Mara Online Plus

Mara Online Plus Pata Taarifa zote za ukweli na uhakika Habari, Michezo, Burudani pamoja na Makala.

03/10/2024

MECHI ZA LEO OKTOBA 3 ZA LIGI KUU YA NBC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

16:00 Kmc Fc πŸ†š Kagera Sugar
18:30 Young Africans πŸ†š Pamba Jiji
21:00 Namungo Fc πŸ†š Azam Fc

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Watu wakipiga picha na mabaki ya kombora la Iran lililozuiliwa na Israeli, karibu na Arad, kusini mwa Israeli, Oktoba 2,...
03/10/2024

Watu wakipiga picha na mabaki ya kombora la Iran lililozuiliwa na Israeli, karibu na Arad, kusini mwa Israeli, Oktoba 2, 2024.

25/04/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Sikujua Mwalimu, Juma Buya, Mohammadi Ramadhani, Rashid Mdoe, Nasoro Litunu, Mwamvita Katoto, Torres Pascal, Muhemedi Saidi, Anorld KAbyemela, Halima Fanuel, Omarion DrPer, Fidelie Mdawile

25/04/2024
β€œMashabiki watulie kwa kipindi hiki cha mpito na kuimarisha nguvu na mshik**ano kwa ajili ya kuimarisha timu yao kwa msi...
25/04/2024

β€œMashabiki watulie kwa kipindi hiki cha mpito na kuimarisha nguvu na mshik**ano kwa ajili ya kuimarisha timu yao kwa msimu ujao kulingana na mapendekezo ya benchi la ufundi linaloongozwa na Benchikha.”

"Hatuna mpango huo wa kumuondoa au kuachana na Benchikha, Wanasimba wanatakiwa kupuuza taarifa zilizosambaa kuhusu kocha wetu, kwani lengoletu ni kuhakikisha kocha huyu anakuwepo klabuni hapa ili tuhakjikishe tunakuwa na kiokosi bora ambacho kitakuwa tishio katika Michuano ya ndani na ile ya Kimataifa.”

β€œBenchikha yupo sana na jana Jumanne (Aprili 23) mchana alikuwa sehemu ya timu iliyoenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Muungano ikiwa ni sehemu ya mipango ya kuhakikisha tunafanikiwa kushinda kombe hilo,"

Meneja Habari na Mawasilino Simba SC – Ahmed Ally

Mara Online Plus

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huk...
23/04/2024

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.

TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.

β€œMh. Waziri Mkuu kwa sasa hivi tunavyopngea tuna mitambo karibu mitano ipo nje, haifanyi kazi yoyote ni kwamba tu mahitaji yapo chini uzalishaji upo mwingi kwahiyo tumeiweka tu stand by kwa ajili ya kusubiria mahitaji yakiwa juu tunaiwasha, karibia megawats 175, umeme tunaozalisha ni mwingi mahitajii ni madogo Nchi nzima, narudia tuna mitambo mitano minne Kituo cha Kinyerezi I na mmoja Kituo cha Ubungo III, hii mitambo tumeizima kwasababu mahitaji yapo chini na uzalishaji wa umeme ni mwingi imebidi tuizime, kuhusu mgao hamna mgao kwa sasa”

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imesema kuwa Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko hivyo Mabasi kw...
23/04/2024

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imesema kuwa Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko hivyo Mabasi kwa njia za Kimara hadi Kivukoni na Gerezani yanaishia Magomeni Mapipa.

Taarifa iliyotolewa na DART leo Aprili 23, 2024 imesema huduma ya usafiri wa Mabasi ya DART inaendelea kutolewa kwa njia ya Morocco kwenda Kimara; na eneo la katikati ya jiji kwa njia ya Muhimbili na Gerezani.

Pia, DART imesema huduma za Mabasi katika mfumo wa DART zinaendelea k**a kawaida katika Njia Mlishi ya Kimara hadi Mbezi, Kimara hadi Kibaha, na Kimara hadi Mloganzila.

Unadhani Timu za Mpira wa miguu Kuweka Mabango Barabarani Baada ya Ushindi ni Ujanja au ni Ushamba??
23/04/2024

Unadhani Timu za Mpira wa miguu Kuweka Mabango Barabarani Baada ya Ushindi ni Ujanja au ni Ushamba??

Vita ya ufungaji ni ya wawili tu. AZIZ KI  15 goal 7 assisitFEI TOTO 14 goals 6 assist  Mara Online Plus
22/04/2024

Vita ya ufungaji ni ya wawili tu.

AZIZ KI 15 goal 7 assisit
FEI TOTO 14 goals 6 assist

Mara Online Plus

Mnaendeleaje Huko?
21/04/2024

Mnaendeleaje Huko?

Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tof...
20/04/2024

Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.....

Nitaongea tena na viongozi wangu k**a nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...

ila k**a watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeneza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi πŸ™

πŸ—£ Benchikah
MaMara Online Plusmaraonlineupdates

  Wamefungwa tena.Mabao yakifungwa na Aziz k ,guede,Freddy, Watani bwana πŸ˜‚ πŸ˜‚      FT: Yanga SC 2-1 Simba SC             ...
20/04/2024

Wamefungwa tena.Mabao yakifungwa na Aziz k ,guede,Freddy,
Watani bwana πŸ˜‚ πŸ˜‚






FT: Yanga SC 2-1 Simba SC

Ungepewa kipaza sauti uongee kwa dakika mbili ni kitu gani ungekisema kwa sauti kubwa kuhusu half time hii ?
20/04/2024

Ungepewa kipaza sauti uongee kwa dakika mbili ni kitu gani ungekisema kwa sauti kubwa kuhusu half time hii ?



𝐆𝐔𝐄𝐃𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄….π‚π‡π”πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 ππˆπ‹πˆπŸ”₯πŸ™ŒπŸ½ dadika ya 38 kipindi Cha kwanza   Wanchi wanaonesha dalili mbaya Kwa WAPINZANI
20/04/2024

𝐆𝐔𝐄𝐃𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄….π‚π‡π”πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 ππˆπ‹πˆπŸ”₯πŸ™ŒπŸ½ dadika ya 38 kipindi Cha kwanza
Wanchi wanaonesha dalili mbaya Kwa WAPINZANI

Kaletwa mtu kati Kipindi Cha kwanza YANGA 1:0 SIMBA Goal likifungwa na Aziz k Mara Online Plus
20/04/2024

Kaletwa mtu kati
Kipindi Cha kwanza
YANGA 1:0 SIMBA
Goal likifungwa na Aziz k
Mara Online Plus

Aziz k goal!!!!! YANGA 1_ 0 SIMBA
20/04/2024

Aziz k goal!!!!!
YANGA 1_ 0 SIMBA

Wametoka mbali, wamekuja kuipa support Yanga yao πŸ’›πŸ’š
20/04/2024

Wametoka mbali, wamekuja kuipa support Yanga yao πŸ’›πŸ’š


KUTOKA KWENYE UKURASA WA PACOMEMbali na uono wa Macho yangu, karibu zaidi na moyo wangu. I miss you so much Wananchi.NYI...
20/04/2024

KUTOKA KWENYE UKURASA WA PACOME

Mbali na uono wa Macho yangu, karibu zaidi na moyo wangu. I miss you so much Wananchi.

NYIE HAMUOGOPI?

Mara Online Plus

Address

Musoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mara Online Plus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mara Online Plus:

Videos

Share