Dj-Laty D Tizo

Dj-Laty D Tizo Mitupio Style

MWENDO NI WA BURUDANI TU MWANZO MWISHO NDANI STONE PUB AMANI MKOA SEHEMU PEKEE YA WAASTARABU NA YA KIUNGWANAHUKU UKISIKI...
05/09/2024

MWENDO NI WA BURUDANI TU MWANZO MWISHO NDANI STONE PUB AMANI MKOA SEHEMU PEKEE YA WAASTARABU NA YA KIUNGWANA

HUKU UKISIKILIZA NA KUCHEZA MZIKI MZURI
KWENYE MSHINE LEO HII


ENTRY FREE KABISAAA ILA BAADA YA SAA 6 UTAENDELEA KULA BATA V.I.P KWA KIINGILIO CHA ELFU 5,000 LADIES FREE V.VI.P MAN 10,000 LADIES 5,000

ZITAGONGWA NGOMA KALO HADI MIDA YA MAJOOOGOOOOO!!!!

Leo Jumanne  4/9/2023 Jioni Katika Uwanja wa Mao A" kwenye Ligi ya CHAZA CUP Kwenye Nusu Fainali ya Pili Kwa Kiingilio c...
05/09/2023

Leo Jumanne 4/9/2023 Jioni Katika Uwanja wa Mao A" kwenye Ligi ya CHAZA CUP Kwenye Nusu Fainali ya Pili Kwa Kiingilio cha Elfu Mbili,
MIEMBENI VS WADACHI

Tukutane Ktk BATA LA MWISHO  ๐Ÿ’ƒJUMATATUMarch 20 2023 Chini Ya Wakali Wa Hizi Kazi        HILI NI BONGE LA PARTY LA MWISHO...
14/03/2023

Tukutane Ktk
BATA LA MWISHO
๐Ÿ’ƒ
JUMATATU
March 20 2023


Chini Ya Wakali Wa Hizi Kazi





HILI NI BONGE LA PARTY LA MWISHO KABLA KUFUNGA CLUB YETU

[ Plz]

Na Bila Kusahau Siku Ya...
Ijumaa March 17
Jmosi March 18
Jpili March 19
K**A KAWA PARTY ZETU ZA MWISHO

     Akifanya yake Furaha Fm 90.9 Zanzibar Tunakutakia kheri na Baraka siku yako ya Kuzaliwa TunakwambiaHappy Birthday T...
25/02/2023

Akifanya yake Furaha Fm 90.9 Zanzibar Tunakutakia kheri na Baraka siku yako ya Kuzaliwa Tunakwambia

Happy Birthday To You ๐ŸŽ‚๐Ÿ‰๐Ÿ‡๐ŸŽ๐Ÿพ๐Ÿงƒ๐Ÿบ

Mjengoni Furaha fm Zanzibar
22/02/2023

Mjengoni Furaha fm Zanzibar



EXCLUSIVE INTERVIEW Ijumaa Hii Kwenye Kipindi cha   Mjengoni @90.9 furahafm Zanzibar Atakuwepo  (Baba Boyka)  90.9
22/02/2023

EXCLUSIVE INTERVIEW
Ijumaa Hii Kwenye Kipindi cha
Mjengoni @90.9 furahafm Zanzibar
Atakuwepo
(Baba Boyka)

90.9

VALENTINES DAYโค๐Ÿคโค 14-2-2023 JUMANNE/TUESDAY HIISKUKUU YA WAPENDANAOโคโค๏ธTHIS TIME ITASHEHEREKEWA RASMIN...SEHEMU MOJA TU H...
14/02/2023

VALENTINES DAYโค๐Ÿคโค 14-2-2023
JUMANNE/TUESDAY HII

SKUKUU YA WAPENDANAOโคโค๏ธ
THIS TIME ITASHEHEREKEWA RASMIN...
SEHEMU MOJA TU HAPA ZANZIBAR



CHINI YA

VAA PENDEZA YALE MAVAZI YETU ๐Ÿ’ƒโค๐Ÿคโค
UJIPATIE ZAWADI YA PESA ๐Ÿ’ฐ TASLIM
NYIMBO ZA KIMALAVIDAVI ZITATAWALA THAT DAY
NA SURPRISES KIBAO
DoorsOpen๐Ÿšช 9pm
Till Morning
Plz DON'T MISS

Happy Valentine's day
14/02/2023

Happy Valentine's day

24/01/2023

๐Ÿ‘‰Leo Ndio Leo
๐Ÿ‘‰Tuesday 24-1-2023
Tunakutana Kwenye Chimbo la Kiburudani na Kula Bata Zaidi Njoo Summer Dream Lodge Paje East Coast-Zanzibar

๐Ÿ‘‰Tunaenjoy Kula na Kunywa Pamoja na Ku Swimming ๐ŸŠโ€โ™€๏ธ

๐Ÿ‘‰Mchongo ni

Djzoro Zanzibar Tz Said Abdalla Said

GuestDj ni

17/01/2023

To night never miss the best pool party in island.
VIP will be open to day for first 30paxs buy A bottle will be free.

