Njombe TV

Njombe TV NI PAGE INAYOUNGANISHA CHANNEL YA NJOMBE TV INAYOPATIKANA YOUTUBE https://youtu.be/SOQAqoBYFvk

08/01/2025
06/01/2025
Usichelewe jollamu proper company ni chaguo sahihi
05/01/2025

Usichelewe jollamu proper company ni chaguo sahihi

04/01/2025

WASICHANA WAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA PILI 2024



Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), limesema wasichana wameongoza kufanya vizuri katika mitihani wa Kidato cha Pili na wa Darasa la nne, kwa mwaka 2024.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania, Dkt. Said Mohamed imeeleza kuwa,katika matokeo ya mtihani wa upimaji wa Kidato cha Pili yaliyotangazwa Jumamosi, Januari 4, 2025 na Baraza la Mitihani ya Taifa (NECTA), yameeleza kuwa, jumla ya wanafunzi 680,574 kati ya wanafunzi 796,825 waliofanya mtihani huo wamefaulu, sawa na asilimia 85.41.

Amesema, wanafunzi hao wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu kwa kupata madaraja ya I, II, III na IV, ambapo matokeo haya yanaonyesha kuwa, wasichana waliofaulu ni 367,457, ikiwa ni asilimia 54, huku wavulana wakiwa 313,117, sawa na asilimia 46.

Akielezea matokeo ya Mtihani kwa Darasa la Nne, Dkt. Mohamed amesema, jumla ya wanafunzi 1,320,227 kati ya wanafunzi 1,530,911 waliofanya mtihani wa Darasa la Nne, sawa na asilimia 86.24 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B, C na D ikiwa ni ongezeko la asilimia 2.9.

NECTA imesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 699,901 sawa na asilimia 53, na wavulana ni 620,326 sawa na asilimia 47.

Takwimu zinaonesha kuwa jumla ya shule 197 kati ya shule 20,036 za Msingi zimepata wastani wa Daraja E katika mtihani wa Darasa la Nne, ikiwa ndilo daraja la chini zaidi lenye alama kati ya 0 na 60.

NECTA imesema idadi ya shule zilizofanya vibaya zimepungua kwani mwaka 2023 zilikuwa 325.

“Wanafunzi wa kujitegemea waliofaulu upimaji na kupata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne ni 4,205 sawa na asilimia 55.94, huu ni mwaka wa kwanza kwa Wanafunzi wa kujitegemea kutahiniwa upimaji huu”

Mitihani ya Taifa ya kuwapima uwezo wanafunzi wa Kidato cha Pili na Darasa la Nne, ulifanyika mwezi Oktoba na Novemba, 2024 Tanzania nzima.

* *

https://youtu.be/sXqn7CY8uKU
03/01/2025

https://youtu.be/sXqn7CY8uKU

RC MTAKA TANGU ALIPOFIKA MKOANI NJOMBE KUMEKUA NA MABADILIKO MAKUBWA KIUCHUMI KUTOKANA NA FALSAFA ZAKE AMEONYESHA MAPAMBANO YA DHATI DHIDI YA TATIZO LA MUDA ...

02/01/2025

Leo tarehe mbili mwezi wa kwanza mwaka 2025 msajili msaidizi wa msaada kisheria mkoa wa njombe ndugu elia kasanga amekutana na kamati ya uratibu ya msaada wa kisheria mkoa wa Njombe kutoka halmashauri zote za mkoa wa Njombe mwendesha mashtaka ,wasajiri wasaidizi kutoka halmashauri mkuu wa dawati la kijinsia kutoka jeshi la polisi kikao ambacho kimejadili masula mbalimbali ikiwemo changamoto zinazowakabili wasaidizi wa msaada wa kisheria kwa ngazi za halmashauri na kata

02/01/2025

UKOO WA ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA WABENA CHIFU MBEYELA MKONGWA IMEADHIMISHA SHEREHE ZA MWAKA MPYA WA 2025 KWA KUWATEMBELEA WATOTO WANAOSHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA MASISTA CHA COMPASSIONI KILICHOPO HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE NA KISHA KITOA MISAADA YA HALI NA MALI PAMOJA NA FEDHA.

Katibu wa Ccm Uenezi itikadi na mafunzo mkoa WA Njombe ndugu Josaya luoga anawatakia Mwaka Mpya wenye heri na mafanikio ...
01/01/2025

Katibu wa Ccm Uenezi itikadi na mafunzo mkoa WA Njombe ndugu Josaya luoga anawatakia Mwaka Mpya wenye heri na mafanikio Mwaka 2025 wananjombe na watanzania Kwa ujumla.

RAIS SAMIA APAISHA UCHUMI WA TANZANIA Uchumi wa Tanzania ulitarajiwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka 2024 na asilimia 5.8 m...
01/01/2025

RAIS SAMIA APAISHA UCHUMI WA TANZANIA



Uchumi wa Tanzania ulitarajiwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka 2024 na asilimia 5.8 mwaka 2025 na na asilimia 6.1 mwaka 2026.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Hali ya Uchumi Duniani kwa mwaka 2024 iliyotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF), Tanzania inakadiriwa kuwa kati ya nchi 10 za juu Afrika katika ukuaji wa uchumi kwa mwaka 2025.

Haya yameelezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akitoa salamu za kuuaga mwaka wa 2024 na kuukaribisha mwaka 2025.

* *

31/12/2024

Njombe tukajiandikishe

31/12/2024

ZAWADI YA MWAKA MPYA ASANTE MUNGU MKUU WEWE UTUPAYE MOYO WA UVUMILIVU MOYO WA KUSHINDA IKAWE HERI 2025

Address

NJOMBE
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njombe TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njombe TV:

Videos

Share