
30/05/2025
17 Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia, 18 Moyo uwazao mawazo mabaya, miguu iliyo mwepesi kukimbilia maovu; 19 Shahidi wa uongo asemaye uongo, na yeye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu. 20 Mwanangu, shika amri ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako;
21 Zifunge moyoni mwako sikuzote, Uzifunge shingoni mwako.
Mithali 6 ππ₯π₯πΈ