GOSPE POWER MEDIA

  • Home
  • GOSPE POWER MEDIA

GOSPE POWER MEDIA Gospel Power Media is Media for his God Kingdom

05/05/2024
19/04/2024

KWA KIZAZI HIKI CHA TWITTER AMBACHO WAHUBIRI WENGI CHOKA MBAYA
INJILI YA KWELI=20%
INJILI YA UONGO=80%.

SHETANI ANAUPIGA MWINGI MPAKA UNAMWAGIKA.

DON'T FOCUS ON YOUR WEAKNESSES!_____________________________________ In your journey to success, it is important to ackn...
04/02/2024

DON'T FOCUS ON YOUR WEAKNESSES!
_____________________________________

In your journey to success, it is important to acknowledge your weaknesses, but know that you are not defined by them. A great lesson can be drawn from the chamelion. As slow as it is, it has never died of hunger.

It searched within itself and found a part that was faster than any insect–it's tongue.
Child of God, stop focusing on your weaknesses. Instead, make it a point to search within yourself until you discover that God-given ability that will propel you toward your goals.The key to your success is hidden within you!





17/01/2024

Radio Maria Tanzania

KABLA YA KUMTOLEA MUNGU USIJE UKASAHAU HUU MSTARI.Luka 11:42[42]Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mn...
09/01/2024

KABLA YA KUMTOLEA MUNGU USIJE UKASAHAU HUU MSTARI.

Luka 11:42
[42]Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mnanaa na mchicha na kila mboga, na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili.
But woe unto you, Pharisees! for ye tithe mint and rue and all manner of herbs, and pass over judgment and the love of God: these ought ye to have done, and not to leave the other undone.

KABLA YA KUMTOLEA MUNGU SADAKA USIJE UKASAHAU HUU MSTARI.Luka 11:42[42]Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zak...
09/01/2024

KABLA YA KUMTOLEA MUNGU SADAKA USIJE UKASAHAU HUU MSTARI.
Luka 11:42
[42]Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mnanaa na mchicha na kila mboga, na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili.
But woe unto you, Pharisees! for ye tithe mint and rue and all manner of herbs, and pass over judgment and the love of God: these ought ye to have done, and not to leave the other undone.

MASOMO MEMA WANAFUNZI WOTE
07/01/2024

MASOMO MEMA WANAFUNZI WOTE

TAFAKARIKumbukumbu la Torati 23:14[14]kwa kuwa BWANA. Mungu wako, yuatembea katika kituo akuokoe, na kukutolea adui zako...
02/01/2024

TAFAKARI
Kumbukumbu la Torati 23:14
[14]kwa kuwa BWANA. Mungu wako, yuatembea katika kituo akuokoe, na kukutolea adui zako mbele yako; kwa hiyo na kiwe kitakatifu kituo chako; asije akaona kitu kwako kisichokuwa safi, akageuka na kukuacha.
For the LORD thy God walketh in the midst of thy camp, to deliver thee, and to give up thine enemies before thee; therefore shall thy camp be holy: that he see no unclean thing in thee, and turn away from thee.

KWA NIABA YA FAMILIA YANGU NA UONGOZI MZIMA WA GOSPEL POWER MEDIA TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA NDUGU NA MARAFIKI ZETU ...
01/01/2024

KWA NIABA YA FAMILIA YANGU NA UONGOZI MZIMA WA GOSPEL POWER MEDIA TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA NDUGU NA MARAFIKI ZETU WOTE DUNIANI.

NAJUA UMEPANGA MIPANGO MINGI SANA MWAKA 2024 ILI USISAHAU HII
Mathayo 6:33
[33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
But seek ye first the kingdom of God, and his righteousness; and all these things shall be added unto you.

Wagalatia 5:19-21[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Now the works of the fles...
09/12/2023

Wagalatia 5:19-21
[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
Now the works of the flesh are manifest, which are these; Adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
[20]ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Idolatry, witchcraft, hatred, variance, emulations, wrath, strife, seditions, heresies,
[21]husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, k**a nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which I tell you before, as I have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of God.

