HUBA.mtz

HUBA.mtz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HUBA.mtz, Digital creator, .

  me  huba.mtz     huba001
15/05/2024

me huba.mtz
huba001

Fanya kazi nasi pata ushauli pia beizetu ni rafiki
15/04/2024

Fanya kazi nasi pata ushauli pia beizetu ni rafiki

28/03/2024
JITAHIDI KUFANYA JAMBO LOLOTE KWA UBORA.Ili uweze kufanikiwa katika jambo fulani basi unashauriwa kufanya jambo hilo kin...
27/02/2024

JITAHIDI KUFANYA JAMBO LOLOTE KWA UBORA.

Ili uweze kufanikiwa katika jambo fulani basi unashauriwa kufanya jambo hilo kinyume na wengine wanavyofanya. Moja kati ya vitu vinavyowaathiri wengi kwenye yale wayafanyayo ni kwamba watu hao hufanya k**a wengine wafanyavyo kitu ambacho kinawafanya watu hao kupata matokeo ya kawaida ambayo hata wengiene hupata.

Mtu mmoja akisema kilimo cha matikiti kinalipa basi kila mmoja wetu atajitosa katika kilimo hicho, hivyo pindi utakapotafuta soko la kuuza matikiti hayo ni kwamba utashindwa kuuza kwa bei kubwa kwa sababu wakulima ambao walilima wanakuwa ni wengi hivyo soko lake linakuwa limeshuka.

Hivyo unachopaswa kuelewa ili uweze kuwa tofauti katika hili ni kwamba, watu wanaposema kilimo fulani kinalipa wewe usilime kwa sababu unapolima wapo wengi pia watalima hivyo utashindwa kuuza matikiti hayo kwa bei kubwa. Wewe jitahidi uje kulima kipindi ambacho wengi hawajalima.

Huo ni mfano, ila kwenye kila kitu ambacho unakifanya ili kitu hicho kiweze kuwa bora zaidi ni kwamba unatakiwa kufanya kitu hicho tofauti wa wengine (be against the others/ do opposite on others doing). Pindi utakapoamua kufanya hivyo amini usiamini utapata matokeo makubwa san

NJINSI YA KUJUA TABIA YAKO HALISITabia yako halisi utaijua wakati ambapo unapitia magumu kwenye maisha yako. Wakati unap...
24/02/2024

NJINSI YA KUJUA TABIA YAKO HALISI

Tabia yako halisi utaijua wakati ambapo unapitia magumu kwenye maisha yako. Wakati unapitia mazuri, sio rahisi sana kujua tabia yako, zaidi unaweza ukawa unaigiza tu.

Utaijua tabia yako halisi pale ambapo mambo yanakuwa magumu, pale ambapo umekutana na changamoto kubwa, na pale ambapo unaona kila kitu hakiendi kabisa.

Wakati wa magumu ndiyo wakati unaoweza kupima imani yako binafsi, misimamo yako na vipaumbele vyako. Pia ndiyo wakati unaoweza kupima mahusiano yako na wengine.

Wakati mwingine tunapitia magumu kwenye maisha yetu, ili tuweze kujifunza kuhusu sisi wenyewe. Unapokuwa unapitia ugumu, usiishie tu kulalamika, jifunze tabia zako halisi.

HAKUNA MIPAKA LINAPOKUJA SUALA LA KUJIFUNZA📚📚.Wakati mwingine unapaswa kuelewa kwamba kile ambacho unakijua leo baada ya...
23/02/2024

HAKUNA MIPAKA LINAPOKUJA SUALA LA KUJIFUNZA📚📚.

Wakati mwingine unapaswa kuelewa kwamba kile ambacho unakijua leo baada ya miaka mitano ijayo kinaweza kisiwe na faida tena au kinaweza kisilete matokeo yale ambayo mwenyewe unayapata kwa sasa. Nimesema hayo kwa sababu kwa hivi sasa mambo yanabadilika sana.

Hivyo ili kuenda sawa na mabadiliko hayo ni kwamba hata wewe unapaswa kubadilika pia. Na njia pekee ambayo itakayokusaidia kwa namna moja ama nyingine kuwa bora zaidi ni kwamba unatakiwa kujiimarisha wewe mwenyewe kila siku.

Na njia pekee itakayokusaidia kuweza kujiimarisha ni kwamba unatakiwa kuhakikisha kwamba unaenda na mabadiliko yanayotokea kila siku kwa kujifunza mambo mapya kila wakati. Kwenye kila sekta unayoifanyika kazi unapaswa kujifunza namna ambavyo utakuwa bora kila wakati.

Kumbuka kujifunza hakuna mipaka hivyo ni muhimu sana kwako kuweza kujifunza mambo mbalimbali yatakayokusaidia kwa namna moja ama nyingine kuwa bora zaidi kwenye kile unachokifanya kila wakati.

MSINGI WA MAFANIKIO YA MTU.Moja ya msingi mojawapo ambao unatakiwa uuzingatie ili ukupe mafanikio ni kuheshimu vitu vido...
22/02/2024

MSINGI WA MAFANIKIO YA MTU.

Moja ya msingi mojawapo ambao unatakiwa uuzingatie ili ukupe mafanikio ni kuheshimu vitu vidogo. Unatakiwa kuheshimu pesa zako hata k**a ni kidogo, unatakiwa kuheshimu biashara yako hata ikiwa ni kidogo na chochote kile.

