ntanguligwa_jr

  • Home
  • ntanguligwa_jr

ntanguligwa_jr Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ntanguligwa_jr, Digital creator, .

"A unit is not better than its weekest member"
11/03/2023

"A unit is not better than its weekest member"

Whlist there are numerous methods for designingsoftware applications, they all stress the need to meet technical and fun...
14/01/2023

Whlist there are numerous methods for designing
software applications, they all stress the need to meet technical and functional requirements
for the software. It is equally important to consider the user requirements if the benefits
outlined above are to be realized. Human-centred design (HCD) is concerned with incorporating the user's perspective into the software development process in order to
achieve a usable system (Maguire, 2001).
Human centred design as adopted within the field of software development above and in line with stimulating Social behaviour change this time we used a debate to the question "Is one sexual partner enough?" to sensitize college youth from -shinyanga Kizumbi campus on HIV/AIDS, SRHR and GBV framing the key messages into their preferences and pre-mentioned ideas...

Matthew 13:54-58 "Coming to his hometown, he began teaching the people in their synagogue, and they were amazed. “Where ...
16/12/2022

Matthew 13:54-58 "Coming to his hometown, he began teaching the people in their synagogue, and they were amazed. “Where did this man get this wisdom and these miraculous powers?” they asked. “Isn’t this the carpenter’s son? Isn’t his mother’s name Mary, and aren’t his brothers James, Joseph, Simon and Judas? Aren’t all his sisters with us? Where then did this man get all these things?” And they took offense at him.
But Jesus said to them, “A prophet is not without honor except in his own town and in his own home.”
And he did not do many miracles there because of their lack of faith.
🤲Gospel of the Lord! Praise to you, Lord Jesus Christ.
CUAMMxAICS

World AIDS Day 2022 x
01/12/2022

World AIDS Day 2022 x

"International Girl Child"Teach your daughters how much it means to be a woman, and how capable of accomplishing the imp...
11/10/2022

"International Girl Child"
Teach your daughters how much it means to be a woman, and how capable of accomplishing the impossibles, they are....

"In the end dreams do come true"❤
25/08/2022

"In the end dreams do come true"

There are pictures that are clear but there are others that are both clear and loud...
16/11/2021

There are pictures that are clear but there are others that are both clear and loud...

   "Oh, my, my, How beautifulOh my beautiful mother, She told me, Son in life you're gonna go far, If you do it right, Y...
20/10/2021


"Oh, my, my, How beautiful
Oh my beautiful mother, She told me, Son in life you're gonna go far, If you do it right, You'll love where you are"
93 Million miles by
"Usinyayue mabega, ukinizingua tutazinguana"

Tuna imani na mama!

We live to create memories in life. Whilst this was happening a year ago, after a long difficult journey of medical scho...
06/10/2021

We live to create memories in life. Whilst this was happening a year ago, after a long difficult journey of medical school, I am still cherishing it a year later as one of the happiest days of life. A year later, now, treating patients with passion and affection, such a joy, living the Hippocratic oath section that says "I will remember that there is art to medicine as well as science, and that warmth, sympathy, and understanding may outweigh the surgeon's knife or the chemist's drug". To all the young generation, in life sometimes it may seem dark but the absence of light is a necessary part! I wish every one good health and positive life outcomes......"If I do not violate this oath, may I enjoy life and art, respected while I live and remembered with affection thereafter. May I always act so as to preserve the finest traditions of my calling and may I long experience the joy of healing those who seek my help."

Hatuna wasiwasi wowote kuwa wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya Chama cha Mapinduzi wanayoshauku kubwa na kushiriki h...
28/04/2021

Hatuna wasiwasi wowote kuwa wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya Chama cha Mapinduzi wanayoshauku kubwa na kushiriki historia hii kubwa ndani ya taifa hili na Afrika kwa ujumla. Nasi wanachama wa kawaida kabisa "wanyonge" tunaamini mtatuwakilisha vema katika kufanya maamuzi ya busara na sahihi sana ya kumsimika rasmi kuwa mwenyekiti wetu mpya wa CCM(T)...
"Tuna imani na mama si tu kwasababu mothers convert houses into homes, bali pia kwasababu KAZI INAENDELEA"
Tuna imaniiii na Samiaaaa, oyaaa oyaaa oyaaaa🎵🎶
Chama la wanaaaa
Cc:







Lengo la kubadilika uongozi huwa ni kufanya bora zaidi ya aliyepita because to get something you never had, you have to ...
09/04/2021

Lengo la kubadilika uongozi huwa ni kufanya bora zaidi ya aliyepita because to get something you never had, you have to do something you never did.

Kwenye muziki huwa tunasema "modulation brings new life to the song, otherwise its meaningless"!

