TITUS THOYA

TITUS THOYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TITUS THOYA, News & Media Website, .

22/06/2023

FT..BANDARI 1:0 KARIOBANGI SHARKS.
Football Club

𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎: Kai Havertz joins Arsenal from Chelsea, agreement completed on £65m total fee ⚪️🔴✨Personal terms agreed, med...
21/06/2023

𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎: Kai Havertz joins Arsenal from Chelsea, agreement completed on £65m total fee ⚪️🔴✨

Personal terms agreed, medical and statement soon 🤝🏻

Swedish sports federation rejected application to make s*x an official sport!Eeiiiii, tena!!
21/06/2023

Swedish sports federation rejected application to make s*x an official sport!

Eeiiiii, tena!!

BREAKING: Arsenal are expected to make a formal bid worth £90m for West Ham's Declan Rice 💰⏳
20/06/2023

BREAKING: Arsenal are expected to make a formal bid worth £90m for West Ham's Declan Rice 💰⏳

Nyota Mason Greenwood amejumuishwa katika kikosi Cha Manchester United Kitakacho Shirika msimu ujao.
16/06/2023

Nyota Mason Greenwood amejumuishwa katika kikosi Cha Manchester United Kitakacho Shirika msimu ujao.

Arsenal wamemuachilia huru Ainsley Maitland baada ya kandarasi yake  kufikia kikomo.
16/06/2023

Arsenal wamemuachilia huru Ainsley Maitland baada ya kandarasi yake kufikia kikomo.

There will be EIGHT Premier League teams in Europe next season 🤯 EPL doing their best 🔥🔥
09/06/2023

There will be EIGHT Premier League teams in Europe next season 🤯 EPL doing their best 🔥🔥

N'Golo Kanté amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Al Ittihad ya Saudia.
07/06/2023

N'Golo Kanté amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Al Ittihad ya Saudia.

Klabu ya Chelsea imewasiliana na PSG kuhusu uwezekano wa kumsajili winga Mbrazil Neymar.Atawasaidia kweli??
07/06/2023

Klabu ya Chelsea imewasiliana na PSG kuhusu uwezekano wa kumsajili winga Mbrazil Neymar.

Atawasaidia kweli??

Kamati ya AFC Leopards imewaondoa Eugene Mukangula na Peter Thiong'o kutoka majukumu yao ya unahodha katika timu hiyo ma...
07/06/2023

Kamati ya AFC Leopards imewaondoa Eugene Mukangula na Peter Thiong'o kutoka majukumu yao ya unahodha katika timu hiyo mara moja. .

Klabu ya Mancheater United inaongoza katika mbio za kunasa saini ya Beki wa kati wa timu ya Napolia...
07/06/2023

Klabu ya Mancheater United inaongoza katika mbio za kunasa saini ya Beki wa kati wa timu ya Napolia...

Hatimaye Maurizio Pochettino Ametia saini kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya chelsea🤝Hapo vipi??
28/05/2023

Hatimaye Maurizio Pochettino Ametia saini kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya chelsea🤝
Hapo vipi??

Lauren James ametawazwa kuwa  Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka katika Tuzo za Soka ya Wanawake 2023!!!Kongole Laura!!💙
27/05/2023

Lauren James ametawazwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi wa Mwaka katika Tuzo za Soka ya Wanawake 2023!!!
Kongole Laura!!💙

Baada ya kuwalaza Manchester United Bao 7:0 Sasa liverpool watacheza kwenye ligi ya Europa msimu ujao🤒
26/05/2023

Baada ya kuwalaza Manchester United Bao 7:0 Sasa liverpool watacheza kwenye ligi ya Europa msimu ujao🤒

Marcus Rashford has now scored 30 goals with Manchester United this season. Wapi makofi ya kijana mdogo👏🤝
26/05/2023

Marcus Rashford has now scored 30 goals with Manchester United this season.
Wapi makofi ya kijana mdogo👏🤝

I LOVE THIS GAME!Southampton have been relegated from the Premier League after an 11-year spell in the top flight. ⚪️🔴
13/05/2023

I LOVE THIS GAME!
Southampton have been relegated from the Premier League after an 11-year spell in the top flight. ⚪️🔴

Address

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TITUS THOYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share