Baraka Mediatz

Baraka Mediatz baraka Media tz ni channel inayokupatia habari kem kem ifuatilie youtube

06/01/2026
02/01/2026
Funga mwaka 2025 na ingia mwaka 2026 kwa usjindi
01/01/2026

Funga mwaka 2025 na ingia mwaka 2026 kwa usjindi

Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM), Paul Makonda amewasihiwananchi kujitokeza kupiga ...
21/09/2025

Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), Paul Makonda amewasihi
wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanao wania nafasi mbalimnali kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu

Makonda ametoa rai hiyo hapojana jumamosi akizungumza baada ya
kushiriki ibada ya maombi katika Huduma ya Radio Safina iliyopo
Mbauda jijini Arusha akiwaomba waumini wamuombee ili ashinde katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025
Amesema pamoja na kumuombea ushindi na kuombea uchaguzi lakini
k**a wananchi wana wajibu wa kujitokeza kupiga kura ili kuwa na haki ya kuhoji pale viongozi
waliowachagua wasipowaletea
maendeleo.

“Tusipojitokeza kupiga kura halafu
Mungu akituma malaika wakaongeza kura katika sanduku. mtaani watasema tumeiba amesema Makonda”

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka Mediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Baraka Mediatz:

Share