Kila la kheri mama wa taifa hili la Tanzania. Tunakuombea mema, kheri, baraka, busara, uthubutu na ujasiri siyo tu wa kuendeleza mazuri yaliyofanywa na awamu zilizopita za serikali ya CCM, bali pia ya kuendelea kuionesha dunia kuwa wanawake ni jeshi kubwa takatifu na imara!

CCM oyeeeeeee.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania "Kazi iendelee" Rais wetu wa awamu ya Sita(6) na mwenyekiti wetu mtarajiwa wa (T).

Allah Akbar...

Happy doctors day... through him we treat and God heals! I wish everyone good health and positive life outcomes.
04/03/2021

Happy doctors day... through him we treat and God heals! I wish everyone good health and positive life outcomes.

05/02/2021


• • • • • •
Februari 5, CCM inaazimisha miaka 44 toka kuanzishwa kwake.

Tumekuletea video ya kikao cha kwanza cha halmashauri kuu ya taifa ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee mwaka 1977.

Mapinduzi daima mbele. CCM nambari wani😃

"Ofisi ya Kiongozi ni wananchi, siyo jengo!"Kila la kheri maRais wetu. Miaka mi5 ya kazi kubwa ya utekelezaji wa ilani b...
06/11/2020

"Ofisi ya Kiongozi ni wananchi, siyo jengo!"
Kila la kheri maRais wetu. Miaka mi5 ya kazi kubwa ya utekelezaji wa ilani bore zaidi hasa kwenye maendeleo ya watu wetu na taifa lote!
Hongereni kwa uapisho. Kazi iendelee bara na visiwani. CCM oyeeeee!

"Simba wa Maonesho hang'ati"~Wahenga.Tuwe tayari kuidai maendeleo CCM 2025 ya kishindo na nguvu, mara 3, 4 mpaka 5 zaidi...
30/10/2020

"Simba wa Maonesho hang'ati"
~Wahenga.
Tuwe tayari kuidai maendeleo CCM 2025 ya kishindo na nguvu, mara 3, 4 mpaka 5 zaidi ya sasa CCM ya watu na ya vitu. Hakika ni hakuna kulala sasa mpaka kieleweke. Tanzania ya kazi na kasi ya maendeleo... yanayokuja yanafurahisha! Hata ukinuna habari ndo hiyo. Chenchi hudaiwa baada ya safari👏🏾

Asanteni waTanzania kwa kuwakataa wanaotujaza hofu na kuchagua wanaotaka kutuletea maendeleo. Asanteni vijana wa vyuo vikuu sisi k**a taifa la wasomi wa kesho. Asanteni viongozi wa dini kwa kusimama kwenye maombi kipindi cha Corona Mungu akatuepusha na sasa amani na zaidi sana kuliombea taifa tufike tunakotaka kwenda. Asanteni wasanii waliowabeza na kuwadharau serikali ya CCM ikiahidi kuendelea kuboresha maslahi yetu na zaidi sana ufunguzi wetu wa Arena yetu ya kisasa kabisa hivi karibuni. Asanteni waandishi wa habari ambao wengine waliwabagua na kuwafukuza. Asanteni watumishi wa umma kwa uvumilivu wenu. Hali inaweza kuwa ngumu katika vipindi mbalimbali vya mpito lakini uvumilivu wenu ndo msingi mkubwa wa hatua zinazopigwa. K**a ilivyokuwa kwa mapinduzi ya viwanda ya ujerumani 1890-1914 baada ya Bismack kubana baadhi ya vitu vilivyoonekana ni mateso wakati huo lakini kuja kuwa neema tele badaye. Asanteni kwa imani yenu. Asanteni wazee, nyinyi ndo mnajua tulikotoka vizuri zaidi na mmeamini tunakokwenda. Asanteni walemavu, CCM k**a duniani pote inaamini Disability is not inability na kuendelea kuimarisha mazingira ya usawa na wezeshi. Asanteni wafanyabiashara na wawekezaji ambao kwa kodi zenu halali na uaminifu ndiyo engine ya maendeleo ya taifa. Asanteni wakulika kwakuwa nyinyi ndo mnatupa nguvu na afya ya kujenga taifa hili. Asanteni wajasiriamali, wao waliwahadaa na kuwatisha ila umeamua kwa sauti moja kuwakumbusha wahenga walisema njia ya muongo ni Fupi. Asanteni wanawake, nyinyi ndo chanzo cha uhai wa taifa na maadili mema. Nyinyi ndo chanzo cha wazalendo na viongozi shupavu mithili ya Dr John Pombe Joseph Magufuli. Asanteni vijana, sisi ndo kesho ya taifa, nguvu kazi ya taifa na wanamapinduzi.
Tunaitakia CCM kila la kheri kurudisha fadhila ya imani kubwa ya waTanzania!