VIP booking cal
+255 773 537 184

*LEO TUNAKIWASHA MKESHA WA MAPINDUZI VIWANJA VYA MAISARA ZANZIBAR* ............................................FIKA MAPE...
11/01/2023

*LEO TUNAKIWASHA MKESHA WA MAPINDUZI VIWANJA VYA MAISARA ZANZIBAR* ............................................
FIKA MAPEMA, BURUDANI NA FASH FASH K**A ZOTEEEE๐ŸŽ†๐ŸŽ‡.........................................
*Performance by:*๐ŸŽค


................................

*USIKOSE*๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

11/01/2023

Mwamba Huyoo Hapo Ameshadondosha mzigo mpya ndani ya Contact Call Now +255776785521


Magomeni Kwa Najim Zanzibar-Unguja

You don't have miss tonightMake a noise and invite your friends ๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅLeo Ndio Ndio leo Tukutane
08/11/2022

You don't have miss tonight
Make a noise and invite your friends ๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ

Leo Ndio Ndio leo Tukutane

Hello Zanzibar and Party people, ๐ŸŽ‰ Halloween is lit again here we come in Summer Beach Paje with our big East coast beac...
29/10/2022

Hello Zanzibar and Party people, ๐ŸŽ‰
Halloween is lit again here we come in Summer Beach Paje with our big East coast beach party were Entertainment has got a home, ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ๐Ÿ‘ฏโ€โ™€๏ธ๐ŸŽง๐Ÿฅ

it's happening on Saturday October 29 2022 for only 10k you'll definitely have the right to witness it all,
Your best Djs Dj Side Dj zoro along side Cris da drummer will control your vibes and feelings,๐Ÿ˜Ž๐ŸŽง๐Ÿพ๐Ÿป๐Ÿฅ‚๐Ÿบ

Its gonna be Live Dj with Drums

food and Beverages are available at reasonable prices! ๐Ÿ•๐Ÿ”๐Ÿ—

Remember, is going down on saturday 29 this October in Summer Beach Paje, lets go put the roof on fire ๐Ÿ”ฅ togetheeeer....!!!๐Ÿบ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ•บ๐ŸŽง๐Ÿ‘

27/10/2022

Brand New Song ๐ŸŽต โœจ๏ธ ๐Ÿ‘‰Chabi Six - Tumeshakubaliana ๐Ÿ‘‰Track Iko On Bio
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://youtu.be/KdoiGQhi7bw

Ready to scare up some fun?What are you doing this Wednesday? ,How about drinking, dancingand wearing a maskโ€ฆ? So letโ€™s ...
26/10/2022

Ready to scare up some fun?
What are you doing this Wednesday? ,
How about drinking, dancing
and wearing a maskโ€ฆ?
So letโ€™s celebrate All Halloween and raise a glass at our spooky-licious cocktail party ๐Ÿ˜ฑ at Tiki Beach!
Dress up as a black cat or other creature of the night!
Join us and get crazy with DJ ZORO.
Dress Code: Black & Scary!
Entry Pass 10 000 TSH
Whatsapp: +255-(0) 629 613 723

Brand Song  ๐ŸŽต ๐Ÿ‘‰  - Yaya
26/10/2022

Brand Song ๐ŸŽต ๐Ÿ‘‰ - Yaya

Hellow ..!! Leo ni siku Special kwangu sababu najiona k**a nimezaliwa upya kwenye game ya muziki.Nilitangaza kuacha muzi...
25/10/2022

Hellow ..!!

Leo ni siku Special kwangu sababu najiona k**a nimezaliwa upya kwenye game ya muziki.

