Pizzo Online Tv

Pizzo Online Tv He you will get impontant news from the world about music and the bible interpretation from the protestants and the seventh day Adventist church.

We invite you to support us by subscribing our channel, give us a like, comment and share.

Hatimaye sasa imefika
08/06/2024

Hatimaye sasa imefika

04/06/2024

Ubunifu katika mapishi-

Tumewezeshwa na .solution

Siku zinahesabika na sasa zimebaki siku………….
04/06/2024

Siku zinahesabika na sasa zimebaki siku………….

03/06/2024

Siri ya Kwanza // Mwanamke Mwenye Mafanikio Katika Ndoa

03/06/2024

Mwanamke Mlinde Sana Mume Wako

KAHAMA NET EVENT || YATOSHA JANGWANI 2024     Tunapewa nguvu na HADASA, Healthy Nourishing Enterprises (HNE), BMASIC Inv...
20/05/2024

KAHAMA NET EVENT || YATOSHA JANGWANI 2024

Tunapewa nguvu na HADASA, Healthy Nourishing Enterprises (HNE), BMASIC Investments, BMASIC Studios na Simpletech Solution. Usikose Kufuatilia Mafundisho mbalimbali kila ifikapo Saa 11:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku.

Lubaga SDA kutoka mkoani Shinyanga hawakubsku nyuma siku ya vijana. Wao walihitimisha kwa kufanya matendo ya huruma kati...
19/03/2024

Lubaga SDA kutoka mkoani Shinyanga hawakubsku nyuma siku ya vijana. Wao walihitimisha kwa kufanya matendo ya huruma katika namna tofautitofauti.

Siku ya vijana katika kanisa la Golani SDA Jijini Dar es Salaam walimaliza kwa namna hii huku wakiwa katika picha za pam...
18/03/2024

Siku ya vijana katika kanisa la Golani SDA Jijini Dar es Salaam walimaliza kwa namna hii huku wakiwa katika picha za pamoja hasa vijana wa k**e.

     Morogoro Mjini SDA church, watoto na vijana watembelea vitup vya watoto wenye mnahitaji maalumu na kushiriki ibada ...
18/03/2024


Morogoro Mjini SDA church, watoto na vijana watembelea vitup vya watoto wenye mnahitaji maalumu na kushiriki ibada pamoja nao.

15/03/2024
Tangaza biashara au shughuli yako nasi katika *Retreat* hii ya ATAPE 2024 kwa vipindi vyote vitakavyokuwa vinarushwa mba...
15/03/2024

Tangaza biashara au shughuli yako nasi katika *Retreat* hii ya ATAPE 2024 kwa vipindi vyote vitakavyokuwa vinarushwa mbashara kwenye channel yetu ya YouTube na mitandao yetu yote ya kijamii. Kumbuka katika Retreat za ATAPE huwa tunakuwa mbashara kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, hivyo kukupa fursa ya kuitangaza biashara yako mara kwa mara, na ikaweza kuleta matokeo chanya. Tumia fursa hii kuongeza wateja wapya na kuwajulisha huduma zaidi unazozitoa. Ni kuanzia tarehe Machi 27-31/2024. Karibu sana.

Karibuni Sana wapendwa kwa huduma hii tunapoelekea katika sikukuu hizi muhimu na adhimu mwaka huu wa 2024.Hii ni kwa Tan...
11/03/2024

Karibuni Sana wapendwa kwa huduma hii tunapoelekea katika sikukuu hizi muhimu na adhimu mwaka huu wa 2024.
Hii ni kwa Tanzania nzima.



Barikiwa sana.

Adresse

Democratic Republic Of The

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Pizzo Online Tv publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager