Wahuni Comments Book. - WCB Tz

Wahuni Comments Book. - WCB Tz Karibu sana kwa Maoni , Maswali na Mapendekezo yako. https://wa.me/message/AHE43252DXWQB1

08/10/2022

Fanya unachokiamini pia Amini unachokifanya

20/11/2021

Kila mtu anandoto ya kufanikiwa, napenda kuuliza unajua nini kuhusu ?

25/09/2021

gwaride lakini hayana ety ukasubiri nyuma geuka, kaza mwendo songa mbele.

kwenye familia masikini sio sababu ya wewe kuwa masikini pia,

busy kukaa kuangalia tv na kubadilisha chanel ukiangalia movies, badala yake kuwa busy kufanya kazi ili ujiongezee kipato chako pia jifunze sana kuhusu ,

25/09/2021



maana harisi ya ya mtu anaetaka kufanikiwa katika yake,
utakuwa unajifunza kutokana na makosa ni wapi unakosea? haijalishi ume be failed mara ngapi, k**a umefail leo pengine inaweza kuwa kesho ukasucceed , simamia malengo kuwa imara katika kuitimiza ndoto yako, enjoy your life game,

06/09/2021
02/08/2021

Sawa

30/07/2021

Vitu 4(mambo) ya kufanya katika maisha yako

1; JIKUBALI KUWA UNAWEZA

2; JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA

3; USIDHARAU MWANZO MDOGO

4; JIWEKEE MALENGO MAALUMU

31/05/2021

Hello!,
ya mtafutaji hufananishwa na ukuaji wa
vile mtoto mchanga anapoanza kutambaa ndio vile
#>>mtafutaji anaanza maisha ya utafutaji
Kuanza kusimama kwa mtoto mchanga ndio vile
#>mtafutaji huanza kutaka kuanzisha malengo ya kujiwezesha mwenyewe ili baadhi ya mambo yajiendeshe menyewe, japo atapambana na changamoto nyingi lakn alie na nia dhabiti ya , nik**a mtoto asivyokata tamaa kwenye stage yake ya kutaka kusimama mwenyewe, atasimama na kuanguka mara nyingi na hakati tamaa hatimae husimama kabisa. leo najipanga na kulekebisha makosa yangu ili kesho #>mtafutaji huanza kutaka kuanzisha malengo ya kujiwezesha mwenyewe ili baadhi ya mambo yajiendeshe menyewe, japo atapambana na changamoto nyingi lakn alie na nia dhabiti ya , nik**a mtoto asivyokata tamaa kwenye stage yake ya kutaka kusimama mwenyewe, atasimama na kuanguka mara nyingi na hakati tamaa hatimae husimama kabisa. leo najipanga na kulekebisha makosa yangu ili kesho

Show love kwa jpm kwa kumtakia apumzike kwa amani kaimaliza safari yake hapa Duniani, R. I. P.
23/03/2021

Show love kwa jpm kwa kumtakia apumzike kwa amani kaimaliza safari yake hapa Duniani, R. I. P.

24/11/2020

FURAHA na PESA ni k**a JUA na MVUA.
vyote ni muhimu katika maisha ya binadamu

Address

Geita
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wahuni Comments Book. - WCB Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wahuni Comments Book. - WCB Tz:

Share