18/03/2016
Katika barua ambayo imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari leo Machi 18,2016, Wabunge wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020 kwa kile kinachotajwa k**a kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kupo…