Young Africa power of the country

Young Africa power of the country Karibu mwanachama na mshabiki wa yanga sc jiunge nasi kupata habari za yanga sc
(1)

Wananchi merry Christmas πŸŽ… πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š  TUMA PICTURE YAKO WHATSAPP UKIWA NA JEZI YA YANGA SC NIKUPOST UMU 0719-772409 namba ya W...
25/12/2024

Wananchi merry Christmas πŸŽ… πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š
TUMA PICTURE YAKO WHATSAPP UKIWA NA JEZI YA YANGA SC NIKUPOST UMU

0719-772409 namba ya WhatsApp

SISI NI NDUGU

K**ati ya marefa Tanzania 🀣🀣
24/12/2024

K**ati ya marefa Tanzania 🀣🀣

Sisi tunajua kinachoendelea asahvi k**ati ya marefa wakishirikiana na Tanzania Football Federation Mpango wao kuisaidia ...
24/12/2024

Sisi tunajua kinachoendelea asahvi k**ati ya marefa wakishirikiana na Tanzania Football Federation

Mpango wao kuisaidia simba kila mechi ata kwa goli la offside au penati

K**ati ya marefa wanapewa na simba iyo ipo wazi

24/12/2024

Ili aya Mambo yaishe inabidi kuipeleka k**ati ya marefa mahak**ani tuwajambishe maana FIFA awahitaji mpira ufike mahak**ani

24/12/2024

Nilisema hapa watapata penati ya ajabu. Sisi tunajua wanachokifanya Simba wakishirikiana na k**ati ya MarefaπŸ’ͺπŸ’›πŸ’š

24/12/2024

Sasa kipindi cha pili mtaona penati ya ajabu watapewa simba 🀣🀣
Nipo palee

β€œNina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimw...
24/12/2024

β€œNina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyok**alika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic





24/12/2024

JEMEDARI SAIDI C.E.O wa JKT awezi kukubali JKT ikamfunge Simba
🀣🀣

Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, k**a tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ...
24/12/2024

Ushindi wa kesho una beba dhima nzima ya kujitoa kwa kila namna, k**a tusipojitoa kwa kila hali hapo kesho matarajio ya ushindi yatakuwa madogo, kimsingi tumekuja hapa na tumeshajiandaa kisawasawa na tuna imani ya kuondoka alama tatu. Bila shaka mchezo umekaa kimtego kutokana na ratiba lakini hiyo haiondoi dhamira yetu ya kushinda” Sead Ramovic





Maandalizi kuelekea mchezo wetu wa jumatano dhidi ya Dodoma Jiji FC yameanza rasmiπŸ”°πŸ’ͺ🏾
23/12/2024

Maandalizi kuelekea mchezo wetu wa jumatano dhidi ya Dodoma Jiji FC yameanza rasmiπŸ”°πŸ’ͺ🏾




Tarehe 03/01/2025 πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺTunacheza na Tp mazembe   Hii ni champion league sio loser    Kwenye maombi yenu tuikumbuke na yang...
23/12/2024

Tarehe 03/01/2025 πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

Tunacheza na Tp mazembe
Hii ni champion league sio loser


Kwenye maombi yenu tuikumbuke na yanga sc
Tuombee timu yetu ifanye vzur champion league

Machoni k**a watu ila Azam na Simba acheni uchawi jmn🀣🀣🀣Asante baba mchungaji kwa kumuombea dube migoli ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
23/12/2024

Machoni k**a watu ila Azam na Simba acheni uchawi jmn🀣🀣🀣

Asante baba mchungaji kwa kumuombea dube migoli ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

23/12/2024

Tupo nyuma yao tunawapumulia.
Ila jkt au singida kuna mmoja atafanya kweli🀣🀣

Wanangu wa back3    Kwenye SGR πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ
23/12/2024

Wanangu wa back3
Kwenye SGR πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

K**a unamjua mtaje? Aliwahi kucheza yanga sc ile ya kampa kampa tenaaaaaaaaAlikua kiungo wa shoka hatari zaidi   πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š
23/12/2024

K**a unamjua mtaje?
Aliwahi kucheza yanga sc ile ya kampa kampa tenaaaaaaaa

Alikua kiungo wa shoka hatari zaidi
πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š

  na timu yaoπŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ”°
23/12/2024

na timu yaoπŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ”°



Hongera maxi kwa kufungua duka lako la nguo   πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ
23/12/2024

Hongera maxi kwa kufungua duka lako la nguo
πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

Uyu nae ameshaanza kuropoka baada ya kutimuliwa πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š
23/12/2024

Uyu nae ameshaanza kuropoka baada ya kutimuliwa πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š

Address

Kiomboi
Singida

Telephone

+255719772409

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Young Africa power of the country posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Young Africa power of the country:

Videos

Share