Matendo ya Mitume 17:6[6]na walipowakosa, wakamkokota Yasoni na baadhi ya ndugu mbele ya wakubwa wa mji, wakipiga kelele...
08/12/2023

Matendo ya Mitume 17:6
[6]na walipowakosa, wakamkokota Yasoni na baadhi ya ndugu mbele ya wakubwa wa mji, wakipiga kelele, wakisema, Watu hawa walioupindua ulimwengu wamefika huku nako,
And when they found them not, they drew Jason and certain brethren unto the rulers of the city, crying, These that have turned the world upside down are come hither also;

MTUMISHI WA UONGO NA FEDHA1. Hawapi watu uhuru wa kutoa fedha kwa hiari yao baada ya kuwapa kweli ya Neno, badala yake a...
08/12/2023

MTUMISHI WA UONGO NA FEDHA

1. Hawapi watu uhuru wa kutoa fedha kwa hiari yao baada ya kuwapa kweli ya Neno, badala yake atawalazimisha watu na hata kuwapangia watu kiasi cha kutoa, hivyo watu watatoa si kwa moyo wa kupenda na k**a walivyokusudia moyoni kwa utashi na upendo wao kwa Mungu!

2 Wakorintho 9
7 Kila mtu na atende k**a alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

Kutoka 35
4 Kisha Musa akanena na mkutano wote wa wana wa Israeli, akawaambia, Neno hili ndilo aliloliamuru Bwana, akisema,

5 Katwaeni kati yenu matoleo kwa Bwana; MTU AWAYE YOTE ALIYE NA MOYO WA KUPENDA, AYALETE MATOLEO; dhahabu na fedha na shaba...

2. Ataweka kiingilio au sadaka maalum kumuona na kukuhudumia, wakati Bwana Yesu alisema wahudumu wa Injili tumepata bure kwa Mungu vipawa, karama na huduma tulizonazo na tunapaswa kutoa bure! Hii ya kutoza sadaka maalum na kiasi fixed ili kumuona mtumishi wa Mungu ni utapeli na wizi si agizo la Neno la Mungu!

Mathayo 10
8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; MMEPATA BURE, TOENI BURE.

3. Kuanzisha uuzaji wa vitu vinavyoitwa vya kiroho k**a vile maji, mafuta, vitambaa, udongo, mishumaa, sticker, picha nakadhalika KWA KISINGIZIO KWAMBA WANATAFUTA PESA YA KUENDESHA HUDUMA, KUENDESHA TV, REDIO, MISHAHARA YA WATENDA KAZI nakadhalika, Kibiblia hii haipo na si sawa, ni utapeli!
Kila mhudumu wa injili afanye yale tu yaliyo ndani ya uwezo wa huduma yake kwa wakati huo asilemee watu au kuanza ujanja ujanja wa kujipatia pesa kwa kudai ANAMSAIDIA MUNGU KUENDESHA HUDUMA KIFEDHA!
K**a huduma yako haijafika mahali pa kuwa na vipindi vya TV usiende kwenye TV na kisha kuja kupiga washirika au kuuza huduma!
K**a huduma yako ya uimbaji haijafika mahali pa kufanya LIVE RECORDING ZA MAKUMI YA MAMILIONI, nenda kashoot video ya wimbo mmoja mmoja acha kuweka viingilio kwenye ibada!
HAKUNA ASKARI ANAYEKWENDA VITANI KWA GHARAMA ZAKE MWENYEWE, SERIKALI YA NCHI HUSIKA HUMGHARAMIKIA!
Chochote ambacho ufalme wa Mungu haujakilipia, wewe mhudumu wa injili usitafute njia zako za kukipatia pesa, baki kwenye unachokimudu, JIPE MUDA KUKUA HADI UFIKE HIYO HATUA BILA KUUMIZA WATU

Ukiwa mkristo na huamini katika maarifa. basi lazima uwe nawakati mgumu.  Maana andiko linasema watuwangu wanaangamia kw...
05/12/2023

Ukiwa mkristo na huamini katika maarifa. basi lazima uwe nawakati mgumu. Maana andiko linasema watuwangu wanaangamia kwakukosa maarifa. (hosea 4:6)
Maana aliposhuka kuzimu, alimnyan`ganya funguo na mamlaka. amebakiwa namaarifa. Sasa k**a huamini katika maarifa basi utachelewa.

