KingTz News

KingTz News Sports
Soccer ugaibini
Bongo Trending
Matangazo
Biashara
Elmu

By Sir Bonge

Nani mchezaji wako Bora wa mwaka 2024 kabla hatujaingia 2025 tujue aliyekuvutia zaidi
31/12/2024

Nani mchezaji wako Bora wa mwaka 2024 kabla hatujaingia 2025 tujue aliyekuvutia zaidi

30/12/2024
⚽💌 UPDATE ✍️Leo Simba imeshiriki uzinduzi wa kampeni ya kitaifa wa msimu wa sikukuu ya Onja Na Ushinde ambayo unawapa na...
30/12/2024

⚽💌 UPDATE

✍️Leo Simba imeshiriki uzinduzi wa kampeni ya kitaifa wa msimu wa sikukuu ya Onja Na Ushinde ambayo unawapa nafasi watumiaji wa kinywaji cha Mo Cola kushinda zawadi mbalimbali k**a bajaji mpya, pikipiki za Mo Boxer, zawadi za pesa hadi Tsh. 10,000,000 na vinywaji vya bure vya Mo Cola.

✍️Ili kushiriki, wateja wanapaswa kununua kinywaji cha Mo Cola na kuangalia chini ya kizibo ili kujua zawadi yako.

⚽💌 Transfer Update ✍️ Kilabu ya West Ham Ipo kwenye mazungumuzo ya kumsajiri mshambuliaji wa Middlesbrough raia wa ivory...
29/12/2024

⚽💌 Transfer Update

✍️ Kilabu ya West Ham Ipo kwenye mazungumuzo ya kumsajiri mshambuliaji wa Middlesbrough raia wa ivory cost Emmanuel Latte Lath

✍️Emmanuel Latte Lath mpaka sasa amefunga magoli 9 katika championship

Source (Sunday Mirror)

Follow KKingTz News

⚽💌 UPDATE ✍️FABREGAS, Kocha wa Como amedhitisha kuwa Dele Alli anafanya mazoezi na kilabu hiyo ya Italy baada ya kuondok...
29/12/2024

⚽💌 UPDATE

✍️FABREGAS, Kocha wa Como amedhitisha kuwa Dele Alli anafanya mazoezi na kilabu hiyo ya Italy baada ya kuondoka Everton.

✍️ "Anafanya mazoezi na sisi, Dele Anajihisi mwenye furaha" Alisema FABREGAS kwenye mahojiano. Pia ameongeza kwa kusema Dele ni mchezaji wa ajabu (wonderful player), k**a wakimusaida basi ni zaidi ya furaha. Mwisho amekazia kwa kusema Anafanya mazoezi TU kwa sasa kuweka mwili wake fit

Follow KingTz News
✍️

⚽💌 UPDATE KAGOMA K**A JANA  ✍️jina la Yusuph Kagoma  huyu ni maana halisi ya kiungo wa ulinzi.✍️Very combative, very agg...
28/12/2024

⚽💌 UPDATE

KAGOMA K**A JANA

✍️jina la Yusuph Kagoma huyu ni maana halisi ya kiungo wa ulinzi.

✍️Very combative, very aggressive,msomaji mzuri wa mchezo.

✍️Nishati yake sio kinyonge,eneo analotembea na kwenda kutibua move za wapinzani kwenye vita ya 1 kwa 1 ni nuksi sana.

✍️Kiungo wa ulinzi lazima ujue kutia n'ge kitu kinachopelekea viungo wa timu pinzani kukosa utulivu na amani ya kufanya matendo yao kwa usahihi wakiwa na mpira mguuni.

✍️Alichokifanya pale Singida leo ndio picha halisi ya kiungo cha chini Simba Sc walikua wakikihitaji baada ya mtu k**a James Kotei, Fraga Viera na Thadeo Lwanga kuondoka.

✍️Kagoma ni chuma kweli kweli kwenye kitovu cha timu
Follow KingTz News

⚽💌 UPDATE ✍️Simba SC Tanzania  wamechukua point Tatu za kufunga mwaka , Goodbye 2024 kwa mnyama.!✍️Katika mechi ya Leo k...
28/12/2024

⚽💌 UPDATE

✍️Simba SC Tanzania wamechukua point Tatu za kufunga mwaka , Goodbye 2024 kwa mnyama.!