"One small lie is okay for exposing a big truth"~Wahenga.Tuwe tayari kuidai maendeleo CCM 2025 ya kishindo na nguvu, mar...
30/10/2020

"One small lie is okay for exposing a big truth"
~Wahenga.
Tuwe tayari kuidai maendeleo CCM 2025 ya kishindo na nguvu, mara 3, 4 mpaka 5 zaidi ya sasa CCM ya watu na ya vitu. Hakika ni hakuna kulala sasa mpaka kieleweke. Tanzania ya kazi na kasi ya maendeleo... yanayokuja yanafurahisha! Hata ukinuna habari ndo hiyo. Chenchi hudaiwa baada ya safari👏🏾

Asanteni waTanzania kwa kuwakataa wanaotujaza hofu na kuchagua wanaotaka kutuletea maendeleo. Asanteni vijana wa vyuo vikuu sisi k**a taifa la wasomi wa kesho. Asanteni viongozi wa dini kwa kusimama kwenye maombi kipindi cha Corona Mungu akatuepusha na sasa amani na zaidi sana kuliombea taifa tufike tunakotaka kwenda. Asanteni wasanii waliowabeza na kuwadharau serikali ya CCM ikiahidi kuendelea kuboresha maslahi yetu na zaidi sana ufunguzi wetu wa Arena yetu ya kisasa kabisa hivi karibuni. Asanteni waandishi wa habari ambao wengine waliwabagua na kuwafukuza. Asanteni watumishi wa umma kwa uvumilivu wenu. Hali inaweza kuwa ngumu katika vipindi mbalimbali vya mpito lakini uvumilivu wenu ndo msingi mkubwa wa hatua zinazopigwa. K**a ilivyokuwa kwa mapinduzi ya viwanda ya ujerumani 1890-1914 baada ya Bismack kubana baadhi ya vitu vilivyoonekana ni mateso wakati huo lakini kuja kuwa neema tele badaye. Asanteni kwa imani yenu. Asanteni wazee, nyinyi ndo mnajua tulikotoka vizuri zaidi na mmeamini tunakokwenda. Asanteni walemavu, CCM k**a duniani pote inaamini Disability is not inability na kuendelea kuimarisha mazingira ya usawa na wezeshi. Asanteni wafanyabiashara na wawekezaji ambao kwa kodi zenu halali na uaminifu ndiyo engine ya maendeleo ya taifa. Asanteni wakulika kwakuwa nyinyi ndo mnatupa nguvu na afya ya kujenga taifa hili. Asanteni wajasiriamali, wao waliwahadaa na kuwatisha ila umeamua kwa sauti moja kuwakumbusha wahenga walisema njia ya muongo ni Fupi. Asanteni wanawake, nyinyi ndo chanzo cha uhai wa taifa na maadili mema. Nyinyi ndo chanzo cha wazalendo na viongozi shupavu mithili ya Dr John Pombe Joseph Magufuli. Asanteni vijana, sisi ndo kesho ya taifa, nguvu kazi ya taifa na wanamapinduzi.
Tunaitakia CCM kila la kheri kurudisha fadhila ya imani kubwa ya waTanzania!

 versionOne love kwa wanangu wa CCM. Nyie ndo mnanunua CD. Two love kwa wanafiki wa Mikutano ya hadhara. Mnafanya nionge...
29/10/2020

version
One love kwa wanangu wa CCM. Nyie ndo mnanunua CD. Two love kwa wanafiki wa Mikutano ya hadhara. Mnafanya niongeze bidii. Three love kwa wapinzani. Zilifanya hasira zizidii. Four njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!)

Magufuli jeshi🎧🎵🎶

"Political parties created democracy...modern democracy is unthinkable save in terms of the parties" E. E. Schattschneider (1942).
Whether political parties made modern democracy, or whether they are an inextricable w**d in its garden, is a question that social science research does not yet answer. An article by S.C.Stokes (political parties and democracy). Ni sayansi tu!

Juzi upinzani waliweka wazi mikakati yao waliyoonesha ni makini kabisa na kila namna walivyojipanga na kueleza vizuri sana pale Tanganyika Packers Kawe. Nafkiri ni wakati wao kutekeleza maazimio na kuangalia walikosea wapi. Uchaguzi ni vita k**a vita nyingine na Chadema inajua hilo. Maana hawa vijana wao si tunawaona kwenye chaguzi za serikali za wanafunzi vyuoni chini ya CHASO na BAVICHA. Unapokosea vitani, unaretreat, unajipanga upya. Kusurrender ni uamuzi pia!
Adui hachagui kifo. WaTanzania waidai tu maendeleo 2025 serikali ya CCM. Maana Lissu kashasema asubuhi hii kuwa wananchi waamue wenyewe. Wameshaamua jana na wanaendelea na majukumu, kuchapa kazi na wanasubiri maendeleo ya watu na vitu chini ya serikali ya katika awamu ya pili na muhimu zaidi kwa maendeleo halisi ya taifa la Tanzania. Tunauza ndimu na malimao kwa bei ya jumla kwa wenye vichefu chefu...
ya siasa maneno ya vijembe na kuudhi.

