Chelii Don

Chelii Don Journalist ALLIANCE MEDIA 'Smile Kisha nishike nikushike'

25/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Issa Nandumbi Thekingsmakonde, Humph Vila Tz, Emmy Kahabwa, Shebby Mkongo, Sophia Sophia

 : Tarehe 16/11/2020 Msanii wa Bongo flava Nandy alimshirikisha kwenye wimbo wake Alikiba wimbo unaitwa  , wimbo huo Had...
19/09/2024

: Tarehe 16/11/2020 Msanii wa Bongo flava Nandy alimshirikisha kwenye wimbo wake Alikiba wimbo unaitwa , wimbo huo Hadi Sasa una jumla ya watazamaji million saba (7M) katika mtandao wa YouTube.

Hapo chini ni picha iliyochukuliwa wakati wa kushoot video ya wimbo huo,

Nini naoni yako juu ya picha hiyo ya Nandy ambaye ni mke wa mtu (Bilnass).👇

Nifollow Instagram k**a Chelii Don,, pia Comment, like , share...

🛑   : Lionel Messi ameshinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d’Or, Dario Sport imefichua 🎩✨ Hakuna uthibitisho rasmi lakini kwa...
17/10/2023

🛑 : Lionel Messi ameshinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d’Or, Dario Sport imefichua 🎩✨ Hakuna uthibitisho rasmi lakini kwa mara nyingine tena, dalili wazi kutoka kwa vyombo vya habari vya Uhispania vimetabiri.. kumbuka: Ballon d’Or itakuwa Oktoba 30 mjini Paris, Messi akitarajiwa kuwa huko na kambi yake. Via Fabrizio Romano

ALLIANCE MEDIA

 : Sadio Mané atakosa Kombe la Dunia kulingana na L'Équipe, alipata jeraha la tendon dhidi ya Werder Bremen jana na atak...
09/11/2022

: Sadio Mané atakosa Kombe la Dunia kulingana na L'Équipe, alipata jeraha la tendon dhidi ya Werder Bremen jana na atakuwa nje kwa wiki kadhaa. (VIA FABRIZIO ROMANO)

LIKE PAGEALLIANCE MEDIAAIA

 : SHUJAA ALIYEONDOKA KWA UCHUNGU AJALI YA PRECISION AIRKapteni Buruhani Rubaga alirusha ndege ya Precision PW.494 kutok...
07/11/2022

: SHUJAA ALIYEONDOKA KWA UCHUNGU AJALI YA PRECISION AIR

Kapteni Buruhani Rubaga alirusha ndege ya Precision PW.494 kutoka Dar es salaam kwenda Bukoba.

Jirani na uwanja wa ndege Bukoba anapata changamoto za hali ya hewa, anaamua kubai time anazunguka huku na huko alafu baada ya kuwatangazia abiria anasema tujaribu mara ya mwisho tukishindwa tukatue Mwanza.

Akiwa mita 100 hadi 200 kutoka uwanja wa ndege (hatujui kilichotokea) anaamua kutua kwa dharura katika ziwa Victoria kunusuru maisha ya abiria wake.

Jitihada za uokozi zinashindwa kumuokoa kwa wakati, ameenda lakini ameokoa roho za watu 26.

LIKE PAGE
ALLIANCE MEDIA

"KUZALIANA KWA SPIDI HAPANA" RAIS SAMIA SULUHU HASSANAmesema “Hilo la zaeni tu hapana. Jana nimesimama Buseresere naambi...
16/10/2022

"KUZALIANA KWA SPIDI HAPANA" RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Amesema “Hilo la zaeni tu hapana. Jana nimesimama Buseresere naambiwa kituo kimoja kinazalisha Watoto 1000 kwa Mwezi. Baada ya Miaka 3 ni Madarasa mangapi? vituo vya Afya vingapi, tani za Chakula ngapi?

