BINA TV

BINA TV BINA TV Is a media for bring up break news around the world including Tanzania, Kindly Join with us for more updates. Stay tune.

Its in a none political and religious ethics, is all about news around the world

Mchezaji wa Yanga kennedy_musonda_jr ametumia siku hii muhimu ya Xmas kuwatakia kheri watu wote huku akishare furaha ali...
25/12/2024

Mchezaji wa Yanga kennedy_musonda_jr ametumia siku hii muhimu ya Xmas kuwatakia kheri watu wote huku akishare furaha aliyonayo kusheherekea sikukuu hii na familia yake

ameandika"Heri ya Krismasi kwa wote na siku njema ya kuzaliwa kwa malkia wetu Elizabeth. Imepita lakini kamwe kusahaulika. โค๏ธ"

Usijinyime Baraka zako kwa Kulipiza Ubaya waliokufanyia Merry Christmas and Happy New Year Familiar ๐ŸŒบ๐ŸŒท๐ŸŒบ๐ŸŽ„๐ŸŽ„
25/12/2024

Usijinyime Baraka zako kwa Kulipiza Ubaya waliokufanyia

Merry Christmas and Happy New Year Familiar ๐ŸŒบ๐ŸŒท๐ŸŒบ๐ŸŽ„๐ŸŽ„

Ameandika mwanamuziki wa bongo fleva mrembo Aggybabby โ€œMwaka unaisha bila kufanya mapenzi๐Ÿ™ˆ.. Nimeweza namshukuru Mungu m...
25/12/2024

Ameandika mwanamuziki wa bongo fleva mrembo Aggybabby โ€œMwaka unaisha bila kufanya mapenzi๐Ÿ™ˆ.. Nimeweza namshukuru Mungu mkubwaโ€๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป

Je unakubaliana na Aggy ama unaisi anatupanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป

Dancer wa Msanii wa Bongo fleva Diamond Plantinum  ameshare picha ya kuwatakia Kheri ya Siku kuu ya X-mass huku akiwa na...
25/12/2024

Dancer wa Msanii wa Bongo fleva Diamond Plantinum ameshare picha ya kuwatakia Kheri ya Siku kuu ya X-mass huku akiwa na Baby mama wake

Wale waliosema penzi halifiki mbali leo ni lini?????

UKIPENDWA RINGA๐Ÿฅฐ

Mpigie kura   Tuzo za  kwenye kipengele cha MOST INFLUENTIAL ACTOR EAST AFRICA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ Njisi ya kumpigia ingia kwen...
24/12/2024

Mpigie kura Tuzo za kwenye kipengele cha

MOST INFLUENTIAL ACTOR EAST AFRICA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ
Njisi ya kumpigia ingia kwenye page yake link kwenye bio yake.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa  amemjibu aliyekuwa ex wake Kwa kuandika hivi ๐Ÿ‘‡ "WE ONGEA ME NAKULA BATI,THE MATTER OF F...
24/12/2024

Kupitia ukurasa wa Instagram wa amemjibu aliyekuwa ex wake Kwa kuandika hivi ๐Ÿ‘‡

"WE ONGEA ME NAKULA BATI,THE MATTER OF FACT LIFE YAKO WAKI๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…"

24/12/2024

Kutana na mtoto mwenye kipaji kikubwa cha kuzungumza anasema anatamani siku moja awe boss, apate pesa zake awe tajiri
full video tembelea channel yetu ya bina tv youtube

24/12/2024

Kumeanza kuchangamka, kwa mara ya kwanza dullvan amefunguka kwa wale wadada wanae mchukulia poa, sikiliza kidogo story yake na rafiki yake baada ya hapo aacha comment yako hapo chini...