✍️Katika mechi ya Leo kipindi Cha kwanza Simba walitumia Mbinu zaidi na hakili za mpira wa miguu. Singida walitumia hisia zaidi, sijui waliamini wanawaweza Simba.🤣

✍️Baada ya kufunga goli Fadlu akakumbuka Hawa singida wamefunga magoli mengi sana msimu huu na wapo kwenye mwenendo mzuri wa mchezo sasa acha tuwachezee mpira wa kimataifa k**a tunavyocheza na Ahly, sifaxien, waydad ama cosintine waacheni wajione watatfunga afu ziba njia zote

✍️Kilichowapoza singida nahisi ni zile milioni 50 hawakujua hata hizi timu kubwa huwa zinaahidiwa pengine hata pesa nyingi zaidi ya hapo kila walilokuwa wakifanya wanamuangalia referee na kumpa presh zaidi kuona k**a wanaonewa, tatizo kubwa lilikuwa pale walipokuwa na matokeo yao kichwani

✍️Makosa ya mwamzi siyasemi maana hata usemeje hapa ligi yetu ni bado sana ndoo maana wenzitu wameleta VAR na bado wanakosea

✍️Goli ni sahihi hakuna faulo kipa analindwa anapoonekana anauelekeo wa kuufikia mpira Wala hapa kuwa na contact yeyote na Hamza ya kufanya mwamzi aseme faulo ni makosa ya metacha mwenyewe kutokuwa na timing nzuri ya kufata mpira

Note

1. Fadlu sabu zake da anaogopesha mda mwingine

2. Kafungwa chui wameumia vyura

27/12/2024

Defeat to Wolves.

⚽✅ UPDATE✍️ Fulham wamevunja record yao ya kutoapata ushindi katika uwanja wa kalbu ya Chelsea "Stamford Bridge" baada y...
26/12/2024

⚽✅ UPDATE

✍️ Fulham wamevunja record yao ya kutoapata ushindi katika uwanja wa kalbu ya Chelsea "Stamford Bridge" baada ya kupata ushindi Leo , mara ya mwisho Fulham kupata ushindi mbele ya Chelsea wakiwa darajani ilikuwa mwaka 1979

Follow KingTz News kwa update za michezo Nyumbani na ugaibuni

⚽💌 UPDATE,  Jamie Carragher Aiponda Arsenal na Arteta.✅Amesema sasa ni mda wa kocha Mikel Arteta na Arsenal kuchukua Mak...
23/12/2024

⚽💌 UPDATE, Jamie Carragher Aiponda Arsenal na Arteta.

✅Amesema sasa ni mda wa kocha Mikel Arteta na Arsenal kuchukua Makombe, Hii ni baada ya timu hiyo kushinda Magoli 5 kwa 1 dhidi ya crystal palace Weekend.

✅ "Sasa ni muda wa Arteta na Arsenal kuonyesha ukubwa wao wanafanya vizuri Wanashindwa mechi Wanashinda karibia kila game lakini hawana towauti ya Leeds united, Newcastle Ama Tottenham " alisema Carra na kuongeza ni Muda wao wa kushinda Makombe makubwa.

Source (Sky sports News)

Je unaamini ni mda wa Arsenal kushinda Mataji na wataweza ?

Follow KingTz News

N

⚽💌 UPDATE. Gary Neville Amtetea Amorim Baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu Kwa kocha Ruben Amorim wa Manchester united ...
23/12/2024

⚽💌 UPDATE. Gary Neville Amtetea Amorim

Baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu Kwa kocha Ruben Amorim wa Manchester united dhidi ya Bournemouth kwa kufungwa goli tatu bila Mchezaji wa zamani wa kilabu ya Manchester Gary Neville amesema

✅Siyo mda wa Amorim kupaniki na kutoka kwenye mipango yake ya kutengeneza timu hiyo Kwani kupoteza kwa united yeye anaamini siyo kosa la Kocha

