwenyekiti wa chama Cha  UDA Johnson Muthama Jumamosi aliidhinishwa na IEBC kuwania kiti cha ugavana Machakos. Shirika h...
04/06/2022

Mwenyekiti wa chama Cha UDA Johnson Muthama Jumamosi aliidhinishwa na IEBC kuwania kiti cha ugavana Machakos.

Shirika hilo la uchaguzi pia liliwaidhinisha aliyekuwa waziri Wavinya Ndeti na Naibu Gavana wa Machakos Francis Maliti kuwania kiti hicho.

Muthama aliwatupilia mbali baadhi ya wapinzani wake ambao walisema hataruhusiwa kuwania kwa kukosa karatasi zinazohitajika za masomo.

Msimamizi wa uchaguzi katika Kaunti ya Machakos Nelly Ilongo alisema Muthama alitimiza mahitaji yote yanayohitajika kwa wawaniaji ugavana inavyotakiwa na IEBC.

02/06/2022

Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amekubali nafasi ya Katibu wa Baraza la Mawaziri aliyopewa na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga.

"Kwa unyenyekevu, ninakubali kuteuliwa kwa nafasi ya waziri mkuu wakati Azimio itakapounda serikali. Ningependa kumpongeza Karua kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Azimio ," alisema.

Vile vile Kalonzo amesema kuwa atamuunga mkono mgombea Urais wa tiketi ya Muungano wa Azimio , Raila Odinga.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moureen Koech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share