"Babangu hajawahi kunisaidia. Alimtoroka mamangu. Hakuja kumzika. Alidharau talanta yangu ya muziki,"Ommy Dimpoz "Nilipo...
14/09/2022

"Babangu hajawahi kunisaidia. Alimtoroka mamangu. Hakuja kumzika. Alidharau talanta yangu ya muziki,"Ommy Dimpoz

"Nilipokuwa mdogo, nilipata nafasi ya kukutana na baba mara moja. Aliniambia ana watoto 15. Aliniambia pia kuna mama alizaa naye na kuwa mtoto huyo atakuja kumtafuta. Niliponawiri kwenye muziki, akaanza kunipigia akijisifia kuwa yeye ni babangu. Wakati huo alitaka nimsaidie anunue Canter, kuwa anastruggle. Hajawahi kuninunulia hata nepi. Sijawahi kula pesa yake. Leo hii unaanzaje?" Dimpoz

Photo: Ommy Dimpoz (Instagram)

TANZIA: Malkia Elizabeth II wa Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasri la Buckingham limetangaza
08/09/2022

TANZIA: Malkia Elizabeth II wa Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasri la Buckingham limetangaza

 : MCHEKESHAJI ERIC IVO IVO AFARIKI DUNIA.Muigizaji na Mchekeshaji Eric ambaye amejipatia umaarufu kwa usemi wake wa "hi...
17/08/2022

: MCHEKESHAJI ERIC IVO IVO AFARIKI DUNIA.

Muigizaji na Mchekeshaji Eric ambaye amejipatia umaarufu kwa usemi wake wa "hivyo hivyo" amefariki dunia leo asubuhi.

Mashabiki wake watakumbuka aina ya uchekeshaji wake na hasa neno "hivyo hivyo". LIKE PAGE TAARIFA ZAIDI TUTAKULETEA HAPA.

 : Urusi na Uturuki zafikia makubaliano ya kuachana na biashara ya dolaUrusi na Uturuki zimefikia makubaliano ya  kimsin...
11/08/2022

: Urusi na Uturuki zafikia makubaliano ya kuachana na biashara ya dola

Urusi na Uturuki zimefikia makubaliano ya kimsingi ya kufanya baadhi ya malipo ya gesi asilia ya Urusi kwa rubles k**a sehemu ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili, wizara ya nishati ya Uturuki ilitangaza Alhamisi.

Hatua ya kuzuia malipo kwa dola za Marekani inasaidia nchi zote mbili. Urusi imeita sarafu hiyo "sumu," kwani vikwazo vya Magharibi vinafanya iwe vigumu kufanya miamala. Pia husaidia Uturuki kulinda akiba yake ya sarafu ngumu inayopungua.

Wiki iliyopita, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alithibitisha kwamba Ankara itaanza kulipia baadhi ya gesi asilia kutoka Urusi kwa rubles baada ya masaa kadhaa ya mazungumzo na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Sochi.

Mataifa hayo mawili pia yalitia saini ramani ya ushirikiano wa kiuchumi ambayo inalenga kuleta mauzo ya biashara kati ya nchi hizo mbili hadi dola bilioni 100 kwa mwaka. Marais hao pia walijadili masuala mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mauzo ya nafaka ya Ukraine.

Mapema mwezi huu, Putin alisema nchi za Umoja wa Ulaya zinapaswa kuishukuru Uturuki kwa kuhakikisha inasambaza gesi ya Urusi kwa umoja huo kupitia bomba la TurkStream.

06/07/2022

Mambo vipi mtu wangu Wa nguvu naomba nikukaribishe uweze kumpigia kura katika tuzo za mtangazaji Wa katika kipindi cha Papaso kinachoazia saa Moja jioni hadi saa nne usiku,

Djaro Arungu amependekezwa katika

Vipengele ni Viwili:-
A. BEST RADIO PERSONALITY OF THE YEAR.

B. BEST DRESSED MEDIA PERSONALITY OF THE YEAR.

Link ipo kwa Bio yake na bio yangu Au Nenda www.zikomoawards.com.

26/06/2022

- LA ALIKIBA ,DIAMOND NA OMMY DIMPOZ NDANI YA STAGE MOJA .

Ni miaka zaidi ya kumi sasa imepita tangu kutokea sintofahamu kati ya mastaa Wa mziki Wa Bongoflava Tanzania na

Hapo juu nimekusogezea video Mara ya mwisho Alikiba na Diamond kuonekana katika stage moja ilikuwa kwenye tuzo za ambapo wimbo wa Ommy Dimpos Nai nai alioimba na alikiba ulikuwa Nominated.

Address


Opening Hours

Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255711727338

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chelii Don posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chelii Don:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share