Naik islam media

Naik islam media We are daily muslem reminders.

06/05/2022

ASALAMU ALYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
TUJIANSALIE IJUMAH YA KWANZA YA MWEZI WA SHAWAAL
ILITUPATE KUELEKEZWA JINSI YA KUTEMBEZA MAISHA YETU NDANI YA HUU MWEZI IN SHA ALLAH
IJUMAH MUBARAKA

ISLAM MEDIA

02/01/2022

Tuyahifadhi haya mambo matatu __imaam Ahmad kyeyune

30/12/2021

Allah Akbar tujalie tuyafahamu

29/12/2021

Tulongose

13/11/2021

Tuitumie media kwa ajili ya kusoma dini yetu by Shk Musa bin Umar na Shk Ismael yunusu

23/08/2021

KUMBUKA UMAUTI KWA KILA MARA .................JUKIIRA NYO KUKUFAKO

13/07/2021
22/06/2021
25/05/2021

Tuombee ndugu zetu walioko felastine

17/05/2021
17/05/2021
17/05/2021
13/05/2021
29/04/2021

IJUMAH MUBARAKA

HII NDIO FAIDA YA RAMADHANI
10/04/2021

HII NDIO FAIDA YA RAMADHANI

16/03/2021
12/03/2021

Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh

19/02/2021

KISOMO CHA QUR'AN

16/02/2021

Asalam alykum warahmatullah wabarakatuh nii wajibu kwa kila muislamu ku ya jua Mambo manne
1 ilmu
2 kufanyia ku Yale unayoyajua
3 kufanyia da'awa
4 kuwa na subiira kwa jambo

Asalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh ndugu muislamu ilikuwa suunah ya rasululah S A W kuyatimiza yafuatayo Kila siku...
05/02/2021

Asalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh ndugu muislamu ilikuwa suunah ya rasululah S A W kuyatimiza yafuatayo Kila siku ya jumah nasi tujaribishe sote inshallah
Islam Media

Usichoke kuufanya wema kwaajili ya maneno ya watu au Matamanio ya nafsi yako huenda ALLAH akakuinua daraja mbele ya watu...
03/02/2021

Usichoke kuufanya wema kwaajili ya maneno ya watu au
Matamanio ya nafsi yako huenda ALLAH akakuinua daraja mbele ya watu....

Tusijivunie duniani kwa kuwa dunia haina faida na Sisi...........Kila kitu kitaisha sio vyeo vya masomo mbali mbali,vyeo...
03/02/2021

Tusijivunie duniani kwa kuwa dunia haina faida na Sisi...........Kila kitu kitaisha sio vyeo vya masomo mbali mbali,vyeo vya mapete,vyeo vya uongozi ...........shusha bega lako chini hakika ya Allah hapendi wajifahariehao

Ipo siku utakuwa sio wewe Tena nyumbani au popote ulipo.......Basi dunia isikuwe sababu ya wewe kusahau akhera Nabbii Mu...
30/01/2021

Ipo siku utakuwa sio wewe Tena nyumbani au popote ulipo.......Basi dunia isikuwe sababu ya wewe kusahau akhera Nabbii Muhammed S A W anatuhusia anasema zidisheni ku kumbukakumbuka kuaga dunia,................................................Yaarabi tuondowe katika dunia ilihali umeturidhia........AMEEN

Islam Media

Ana amrishwa nabii S A W kuwa   ambiye wake zake ,binti zake na wanawake wakiislamu kuvaa jilbabu..................Sisi ...
30/01/2021

Ana amrishwa nabii S A W kuwa ambiye wake zake ,binti zake na wanawake wakiislamu kuvaa jilbabu..................Sisi mbona Kila mtu anafanya kutokana na matanio ya nafsi...........na huku kujistiri kunampa mwanamke heshima isikuwee vigumu kujistiri inshallah

Islam Media

Address

Bwera

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naik islam media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share