Unapokuwa unajenga dharau kwenye vitu vidogo, huko ni kujitengenezea kushindwa. kitu unachotakiwa ukumbuke mafanikio yanajengwa kwenye vitu vidogo sana ambavyo kuna wakati hata hufikirii, k**a vinaweza vikakukapa mafanikio.

Angalia eneo ulipo na watu ulionao, wapo watu ambao walianza na vitu vidogo sana hadi wakafanikiwa. Kilichoweza kuwafanikisha si kitu kingine bali ni heshima ya vitu vidogo. Hivyo, heshima katika vitu vidogo ni kitu cha msingi sana

Ndio bibiyangu akukute utamuita kwa herufi kubwa miguu nchini.Tulio watoto wa bibi ni    ili tujuane 2024 hakuna kuchepu...
29/01/2024

Ndio bibiyangu akukute utamuita kwa herufi kubwa miguu nchini.

Tulio watoto wa bibi ni ili tujuane 2024 hakuna kuchepuka🤜🤜🎀🎇🎇♥️♥️

Watoto wa bibi tunasiri nyingi
28/01/2024

Watoto wa bibi tunasiri nyingi

Check out Ayubu's video.

Watoto  wa bibi  msiseme sjawaonesha namkitaka kudeka nendeni kwa babazeni 🤜🤜🤜🤜
28/01/2024

Watoto wa bibi msiseme sjawaonesha namkitaka kudeka nendeni kwa babazeni 🤜🤜🤜🤜

Et huyu  mama ninani???
28/01/2024

Et huyu mama ninani???

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Wazi...
17/01/2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Hassen. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi. Tarehe 16 Januari 2024.

Nasikia huyu mwamba anaipenda kazi yake  bebu follow  k**a wewe ni familia ya hipapp
17/01/2024

Nasikia huyu mwamba anaipenda kazi yake bebu follow k**a wewe ni familia ya hipapp

Unahisi anasubili nani??
16/01/2024

Unahisi anasubili nani??

16/01/2024
Unawaza ninì k**a chai ipo
15/01/2024

Unawaza ninì k**a chai ipo

Eti leo siku gann????
08/01/2024

Eti leo siku gann????

07/01/2024

Mtu alie pewa ofaa na alie pewa bure
Yupi alie saidiwa?????

Mumpende kewli msiwe wanafk mkitoka inje ya ukumbi mnavaa viatu vya mataili
21/12/2023

Mumpende kewli msiwe wanafk mkitoka inje ya ukumbi mnavaa viatu vya mataili

AUWAWA NA KUFUKIWA KWENYE KISIMAMwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Salome Nko (pichani kulia) ambaye ni Mkazi wa S...
19/12/2023

AUWAWA NA KUFUKIWA KWENYE KISIMA

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Salome Nko (pichani kulia) ambaye ni Mkazi wa Seele Singisi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ameuawa na kufukiwa kwenye kinyesi cha ng’ombe na Mtu anayedaiwa kuwa ni Mume wake baada ya kutengana kutokana na kugombana na kila mmoja kuishi sehemu yake.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Kaganda amethibisha kufariki kwa Salome na kusema Watu kadhaa akiwemo Mumewe wanashikiliwa kwa uchunguzi.

Jamani imetosha nimdaa wa burudani sasa
18/12/2023

Jamani imetosha nimdaa wa burudani sasa

Ni jan2 wameleta A.V.R tayar imenasa
18/12/2023

Ni jan2 wameleta A.V.R tayar imenasa

Madhambi hayata wahi kuisha japo wanaamuru kutafutwa anao isema serikali sasa mpanda wamekosa nini Mvua kunyesha nikosaa...
18/12/2023

Madhambi hayata wahi kuisha japo wanaamuru kutafutwa anao isema serikali sasa mpanda wamekosa nini
Mvua kunyesha nikosaa????
Kulima nikosaa???
Je,mahindi kustawi nikosasa ?????
Bangi niharamu je mahindiii
Viongozi kukemea haitoshi wachukuliwe hatua za kisheria ili iwe funzo kwa viongoz wa sampuli zao

Nawatakia nyote kheri ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii kubwa kwa nchi yetu...
17/12/2023

Nawatakia nyote kheri ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii kubwa kwa nchi yetu na kuwaombea viongozi waliotangulia mbele ya haki ambao walikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wetu.

Miaka hii 62 ya ujenzi wa Taifa letu inatupa kipimo cha kufanya tathmini ya tulikotoka, tulipo na pale ambapo tunakusudia kufika. Tumepiga hatua kubwa za maendeleo katika kila sekta. Tumefanikiwa kuendelea kutunza amani, umoja na mshik**ano wa taifa letu ambayo ni chachu kubwa ya maendeleo yetu. Tujipongeze. Tusonge mbele.

Ujenzi wa nchi ni suala endelevu. Mafanikio tuliyonayo leo ni matokeo ya uongozi thabiti, maono na kazi ya viongozi wetu walionitangulia. Nawashukuru na kuwapongeza Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Ali Hassan Mwinyi, Hayati Benjamin Mkapa, Mzee Jakaya Kikwete na Hayati Dkt. John Magufuli. Ahadi yangu ni kuendeleza mema yote waliyoiletea nchi yetu, kujifunza kutokana na changamoto walizokutana nazo.

Imekuwa jion
17/12/2023

Imekuwa jion

Address


Telephone

+255676021777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HUBA.mtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HUBA.mtz:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share