Full video tembelea channel yetu ya bina tv youtube

24/12/2024

Msanii wa bongo movies aliyetamba kwenye tamthilia ya maneno ya kuambiwa na sasahivi anatamba na tamthilia ya duania anaseama kuna wakati wasanii wa bongo movies wanaoneka watu wa hovyo.

full video tembelea channel yetu ya bina tv youtube

24/12/2024

Swali kwako wewe dada, mwanaume mwenye hela au mwanaume mwenye upendo wa dhati? ebu funguka hapo chini

full video tembelea channel yetu ya bina tv youtube

24/12/2024

Siku ya leo tumepata bahati ya kufanya mahojiano maalumu na mrembo anayefanya vizuri kwenye tasnia ya bongo movies anaseama ''rushwa ya ngono ipo ila inachangiwa na wao wenyewe jinsi wanavyojiweka wakiwa locationi au kambi
full video tembelea channel yetu ya bina tv youtube

Awww ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Picha Mpya kutoka kwa Mama Amara Looking Pretty ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘ŒJambo moja kuhusu Mama Amara wewe mpe location nzuri tu uone...
24/12/2024

Awww ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Picha Mpya kutoka kwa Mama Amara Looking Pretty ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘ŒJambo moja kuhusu Mama Amara wewe mpe location nzuri tu uone anavyo ifanyia maajabu ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Mwaga ma โค๏ธโค๏ธโค๏ธ Mengi kwa Mama ake na Amara

Ana taarifa kua ex wake kavalishwa Pete Jana๐Ÿ˜‚โค๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’โ€ฆ? Mwambien bana
23/12/2024

Ana taarifa kua ex wake kavalishwa Pete Jana๐Ÿ˜‚โค๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’โ€ฆ? Mwambien bana

Unampa maksi ngapi  Kwa Muonekano huu?
23/12/2024

Unampa maksi ngapi Kwa Muonekano huu?

Wasanii kutoka lebo ya muziki ya WCB Wasafi wamehudhuria tukio maalum lililoandaliwa na msanii na mfanyabiashara maarufu...
22/12/2024

Wasanii kutoka lebo ya muziki ya WCB Wasafi wamehudhuria tukio maalum lililoandaliwa na msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohamed maarufu k**a Shilole. Tukio hili limejumuisha nyota mbalimbali wa tasnia ya burudani nchini, huku likiwa ni moja ya matukio yenye mvuto mkubwa kwenye tasnia ya burudani

Msanii anatimiza miaka 10 ya mafanikio katika muziki wa bongofleva

Shilole, ambaye amejizolea umaarufu si tu kupitia muziki wake bali pia kupitia jitihada zake za kibiashara, ameonyesha tena kuwa ni miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa katika sekta ya sanaa na burudani nchini Tanzania. Uwepo wa wasanii wa WCB Wasafi, k**a , , ni ushahidi wa heshima kubwa anayopata Shilole kutoka kwa wadau wa burudani

Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons๐Ÿ”ฐ
22/12/2024

Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons๐Ÿ”ฐ

Star wa muziki wa bongo fleva Nandy anakuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kulipwa kiasi cha Dola laki 350 (TS...
21/12/2024

Star wa muziki wa bongo fleva Nandy anakuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kulipwa kiasi cha Dola laki 350 (TSH Milioni 839) kwa ajili ya kutumbuiza kwenye harusi ya dakika 10 tu.

Nandy amelipwa fedha hizo ili atumbwise kwenye harusi iliyofanyika mjini Mombasa, nchini Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช leo ambapo pia diamond platnumz alikua miongoni wa wasanii watakao toa burudani.

Haya yote yanatokana na mafanikio pamoja na thamani kubwa aliyoijenga katika kazi yake ya muziki
Je Kuna msanii yeyote atakaye fika levo k**a hizo za huyu mwanadada ?

Toa maoni yako

21/12/2024

sanii anayetegemewa kutikisa Jukwaa la Mlimani City kwenye Show ya WANA Edition ameshare kuwa Show hii Alipewa na Baba Levo ili apate pesa ya kutolea mahari aweze kuoa panapo mwakani๐Ÿ˜ƒ

Ni wimbo gani pendwa wa muda wote kutoka kwa Lenex Mjedaโœ๐Ÿป?

Address

Bugarika
Mwanza
NONE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BINA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share