Hiki nikikao chawachawi wakubwa kilichofanyika katika kisiwa flani hapahapa. Afrika mashariki.

ROHO MTAKATIFU NI ZAIDI YA GOOGLE.Moja ya changamoto kubwa kwa kizazi hiki ni inshu ya mtandao na sisemi mitandao ni mba...
05/12/2023

ROHO MTAKATIFU NI ZAIDI YA GOOGLE.

Moja ya changamoto kubwa kwa kizazi hiki ni inshu ya mtandao na sisemi mitandao ni mbaya,ila kadiri utakavyoitegemea mitandao ndivyo utakavyozidi kuwa mtumwa wa hiyo mitandao
Kwa sasa mtu akiota ndoto anaenda kuuliza tafsiri yake mtandaoni,

Mtu akitaka mme au mke sahihi anaenda kuuliza mtandaoni.

Mtu akitaka kujua nyota yake anaenda kuuliza mtandaoni

Mtu akitaka kujua namna ya kumdhibiti mke au mme hasichepuke anaenda mtandaoni

Mtu akitaka namna gani amtumikie Mungu anaenda mtandaoni
Yaani chochote kinachohusu maisha ni mtu na mtandao kisha huyo huyo anataka aone matokeo makubwa kwenye maisha yake,anataka aone nguvu za Mungu kwenye maisha yake,sasa kwa taarifa yako vitu vingi ni kweli unaweza kupata majibu yake kupitia simu au kompyuta yako hii haimanishi majibu hayo ni sahihi sana.

Google ni nzuri sawa lakini iwe na kikomo chake au kiasi.Mfano unaweza kutafuta habari za mtu,maana ya neno,data fulani n.k.ila sio mambo yanayohisu maisha yako ya kiroho.

Kwa habari ya ndoto,maono,n.k ni vema kumuuliza Mungu na kusubiri jibu kutoka kwake.

Jambo la kusikitisha kwa nyakati hizi simu zinaenda kuziba nafasi ya Roho wa Mungu ndani ya wengi,maana chochote kile mtu anaamini atakipata mtandaoni,lakini niseme hivi maagizo ya moja kwa moja kutoka rohoni ndio sahihi na bora kuliko lolote.

Mungu akupe neema ya kujifunza kuuliza vitu katika ulimwengu wa roho. Kwa kupitia Roho Mtakatifu

K**a wewe ni mristo Halisi
Tafuta Kujazwa Nguvu za Roho Mtakatifu wa kweli

Roho Mtakatifu NI jawabu la maswali yote



Mwj. Allan Wales
(+255) 0710679104

Mfahamu Yehoyakim mfalme kafili , ambaye yeye ndiye sabanu ya kuwepo wa siku kuu ya XmasAnaitwa Yehoyakim , pia wakati m...
05/12/2023

Mfahamu Yehoyakim mfalme kafili , ambaye yeye ndiye sabanu ya kuwepo wa siku kuu ya Xmas

Anaitwa Yehoyakim , pia wakati mwingine huandikwa Jehoikim alikuwa Mfalme wa kumi na nane kabla ya Yuda kutoka 609 hadi 598 KK. Alikuwa mwana wa pili wa Mfalme Yosia ( 1 Mambo ya Nyakati 3:15 )

Huyu bwana hakuwai kumuamini Mungu kabisa , sifa yake ya kutokumpenda Mungu wa Israel ndiyo iliyomfanya aachiwe huru na kuwa kibaraka wa wa Roma

Yeremia 52:31
Hata ikawa, katika mwaka wa thelathini na saba wa kuhamishwa kwake Yehoyakini, mfalme wa Yuda,

katika mwezi wa kumi na mbili, siku ya ishirini na tano ya mwezi,

Yaani tarehe 25 mwezi wa 12

Evil-merodaki, mfalme wa Babeli, katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake, akamwinua kichwa chake Yehoyakini, mfalme wa Yuda, akamtoa gerezani.