Nilitangaza kuacha muziki wa mduara, na leo Rasmi natangaza kuachana na kutumia jina la AT kwasababu nyingi, moja wapo ikiwa muingiliano wa jina langu na msanii mwingine ambae yupo nje ya mipaka ya Tanzania, ikiwa mipango yangu mikubwa ni kufika kimataifa nimeona nitumie fursa hii kujiandaa mapema.

kwasasa nitatambulika k**a na sio AT , na nitakuwa kwenye mziki wa kisasa wa kibiashara zaidi na ndio wimbo wangu wa kwanza k**a

AHSANTENI.

20/10/2022

Song *Online* by *Rico Single* Out Now!!! available on all digital platforms Worldwide ๐ŸŒ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Send a message to learn more

Ile Jumanne Ndio leo Na Leo Ndio Leo  ๐Ÿ‘‰   Mambo Ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ    GuestDj kwa Leo Atasimama  Kwenye Mashine ENTRY 5,000 ONLY
18/10/2022

Ile Jumanne Ndio leo Na Leo Ndio Leo ๐Ÿ‘‰ Mambo Ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ GuestDj kwa Leo Atasimama Kwenye Mashine

ENTRY 5,000 ONLY

Just to remind You!We are waiting to serve U the best! ๐Ÿ™See You tonight! Summer dream lodge!  Paje East coast Zanzibar!
11/10/2022

Just to remind You!

We are waiting to serve U the best! ๐Ÿ™

See You tonight!
Summer dream lodge!
Paje East coast Zanzibar!

Wajanja Wote Wa Zanzibar Leo Hii Tunakutana sehemu Moja tu  ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
04/10/2022

Wajanja Wote Wa Zanzibar Leo Hii Tunakutana sehemu Moja tu

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Nitembelea ๐Ÿ‘‰Fuoni Morocco ZanzibarKwa kweli Mzigo Mpyaa Umewasili Katika Duka Hilo Fanya K**a Unatembelea Ili Ijionee Ki...
02/10/2022

Nitembelea
๐Ÿ‘‰Fuoni Morocco Zanzibar

Kwa kweli Mzigo Mpyaa Umewasili Katika Duka Hilo Fanya K**a Unatembelea Ili Ijionee Kilichopo Na Bei Zao Ni Poa Sana

๐Ÿ‘‰Thanks Rashma_fashion

ALHAMDULAH ๐Ÿ‘
01/10/2022

ALHAMDULAH ๐Ÿ‘

R.I.P DADDY๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
01/10/2022

R.I.P DADDY๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

JAMBO ILE SIKU TULIOKIA TUKISUBIRIA NDIO LEO ๐Ÿ‘‰ SEP 30-2022  ndani ya
30/09/2022

JAMBO ILE SIKU TULIOKIA TUKISUBIRIA NDIO LEO
๐Ÿ‘‰ SEP 30-2022

ndani ya

Leo usiku  shambaland! Natoa Offer kwa yoyote anaetaka kuja basi ataingia bure!  Lakini  Nitumie jina lako na majina ya ...
23/09/2022

Leo usiku shambaland!
Natoa Offer kwa yoyote anaetaka kuja basi ataingia bure!
Lakini Nitumie jina lako na majina ya watu utakao kuja nao wote mtapita free !
Fanya booking kabisa

Nitumie sms kwenye namba yangu ya kawaida 0777493039 tuma list yako mapema isifike sa 12 jioni! Ikizidi mda huo basi utalipa alf 10 mlangoni!

Karibu shambaland leo

Brother & Sisters, our party people! Get ready for another Lowtide Beach Party! Enjoy on Paje beach with us the last Sat...
23/09/2022

Brother & Sisters, our party people!
Get ready for another Lowtide Beach Party! Enjoy on Paje beach with us the last Saturday of every month.

Dj side,Dj zoro will be playing live alongside drums ft Chris da drummer!
BBQ will be hot all night!
All you can eat for 30,000 Tsh
Taste the Swahili flavors of fresh seafood from the Indian Ocean!
We invite you to experience the difference and enjoy our Lowtide beach vibes!

Its on 24 September at Summer Beach Hotel Paje Zanzibar! We will see you on the sand!

Entry at the gate only 10000Tsh
Location: Summer Beach Hotel
Paje
Best offer for accommodation
Book your room for only 50 dollars
Call +255772552339 Summer Dream Lodge
Call +255777294809 Summer Beach Hotel

21/09/2022

J4 MAMBO YALIKUA NI๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

21/09/2022

Mzuka na Mixing za

Ilikua sio Mchezo kabisa ndani ya

Tukutane Jumamosi Hii 24 Ndani ya

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj-Laty D Tizo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj-Laty D Tizo:

Videos

Share

Category


Other DJs in Zanzibar

Show All