C.E.O wa @itsecholight @bigboysalvii ametoa wito kwa wasanji wote wanojihusisha na sanaa kusini mwa Tanzanja kujitokeza na kuendelea kufanya kazi zao za sanaa kwa ubora ila Media iendelee kusukuma gurudumu lao kuelekea mafanikio zaidi katika Sanaa zao.
Kikao hiki kimeongozwa na mwenyekiti wa umoja wa wasanii ndugu Steven katika ukumbi wa @vosfmtz 90.1 chini ya Kitengo cha Muziki Radio Vos leo Januari 11 2025.
#2025LughaNiMoja
POWERPLUS ya 90.1
Kila siku za JUMATATU - IJUMAA
Saa 7:00 Mchana - Saa 10 Jioni
Timu: @mkatolikiofficial @djwaya_tz @danielkipanta @minahdaisy1 @djtyson_babayao
POWERPLUS ya 90.1 VOS FM RADIO
Kila siku za JUMATATU - IJUMAA
Saa 7:00 Mchana - Saa 10 Jioni
Timu: @mkatolikiofficial @djwaya_tz @danielkipanta @minahdaisy1 @djtyson_babayao
#POWERPLUS ya 90.1
Kila siku za JUMATATU - IJUMAA
Saa 7:00 Mchana - Saa 10 Jioni
Timu: @mkatolikiofficial @djwaya_tz @danielkipanta @minahdaisy1 @djtyson_babayao
#BEATSCHALLENGE ya #POWERPLUS na SAUTI CLASSIC
Ngoma ya @mbosso_ imepigwa live kupitia 90.1 ikiwa ni BeatChallenge ya Pili kwa Mwaka 2025.
Kipindi: #POWERPLUS
#2025LughaNiMoja
Moto wa nyika ambao umekuwa vigumu kudhibitiwa unateketeza sehemu za Los Angeles, na kusababisha vifo vya takriban watu watano, kuharibu mamia ya majumba, na kulazimisha zaidi ya watu 130,000 kukimbia kutoka majumbani mwao katika jiji la pili kwa ukubwa Marekani.
Licha ya jitihada za wazima moto, miale mikubwa ya moto inaendelea kushika kasi, huku hali ya hewa na athari za mabadiliko ya tabianchi zikitarajiwa kuendelea kuzidisha moto siku zijazo.
Zaidi ya watu 137,000 wamekimbia majumbani mwao, wengi wao wakiwa na mizigo kidogo walichoweza kubeba.
Polisi wamesema kuwa watu watano wamepoteza maisha, na miili yao kupatikana karibu na moto wa Eaton, ingawa chanzo cha vifo vyao hakijajulikana. Kama moto wa Palisades ulivyokuwa mkubwa zaidi, moto wa Eaton pia haujaweza kudhibitiwa
Maafisa wanataja upepo mkali na ukame katika eneo hili, ambao umeifanya mimea kuwa kavu na rahisi kuwaka moto.
Athari zinazowezekana za mabadiliko ya tabianchi pia zinatajwa
Zaidi ya asilimia 95 ya mizarani ya moto katika eneo hili inaanzishwa na binadamu, kulingana na David Acuna, mkuu wa kikosi cha moto cha California, ingawa maafisa hawajatoa maelezo kamili kuhusu chanzo cha moto huu wa sasa.
Kipengele muhimu kilichotajwa katika kuenea kwa moto ni upepo wa Santa Ana, ambao unapuliza kutoka bara kuelekea pwani. Kwa kasi ya zaidi ya maili 60 kwa saa (97 km/h), inaaminika kuwa upepo huu umekuwa ukifanya moto kuzidi kuteketeza.
#2025LughaNiMoja
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Emmanuel Ntobi amewekeza wazi sababu za kumuunga mkono Freeman Mbowe Mgombea nafasi ya Uenyekiti na kueleza kwanini hamuungi mkono Mgombea Tundu Lissu.
Ntobi amezungumza hayo ikiwa ni saa kadhaa zimepita mara baada ya kuenguliwa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga i kutokana na kukiuka maadili na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchafua Viongozi wa chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
#2025LughaNiMoja
Emmanuel Ntobi aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga amefunguka kufuatia Kamati Tendaji ya CHADEMA Kanda ya Serengeti inayoundwa na Mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kumvua uongozi kutokana na kukiuka maadili na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchafua Viongozi wa chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
#2025LughaNiMoja
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya ameonesha kuridhishwa na mwenendo wa ujenzi wa mradi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ambao unatarajiwa kukamilika Mwezi wa tatu, 2025.
Mradi huo mpaka sasa umefikia asilimia 40, ukihusisha ujenzi wa barabara ya kurukia Mita 1750 sawa na KM 1.75, ujenzi wa barabara ya viungio (Taxiways) kiwango cha lami Mita (15×40), ujenzi wa maegesho ya ndege (Apron) kiwango cha lami Mita (145×75) na ujenzi wa jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia abiria 150,000 kwa Mwaka.
🎥@dr.comfort1
#2025LughaNiMoja