Koech Kipngeno Kevin

Koech Kipngeno Kevin ...then God stepped in!
(3)

Will you want your mom to be your mom in your next life?🫣
04/25/2025

Will you want your mom to be your mom in your next life?
🫣

😭 Imagine sijalipa Rent miezi tatu, sasa landlord amekua akikuja kunidai lakini hajawahi nipata kwasababu Mimi hutoka as...
04/24/2025

😭 Imagine sijalipa Rent miezi tatu, sasa landlord amekua akikuja kunidai lakini hajawahi nipata kwasababu Mimi hutoka asubuhi mapema narudi usiku. lakini bahati mbaya Leo tumekutana, nimerudi mapema nikampata amekaa Kwa mlango yangu ananingoja uzuri hanijui 🤸sasa amenisalimia akaniuliza k**a naishi hapo nikamwambia hapana nimekuja kutafuta Rafiki yangu anaishi kwa hiyo mlango amekaa, nikamuuliza na yeye NI nani? akaniambia yeye NI landlord anasubiri mwenye hiyo nyumba amlipe rent miezi tatu 🙄 nikamwambia si umpigie sim ? ndio nione k**a ako na number yangu weee amechomoa sim Yake anipigie,na Mimi nikachomoa yangu haraka nikazima 🤣 akapiga akaniambia iko mteja, nikamuuliza sasa tufanyeje? akaniambia tumngoje, Sahi tumekaa 3hrs kwa mlango yangu tukipiga Tu story Tukiningoja hapo 🤣🤣 nangojea achoke kuningoja aende niingie kwa nyumba yangu.
Koech Kipngeno Kevin

K**a Unaamini siku moja utajenga kwako usipite hii post.
04/24/2025

K**a Unaamini siku moja utajenga kwako usipite hii post.

Nani sasa walinyoa Simba?😂😂
04/24/2025

Nani sasa walinyoa Simba?😂😂

Who ever did this to the might king of the jungle will never see heaven 🇿🇲😂😂Koech Kipngeno Kevin
04/24/2025

Who ever did this to the might king of the jungle will never see heaven 🇿🇲😂😂
Koech Kipngeno Kevin

The year i decided to Take the BULL by the HORN ….
04/24/2025

The year i decided to Take the BULL by the HORN ….

Aah! What's up na Ruth K account 😂😂leo imeamka ikapost status za show ya Mulamwah na hadi ikapost only love emoji ya ♥️....
04/24/2025

Aah! What's up na Ruth K account 😂😂leo imeamka ikapost status za show ya Mulamwah na hadi ikapost only love emoji ya ♥️....watu wakakimbia kucomment and all of a sudden

Statues and post zikaanuliwa very fast 😂😂😂

Ama aliambiwa diliti haraka

💎💍😂After kukosana na bibi last week, alirudi akaniandikia barua yenye ilikua inasema hivi🙂🙂Dear Kevoo, nataka kukuambia ...
04/24/2025

💎💍😂After kukosana na bibi last week, alirudi akaniandikia barua yenye ilikua inasema hivi🙂🙂

Dear Kevoo, nataka kukuambia yule mtoto msichana ulilea ukamsomesha na ukawa unamtunza vizuri tangu akiwa mdogo mpaka saii ama miaka ishirini hakuwa mtoto wako🙆, huyo jirani yako ndio baba ya mtoto ni venue tu tulikuwa tumekanyagia hio maneno,😏 juzi nilimwambia ukweli na akakuja akamchukua binti yake wakaenda kukaa na yeye kwake hapo karibu na kwako😒 kwa hivo ukimuona uko usidhani ameolewa. I wish you all the best kwaheri🤚🤚"

Mimi k**a wiseman nikamwandikia pia barua ikisema:
" Praise be to the most high!!!! Praise be to the most high!!!! Atlast nimepata amani kwa moyo wangu juu niliishi kuwa guilty ya kufikiria nilikuwa nafanya vibaya kukulana na mtoto wangu😋 na ukimuona kabla mimi umwambie sasa mambo yako sawa kwa ivo asitoe ile mimba yangu amebeba juu mimi sio baba yake mzazi🤸🤸🤸🤸nakutakia kila laheri kwaheeeri my Mother-in-law 🤣😂💍💎

Saii niko nakula mapochopocho nilale sina issue na yeyote mimi 😂😂💍💎

Big up to Koech Kipngeno Kevin Koech Kipngeno Kevin

04/24/2025

K**a unalalalia kitanda ya mbao k**a mimi Amkaaa hufai kupata usingizi 🤣🤣🤣

😭😭Leo   nimepanda    matatu    nikakaa    karibu    na    ka-dem    flani  😌😌  na    alikuwa    na    smartphone 📱  na  ...
04/21/2025

