PATA HABARI ZA KIMICHEZO ULIMWENGUNI KOTE MASAA 24KUTOKA ABA MEDIA....
01/07/2022
Firminho to be turned as a player on Liverpool fc...that's according to Instagram page of Liverpool fc
01/07/2022
Za ndani kabisa kutoka kwa watu wakaribu wa timu ya yanga zinasemaaaaaaa
The bull strayker wa club hiyo I mean fiston kalala mayele atatarajiwa kuondoka klabuni humo mara baada ya kumalizika fainali za FA cup kule jijini Arusha
Stay with us@aba_sports.tv
01/07/2022
New psg Jersey for the season of 2022/2023....
.mbappe
Follow us 👇👇tv
01/07/2022
Kijana Dismas Norvatus kutoka Tanzania aendelea kuchanja mbuga na sasa akisajiliwa katika timu ya ya nchini ubeligiji.tv
01/07/2022
AZAM YAZIDI KUSHUSHA VITU TUUUUUUUU
Azam yashusha kocha mpya wa magolikipa....
Kwa full news tembelea ukurasa wa kwa news zaidtv
01/07/2022
Kwa majina anatambulika kwa Chris koppe muchimba mugalu ...
Ni streika wa timu ya Simba sports
Na zifuatazo ni takwimu zake kwa msimu uliopita katika ligikuu
-mechi 9
-magoli. 0
-assist. 2
Je akitimuliwa katika timu itakuwa ni sawa??????
tv
01/07/2022
Simba yatakiwa kuendelea kutembea kifua mbele ....
Licha ya mapito yooote lakini huyu mwanamke anaendelea kuwapa morari ya juu mashabiki wa timu ya Simba sports club.....tv
01/07/2022
Zandani kabisa kutoka kwa watu wakaribu zaidi wa timu ya yanga zasema kuwa tayar benard Morrison amesaini mkataba wa kuwa na club hiyo msimu ujao
So,now benard Morrison is on green and yellow.....
tv
30/06/2022
ALIPOKATAA KUSAINI ALIPEWA LIKIZO YA LAZIMA.
Hiki ni kichwa cha habar ambacho kimeonekana kutrend katika majarida mbalimbali na Kila mtu anaandika lake but full and real story utaipata
30/06/2022
Stephan Aziz ki tayar aagwa na timu yake ya asec mimosas ......
Kilichobaki ni kutua katika timu ya ...........
Sijui et ni timu gani vileee?????tv
30/06/2022
Simba sports club ndiyo timu iliyo na bahati mbaya kwa Mara zaidi ya 3 mfululizo katika uchaguzi wa makocha Bora ambao wataweza kuhimili mikikimikiki ya soka la Tanzania.....
Ok wamemtambulisha Zoran ...
Je na yeye atakuwa na mwisho mwema???????
Tupe mtazamo wako wewe K**a mdau wa soka..tv
30/06/2022
Takwimu za makocha ambao wanaongoza kwa kupoteza mechi katika kucoach kwao...
Follow us .tv
30/06/2022
Fifa Ranking(viwango vya Fifa)
Tanzania ikiwa nafasi ya 38tv
30/06/2022
Top 10 African League
Tanzania ikishika nafasi ya 10tv
30/06/2022
Tanzanians🇹🇿 champions
☑️☑️☑️☑️tv
30/06/2022
Utofauti wa kiwango cha uwanjani Kati ya x
Follow us 👇👇tv
☑️☑️☑️☑️☑️☑️
30/06/2022
Orodha ya wachezaji waliopo Simba wenye umri mkubwa zaidi kuliko wote......
Nani kakustaajabisha kwa takwimu za umri wake???tv
30/06/2022
Nini kimetokea mpaka kupelekea status ya Hawa watoto kuharibika kwani walikua ni vijana tegemezi katika soka letu la Tanzania.
1:Je ni timu walizopo?
2:hawapewi nafasi katika timu zao?
Tuandikie majibu yako kuhusiana na chanzo cha Hawa watoto kuwa under performance na nini kifanyike kurudisha uhai wao...tv
Be the first to know and let us send you an email when aba_sports.tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.