Cc:

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu. WaTanzania wanazawadi nzuri sana mwaka huu.Kura za heshima, fundisho na histori...
29/10/2020

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu. WaTanzania wanazawadi nzuri sana mwaka huu.

Kura za heshima, fundisho na historia.

1Peter 5:5In the same way, you who are younger, submit yourselves to your elders. All of you, clothe yourselves with hum...
16/10/2020

1Peter 5:5
In the same way, you who are younger, submit yourselves to your elders. All of you, clothe yourselves with humility toward one another, because, “God opposes the proud but shows favor to the humble.”
Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.
Cc:

Thank you brother.

2nd November 2015 to 18th September 2020.The journey comes to an end!God is good all the time.
19/09/2020

2nd November 2015 to 18th September 2020.

The journey comes to an end!

God is good all the time.

The best medicine for humans is Love. But Chief, what if it doesn't work? "Listen young man. Increase the dose!"Today I ...
07/09/2020

The best medicine for humans is Love. But Chief, what if it doesn't work? "Listen young man. Increase the dose!"
Today I want to prescribe smiles to all of you for all the days that remain ahead of you. May the Lord bless you. Our redeemer lives. Do not loose hope.

05/09/2020


04/08/2020

Marko 14:38
"Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu"
Mathew 12:34 "... the mouth speaks what the heart us full of"


• • • • • •
Moyo Moyo

Katika mikakati ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi....Kata ya Upanga Magharibi.Vijana oyeee.
02/08/2020

Katika mikakati ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi....

Kata ya Upanga Magharibi.

Vijana oyeee.

In the end, a lesson to the young generation. Never forget where you came from. Never forget who made you who you are......
29/07/2020

In the end, a lesson to the young generation. Never forget where you came from. Never forget who made you who you are...

Rest In Peace Big Ben mwana wa Lupaso.

3rd president of URT🇹🇿, 1st president of Multiparty Tanzania. Former National chairperson of

Legacy lived, legacy left! @ Dar es Salaam, Tanzania

"Contesting is a democracy and is for everyone but leadership is a privilege for few entrusted people by people for the ...
15/07/2020

"Contesting is a democracy and is for everyone but leadership is a privilege for few entrusted people by people for the people"

The late J.F.Kennedy
We didn't do it because it was easy but because it was hard. Because that goal will serve to organize and measure the best of our energy and skills. Because that challenge is one and we are willing to accept. One we are unwilling to postpone, and one we intend to win.

CCM oyeeee....

@ Salasala

"Bila CCM madhubuti nchi hii itayumba" Mwl J.K.Nyerere.Vijana jeuri ya chama. Vijana nguvu kazi ya taifa.  Mwenyezi Mung...
14/07/2020

"Bila CCM madhubuti nchi hii itayumba" Mwl J.K.Nyerere.

Vijana jeuri ya chama. Vijana nguvu kazi ya taifa.

Mwenyezi Mungu akuongoze kk.

Dr Hussein Mwinyi. Weledi wake, utulivu, akili nyingi na busara havitiliwi shaka na mtu yoyote. CCM inajua, waZanzibari ...
10/07/2020

Dr Hussein Mwinyi. Weledi wake, utulivu, akili nyingi na busara havitiliwi shaka na mtu yoyote. CCM inajua, waZanzibari wanajua na wapinzani wanajua.

CCM oyeee. @ Ccm Dodoma

Mh Mhandisi Atashasta Nditiye, Mb(Muhambwe), N/waziri uchukuzi na mawasiliano...Vijana huwatazama wazee wao kujifunza na...
07/07/2020

Mh Mhandisi Atashasta Nditiye, Mb(Muhambwe), N/waziri uchukuzi na mawasiliano...

Vijana huwatazama wazee wao kujifunza na kuchota busara na maarifa. Ni wajibu wetu pia k**a vijana kuhakikisha haturudii makosa ya wazee wetu na kuifanya nchi hii kwenda mbali zaidi kwa maarifa na uzalendo kwa taifa letu.

"If we know where we came from and then where we are, we can then choose where we want to go"
🇹🇿 @ Dar es Salaam, Tanzania

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ntanguligwa_jr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share