officialwillpaultz

  • Home
  • officialwillpaultz

officialwillpaultz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from officialwillpaultz, Video Creator, .

Ujasiri wako na kujiamin Sana Kuna wengine watatafsiri ni dharau, wapo watakaosema kua BUSY kwako ni KUJIDAI wengine wat...
08/08/2023

Ujasiri wako na kujiamin Sana Kuna wengine watatafsiri ni dharau, wapo watakaosema kua BUSY kwako ni KUJIDAI wengine wataona kua kupambana kwako ni kujivisha nafas za wengine ANYWAY unacho takiwa kujua ni kua kwa CHOCHOTE utakacho amua kufanya mtu yeyote anayo nafasi ya kutafsiri anavyotaka.

K**a hujasoma huezi elewa👊

Miongoni mwa watu maskini ni watu kufikiri K**a wanavyofikiri watu wote, japo ukiwa unafikiri K**a inavyo fikiri jamii m...
08/08/2023

Miongoni mwa watu maskini ni watu kufikiri K**a wanavyofikiri watu wote, japo ukiwa unafikiri K**a inavyo fikiri jamii mzima watakusifu una tabia nzuri, lakini ni kifungo Cha hakika siku zote utabaki ktk umaskini, wale wote waliofanya mabadiliko makubwa katika Dunia walifikiri kinyume/tofauti na watu wengine wote ambao tunawajua ndio maana wakafanikisha kufanya Mambo makubwa.

Chagua wew unataka kuwa mtu huyu ambae anaiona Dunia katika namna ya tofauti au ungependa kuwa yule ambae anasifiwa na tabia nzuri Sana kwa maana anafikiri K**a Kila anavyofikiri mtu mwingine

mpaka kesho huezi nielewa K**a hujasoma

Address


Telephone

+255688095570

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when officialwillpaultz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share