09/05/2022
UJUZI + SOMO
i/ IP address : ni namba ya pekeyake inayotambulisha kifaa katika network husika
ii/ subnet mask: ni namba inayotambulisha sehemu ya host na ya network. Katika IP address
iii/ default gateway: njia ya kutokea/interface inayoruhusu local host kwenda Kwenye remote host. Mfano fast_Ethernet 0/1
6. ether channel: kutengeneza logical link katika switch kusudi kuongeza LAN bandwidth
7. i/ hyper text transfer protocol: http. hii ni kanuni ya mawasiliano inayowezesha hyper text document kusafirishwa kutoka kwa webserver kwenda kwa client
ii/ hyper text document: hili ni file lenye kusafirishwa au lililopo Kwenye website.
iii/ Hyper text markup language: hii ni lugha ya kutengeneza webpage
7. i/ cold boot: mtumiaji wa computer anapoiwasha kwa kubonyeza button
ii/ BOOT MBR: file katika windows linaloshuhulika na uwakaji wa pc
iii/ BOOT INIT: file katika Linux. Linaloshuhulika na kuleta sehemu ya kuweka password katika uwakaji
iV/ 3G: kizazi cha tatu/third generation. Katika cellular broadband yenye uwezo wa kusafirisha picha,sauti,data,video katika Chanell moja kwa mwendo wa kasi
V/ 2G: kizazi cha pili/ 2nd generation katika teknolojia ya cellular broadband chenye uwezo wa kusafirisha sauti, multimedia,text,
Vi/ 3D: pande tatu/three dimensions katika utengenezaji wa graphics. Umbile lenye kuonekana kwa realistic image and textures.
Vii/ HD: muonekano wa mfumo data computer katika hali ya juu. Clear high resolution. iliyotokana na kubananishwa kwa pixels
Viii/ RGB component: ni jumla ya rangi tatu. Yani RED, GREEN, BLUE ambapo rangi zote zinatokana na hizo katika mashirikiano yao mfano👇🏿 kila rangi moja ina value 255
PURE RED =👇🏿
red iwe 255
Green iwe 0
blue iwe 0
na kwamba red ikipungua hata 1. ikawa 254, au 200 sio pure red Téna .......na pia pure green green iwe 255 nyingine zote 0 ......ukichanganya namba unapata rangi nyingine
iX/ RGB composite. ni cable zinazosafirisha analog video na audio signals. Mfano wa hizi ni zile. Nyeupe, njano,na nyekundu. Za Kwenye TV na deki
X/ DVI. cable inayosafirisha mawimbi ya analogia na digitali