✅ Neville ameongeza kwa kusema mashabiki wa kilabu hiyo wanapaswa kuwa wavumilivu ili kumpa mda Kocha wao kutengeneza timu yenye ushindani k**a ilivyokiwa sporting Lisbon ya Amorim, ameongeza kuwa wachezaji waliopo United wanatakiwa kuongezewa nguvu ya wachezaji wa chaguo la Kocha ili kwendana na mifumo ya kocha huku

Neville ana Imani kubwa na Amorim na kuahidi kuwa united tishio inakuja hivi karbuni
Source
( United in focus)

Follow KingTz News

Novatus miroshi mpe like zake k**a unamkubali KingTz News
23/12/2024

Novatus miroshi mpe like zake k**a unamkubali

KingTz News

✅⚽Watu wengi wanauliza kwanini Max Nzingeli hachezi. Swali zuri kwa upande wao lakini sidhani k**a Lina tija sana kocha ...
23/12/2024

✅⚽Watu wengi wanauliza kwanini Max Nzingeli hachezi. Swali zuri kwa upande wao lakini sidhani k**a Lina tija sana kocha Ramovic, kwanini?

✅Mpira wa miguu ni mchezo mojawapo ya michezo ya wazi na migumu sana umzaniae kumbe siye hii kauli hapa huwa inatumika sana

✅Unaweza kumuona mchezaji Anafanya vizuri akiwa na kocha Fulani lakini akija kocha mwingine asimkubali kwa kutokana na mifumo ya kocha Kwani mfumo huendana na wachezaji

✅Lakini pia ni mapema sana maana ukiangalia max kakosa michezo miwili pekee Wenda katika hiyo michezo hakuwa kwenye mpango wa mechi husika ndio maana hakuweza kupata namba tusiwahishe maneno

NOTE Kocha la boli limeshinda mechi zote za ligi kuu na bado watafungwa sana

Mechi tatu goli 7, what a race?



Follow KingTz News

Young Africans Sports Club

Saa ingine huwa tunaleta mijadala ya kupoteza mda TU sisi tulioangalia mpira kwenye Azam Tv tunaweza sema hii kitu iliku...
23/12/2024

Saa ingine huwa tunaleta mijadala ya kupoteza mda TU sisi tulioangalia mpira kwenye Azam Tv tunaweza sema hii kitu ilikuwa simple sana kung'amua kuwa ni handball lakini kiukweli Bacca alitumia Akili ya ziada sana kumdanganya mwamzi aliona Kuna mkono wa kipa akapeleka wake kwa emission ya kupiga kichwa hata mwamuzi hakuweza kugundua Hilo na hata wachezaji wa prison pia hawakugundua na walikuwepo hawakuonyesha reaction yeyote

Itoshe kumsema Bacca top scorer wa Yanga 🥺

23/12/2024

United loss against Bournemouth 0:3Amorim huge loss🥺🥺🥺
22/12/2024

United loss against Bournemouth 0:3
Amorim huge loss🥺🥺🥺

⚽💌 UPDATE. MPANZU NDANI KUWAVAA KAGERA SUGAR Mchezaji wa Simba aliyesubilia dirisha dogo la usajiri lifunguliwe sasa ras...
21/12/2024

⚽💌 UPDATE. MPANZU NDANI KUWAVAA KAGERA SUGAR

Mchezaji wa Simba aliyesubilia dirisha dogo la usajiri lifunguliwe sasa rasmi aanza dhidi ya KAGERA SUGAR

✍️ Fadlu hajasubiri watu wamuulizie wapi MPANZU alipo kazi sasa imeeanza likes nyingi mwanasimba k**a unaamini Leo ushindi uhakika

⚽💌 UPDATES ✍️Hicho kiatu ni Cha mchezaji wa Fc Monaco Singo raia wa ivory cost alifanya faulo mbaya Kuwai kumtokea kipa ...
19/12/2024

⚽💌 UPDATES

✍️Hicho kiatu ni Cha mchezaji wa Fc Monaco Singo raia wa ivory cost alifanya faulo mbaya Kuwai kumtokea kipa nambali Moja wa kilabu ya PSG Donnaruma kwenye mchezo wa ligi ya ufaransa Liga 1 hapo Jana 18/12/2025 ambapo PSG waliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2 ya Fc Monaco

Follow KingTz News

Address

Mwanza
735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KingTz News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KingTz News:

Videos

Share