Tarehe 25 mwezi wa 12 ni siku aliyotolewa gerezani mfalme jehoyakim lakini wa roma ambao ndio maasimu wakubwa wa bwana Yesu waka waingiza watu kwenye ukafili wao na kuwaambia tarehe hiyo ya 25 mwezi wa 12 ndio siku aliyo zaliwa Yesu kwaiyo tusherehekeeni kwa pamoja , bila ya kujua wanausherehekea ushetani

Ila ukweli yeyote anaye isherehekea siku hiyo ya tarehe 25 mwezi wa 12 Ajue anasherehekea kuachiwa uhuru kwa mfalme muovu Yehoyakim aliye choma moto kitabu kitakatifu chenye maneno ya Mungu

Yeremia 36:23
Hata ikawa, Yehudi alipokuwa amekwisha kusoma kurasa tatu nne, mfalme akalikata kwa kijembe, akalitupa katika moto wa makaa, hata gombo lote likawa limekwisha kuteketea katika huo moto wa makaa.

Nimesoma kurasa zote za bible sokuona sehemu palipoandikwa kuwa Yesu kazaliwa tarehe 25 desemba , hakuna na k**a ipo naombeni munionyeshe ,ila k**a hamna jueni munamshilikisha Yesu katika uovu wa jehoyakim kwaiyo andaeni majibu ya kumpa Mungu

Ushauli wangu kwa waislamu tujiepusheni na ghadhabu za Allha tusisherehekee Xmas ni sikukuu ya kikafili , Tusipokee ata zawadi au chakula kilichopikwa kwaniaba ya sikukuu hiyo , ni Bora akuone mbaya jirani kuliko akuone mbaya Mungu

Tunamshukuru MUNGU kwa ajili ya kila mmoja ambae anatoa sadaka yake na zaidi Namshukuru MUNGU kwa mtumishi wake aliyelip...
05/12/2023

Tunamshukuru MUNGU kwa ajili ya kila mmoja ambae anatoa sadaka yake na zaidi Namshukuru MUNGU kwa mtumishi wake aliyelipia nusu ya gharama ya tiketi kwa ajili ya wanafunzi.

Kwa sasa tiketi za Wanafunzi na watoto zinapatikana kwa Tsh. 10,000 tu.

Jinsi ya kupata tickets?
1. Download/ fungua Nilipe App
2. Chagua Events
3. Chagua ( jina la show) AMBWENE MWASONGWE
4. Chagua namba ya ticket unazo taka kisha kamilisha malipo.
5. Au Tupigie 0767619931 / 0713619931 tukuhudumie.

Usikose.


MOJA YA ISHARA INAYOONESHA KWAMBA TANZANIA INA MANABII FEKI WENGI SANA NI HII.MAJANGA YANAIKUTA NCHI MANABII WANAENDELEA...
05/12/2023

MOJA YA ISHARA INAYOONESHA KWAMBA TANZANIA INA MANABII FEKI WENGI SANA NI HII.MAJANGA YANAIKUTA NCHI MANABII WANAENDELEA KULA BATA MJINI SHIDA NI MOJA WANAZANI KUWA NABII NI CHEO.

Hesabu 12:6
[6]Kisha akawaambia,
Sikizeni basi maneno yangu;
Akiwapo nabii kati yenu,
Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono,
Nitasema naye katika ndoto.

MUNGU ANIPE NEEMA KUNA SIKU NITAFUNDISHA SIFA ZA NABII KIBIBLIA ANATAKIWA AWEJE

"Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote;  atufarijiye katika dhiki zet...
05/12/2023

"Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu. Kwa kuwa k**a vile mateso ya Kristo yanavyozidi kwetu, vivyo hivyo faraja yetu inazidi kwa njia ya Kristo"
. 1:3-5

Maombi yetu kwenu ndugu watanzania wenzetu wa Hanang ni kwamba Bwana Yesu awafariji kwa faraja kuu katika hali ambayo imewakuta. Bado MUNGU anabaki kuwa MUNGU hata kwenye mabaya haya yaliyotupata pamoja nanyi.

Address


Telephone

+255783852837

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GOSPE POWER MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GOSPE POWER MEDIA:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share