😭😭Leo nimepanda matatu nikakaa karibu na ka-dem flani 😌😌 na alikuwa na smartphone 📱 na imagine mimi niko na kamulika mwizi yenye haina kifuniko...so nikajijaza k**a maasai wa ki-moran ambaye ng'ombe yake imekuliwa na chui ☺☺ nikaiweka kwa maskio, "hello Mogaka, nakujia hiyo gari saizi na usinipigie saizi ju smartphone yangu imelost ndo naenda kununua ingine saizi....imagine niko na scrape ya huyo boy wangu wa mkono ndo natumia saizi....and by the way nikifika tao nitakutumia 70k umalizie kuunda hiyo gari. " 😌😌

Kumalizia kuongea nikaskia huyo dem ananiita, " excuse me.. battery yako ndo hii ilikuwa imeanguka wakati umeanza kuongea." 😏😏😏

Wakuu 👩
Imebidi nisimamishe gari nishukie hapo 😥😥🙆

Na wakuu mnifollow muwache hizo Buana 😹😹🙏💔
#𝒏𝒊𝒈𝒈𝒂





Koech Kipngeno KevinKoech Kipngeno Kevin

Pope Francis dies aged 88😢
04/21/2025

Pope Francis dies aged 88😢

04/20/2025

With Keen Fixed – I just got recognized as one of their top fans!

😂😂😂
04/19/2025

😂😂😂

😛😛😛Juzi nimekutana na dem mrembo huku FB. tukaanza kuchat naye akaniambia anaitwa Diana🤩ikawa tunachat Kila day mbaka ma...
04/19/2025

😛😛😛Juzi nimekutana na dem mrembo huku FB. tukaanza kuchat naye akaniambia anaitwa Diana🤩ikawa tunachat Kila day mbaka mapenzi yakashika 💝🌹so Kila Friday ilikuwa naiba mayai home na niuze kisha namtumia Doo ya matumizi ya hapa na pale👍🥇after kitu K**a 3months hivi tukaamua tutameet next Saturday 😃vile Saturday ilifika hivi nikaomba John viatu👞👞..halafu nikaiba kofia ya dad🎩na miwani 👓..nikamchocha mum naenda kuona beshte wangu ako hosi Ni mgonjwa 😭.....mamangu akasmile halafu akaniambia....USIJALI MWANANGU MIMI NDIYE DIANA. Nikazirai🤣🤣🤣

Ni kweli siku za mwizi ni fote na ushikwapo shik**ana 🤣🤣🤣 Wacha waniombee tu 🙏

Last night I saw two cockroaches enjoying TWA TWA. I wanted to spray RAID and I thought  twice, Maybe he has been chasin...
04/18/2025

Last night I saw two cockroaches enjoying TWA TWA. I wanted to spray RAID and I thought twice, Maybe he has been chasing her for years and she has been eating his money without allowing him get down there, I am human I have a good heart so I let him enjoy...But as I was about to go, I had a second thought ....what if he was rapping her? Or what if he was enjoying someone's wife?

I sprayed it 😭
Follow @

04/16/2025

American singer Katy Perry and five other women fly into space and return to earth in 11 minutes


💎💍😂🤔🙆🤦🤦saa hamskii Iyo Friday nlitoka mjengo nkiwa  nmechoka Ile mbya 🙄kufika Kwa  🏠 nkajirusha Kwa bed kma gunia ya via...
04/15/2025

💎💍😂🤔🙆🤦🤦saa hamskii Iyo Friday nlitoka mjengo nkiwa nmechoka Ile mbya 🙄kufika Kwa 🏠 nkajirusha Kwa bed kma gunia ya viazi 🤣😁🤔Ndio tu kausingizi kalikua kamenishika🌝😴😴😴nkaskia *ngo,,ngo,ngoo" kwa mlango❣️lakini mm ni nany sikufungua!😔nkadBahati Junior Bahati Junior na story zake za jaba🤣🤣🤣😁😢si nikaendelea kulala🤔kidogo Ivi akabisha Tena,👉👉🚪🚪🚪ikabidi niende kufungua mlango,,,,,wakuu🚶kuweka tu mguu ivi chini ,ju ya venye nmechoka!😲nkategwa na wire ya extension!!!!😭😭 nkaangukia meza Iko n woofer,🙆🙆woofer nayo chini 😢😢😢ikavuta wire ya tv,🖥️,tv chini paaah ikaisha😢😢ile wire ya socket nayo haikunihurumia😭😭😭 ikanipiga shock nkaangukia sufuria,sufuria na stand zikaangukia unga ikamwagika chini😢😢 bado tu ghasia inabisha mlango🙄🙄🤷🤷😢😢nkachanganyikiwa bt nkajikaza nkaamka,😔😔😔😔🚶kufungua mlango🚪,nkapata jamaa na reflector ya Airtel akanambia "line ya Airtel free tunakuzawadi na free data bundles"
🤣🤣🤣😢Jamaa ameenda bila meno n hata nguvu za kumchapa cjui zimetoka wapy🚶🚶🚶🚶🙄cpendi ujinga mimi 🙄🙄🙄😏😏😏
Na utaona mtu ameruka hii bila ata kalike😏😏💍💎

Address

New York, NY

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koech Kipngeno Kevin posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Koech Kipngeno Kevin:

Share