Lenard Jovini

Lenard Jovini Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lenard Jovini, Digital creator, Mwanza.
(2)

Kabla hujanichukia jiulize una msaada Gani kwangu
0693348626
[email protected]
https://www.instagram.com/lenard_jovini
https://youtube.com/
Penda unacho fanya k**a hufanyi unacho penda

Ngungu boy yeye yuko Kigoma anaotesha migomba ya ndizi๐Ÿ˜†
07/01/2026

Ngungu boy yeye yuko Kigoma anaotesha migomba ya ndizi๐Ÿ˜†

USHAURI WA EMMANUEL OKWI โ€œWatanzania bado hawajajifunza kudai haki ipasavyo. Pale haikutosha kulalamika tu; ilipaswa kup...
07/01/2026

USHAURI WA EMMANUEL OKWI
โ€œWatanzania bado hawajajifunza kudai haki ipasavyo. Pale haikutosha kulalamika tu; ilipaswa kupambana hadi mwamuzi aende kuangalia VAR. Ikiwa ingelazimu, hata kugoma kuendelea na mchezo mpaka haki itendeke. Haki hailetwi kwa kuombwa, bali hulazimishwa kwa msimamo thabiti.โ€

AZAM HUWA MNAKAUFALA FLANI kwamba congo na Tanzania tunatumia bendela moja sio
06/01/2026

AZAM HUWA MNAKAUFALA FLANI
kwamba congo na Tanzania tunatumia bendela moja sio

Kuna vita nyingne ya kibwana na nkane huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
06/01/2026

Kuna vita nyingne ya kibwana na nkane huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿšจ DEAL DONE โ˜‘๏ธ๐ŸŽ™๏ธ Klabu ya yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji Laurindo Aurelio Depu mwenye umri wa miaka 25 akito...
06/01/2026

๐Ÿšจ DEAL DONE โ˜‘๏ธ

๐ŸŽ™๏ธ Klabu ya yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji Laurindo Aurelio Depu mwenye umri wa miaka 25 akitokea kwenye klabu ya Radom ya Poland

๐ŸŽ™๏ธ Klabu ya Radomiak umekubali Offer ya Yanga na sasa Depu ni mali ya wananchi

RASMI Denis Nkane amejiunga na klabu ya Tra United kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu.
05/01/2026

RASMI Denis Nkane amejiunga na klabu ya Tra United kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu.

Kuna kibu alicheza misimu miwili mashindano matatu jumla sita ,ukiweka mapinduzi mashindano manne kila msimu ila alikuwa...
05/01/2026

Kuna kibu alicheza misimu miwili mashindano matatu jumla sita ,ukiweka mapinduzi mashindano manne kila msimu ila alikuwa na goal 2 tu

Tanzania inaonewa kuanzia club mpaka timu ya taifa  ni huzuni
05/01/2026

Tanzania inaonewa kuanzia club mpaka timu ya taifa ni huzuni

Hakuna anae wadai mmepambana sana sema refa kaamua kuchagua kuwa upande wa Morocco
04/01/2026

Hakuna anae wadai mmepambana sana sema refa kaamua kuchagua kuwa upande wa Morocco

Qumamake zake huyu refa msenge sana
04/01/2026

Qumamake zake huyu refa msenge sana

DJIGUI DIARRA One of the Top African Golie alafu anatokea mtu anakwambia camara ni bora
04/01/2026

DJIGUI DIARRA One of the Top African Golie alafu anatokea mtu anakwambia camara ni bora

Kwa style hii ya uchezaji hata kombe hili tutaishia kuliona kwa macho, labda tuliibe tukimbie nalo
03/01/2026

Kwa style hii ya uchezaji hata kombe hili tutaishia kuliona kwa macho, labda tuliibe tukimbie nalo

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lenard Jovini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lenard Jovini:

Share