Nyahori Johanes

Nyahori Johanes JOHANES SAMWEL NYAHORI

nitapamiss sana DAR.Hadi mwezi october tena paleeee BONDE LA KUKATA MANENO.Johanes Ofisho
24/05/2023

nitapamiss sana DAR.
Hadi mwezi october tena paleeee BONDE LA KUKATA MANENO.

Johanes Ofisho

23/01/2023
January ni slopu tu ukiwa na songesha. ​Tumia M-Pesa App au Piga *150*00 #>Mikopo na Akiba>Songesha​​ -Pesa
12/01/2023

January ni slopu tu ukiwa na songesha. ​
Tumia M-Pesa App au Piga *150*00 #>Mikopo na Akiba>Songesha​



-Pesa

Wikiendi ndio hiyoo... Pata "Ofa Yangu", Yani hii ni ya kwakoo tuu! Piga *148*66 # kisha changua 1 "Ofa yangu" na ufurah...
06/01/2023

Wikiendi ndio hiyoo... Pata "Ofa Yangu", Yani hii ni ya kwakoo tuu! Piga *148*66 # kisha changua 1 "Ofa yangu" na ufurahie leo.



https://halotel.co.tz/

IMERUDI TENAAA!!! Jishindie Pesa Taslim, kila Siku, SmartTV kila Wiki, na Bajaji Mpyaa kabisa kila Mwezi.Fanya miamala k...
02/01/2023

IMERUDI TENAAA!!! Jishindie Pesa Taslim, kila Siku, SmartTV kila Wiki, na Bajaji Mpyaa kabisa kila Mwezi.Fanya miamala kupitia *150*88 # au HalopesaApp na uibuke Mshindi.


Katika Mwaka huu 2023, MUNGU ametuita tuishi Maisha Mapya, hayo ni Maisha ambayo Yesu AMELIPA DENI ZOTE. Ni Mwaka wa SIF...
01/01/2023

Katika Mwaka huu 2023, MUNGU ametuita tuishi Maisha Mapya, hayo ni Maisha ambayo Yesu AMELIPA DENI ZOTE. Ni Mwaka wa SIFA, Mwaka ambao Mungu mwenyewe atahakikisha haupati Aibu yoyote.

© Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

HERI YA MWAKA MPYA 2023HAPPY NEW YEAR 2023
31/12/2022

HERI YA MWAKA MPYA 2023

HAPPY NEW YEAR 2023


🙏🙏🙏ASANTE MUNGU KWA KUNIVUSHA SALAMA.
31/12/2022

🙏🙏🙏

ASANTE MUNGU KWA KUNIVUSHA SALAMA.

https://youtu.be/jwCnoRnLkKc
31/12/2022

https://youtu.be/jwCnoRnLkKc

Crossover Service LIVE Broadcasting at EFATHA CHURCH.Subscribe NOW to our channels to get our event notifications. Connect with EFATHA CHURCH WORLDWIDE on an...

Karibu katika Ibada ya Mkesha wa Mwaka Mpya utakayofanyika katika KANISA LA EFATHA MUSOMA, MARA TANZANIA, Kanisa lipo Bw...
31/12/2022

Karibu katika Ibada ya Mkesha wa Mwaka Mpya utakayofanyika katika KANISA LA EFATHA MUSOMA, MARA TANZANIA, Kanisa lipo Bweri, nje kidogo na Stendi kuu ya Mabasi BWERI. Ibada hii ya Mkesha itafanyika leo tarehe 31/12/2022 saa 03:00 usiku na itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

Mwana wa Mungu usipange kukosa njoo tufunge Mwaka na tuanze Mwaka Mpya na Bwana, kwa wewe uliyembali unaweza kufuatilia Ibada hii kupitia mitandao yetu ya kijamii k**a YouTube, Instagram na Facebook kwa Jina la Efatha Church.

Coming Up: TRANSFORMATION NIGHT  #2022 #2023
31/12/2022

Coming Up:
TRANSFORMATION NIGHT


#2022
#2023

2. Hakikisha unaendelea kuishi katika Imani iliyo kuu.•Mathayo 8:23-26 “…….. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa im...
30/12/2022

2. Hakikisha unaendelea kuishi katika Imani iliyo kuu.

•Mathayo 8:23-26 “…….. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.” Hakuna adui mbaya wa maachilio yako k**a Imani haba au chache, adui mkubwa wa kile umepokea kutoka Mungu ni Imani haba, Imani haba ni ipi? Ni ile ambayo unaamini kuwa Mungu amefanya lakini pia wakati huo huo bado unafikiri kuwa mazingira yana nguvu kuliko Mungu wako."
•Mathayo 8:10 “Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa ye yote katika Israeli.” Wenye Imani kubwa huwa wanatunza miujiza, uponyaji na maachilio yao, hakikisha unakuwa na Imani kubwa ili maachilio yako yaweze kudumu."

UKIRI:
•Bwana Yesu popote nilipoonyesha Imani haba au chache nakataa, kuanzia leo naamua kuamini neno lako ili niweze kuwa na imani kubwa ili niweze kutunza maachilio yangu.
•Chochote kile kilichotokea kwangu kwa sababu ya Imani chache au Imani haba yakakome leo kwa Jina la Yesu.
•Naamuru kutembea katika Imani kuu katika Jina la Yesu, Imani itakayonisababisha mimi kuweza kumiliki, kutawala na kumiliki Baraka na maachilio yangu kwa Jina la Yesu.

SOMO: MAMBO MUHIMU YATAKAYO KUWEZESHA KUTUNZA MAACHILIO YAKO MWAKA HUU:- 1.Lazima akili yako ikubali kuwa umeachiliwa.Ik...
30/12/2022

SOMO: MAMBO MUHIMU YATAKAYO KUWEZESHA KUTUNZA MAACHILIO YAKO MWAKA HUU:-

1.Lazima akili yako ikubali kuwa umeachiliwa.

Ikiwa ndani ya mwaka huu wa maachilio 2022, umetamkiwa au umefanyiwa jambo lolote lile la kimaombezi na tangazo likatolewa kwako kuwa umeachiliwa, hayo maachilio ili yaweze kufanya kazi kwako yanasubiri akili yako tu ikubali ya kuwa umeachiliwa ili yaweze kutimia kwako. Akili yako isipokubali maachilio uliyoyapokea hayo maachilio hayawezi kudumu kwako.

UKIRI:
Bwana Yesu lazima akili yangu ikubali ya kuwa mimi nimeachiliwa, mbegu yoyote ya mashaka ndani yangu haina nafasi, mimi nimeachiliwa k**a nilivyotangaziwa.

Ili maachilio yako yawezi kutimia kwako lazima uishinde vita ya akili maana ibilisi anaweza kukuwekea akili yake ya kuwa haujaachiliwa lakini ukitambua kuwa wewe umeachiliwa hakutakuwa na kipingamizi kwako.

UKIRI:
Bwana mimi nakubali ya kwamba nimeachiliwa na nakubaliana na maachilio yoyote ambayo nimeyapokea mwaka huu wa maachilio.
Mamlaka yoyote ya giza inayopinga kuachiliwa kwangu haina nafasi juu yangu kwa Jina la Yesu.

Ili maachilio yako yaweze kudumu lazima akili yako ikubali ya kuwa umeachiliwa maana neno linasema “ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo,” je! Wewe unajionaje? K**a unajiona kuwa umeachiliwa basi tunza maachilio yako.

WA KIROHO KANISA LA EFATHA – MTUMISHI NOEL KAPINGA.

KIONGOZI WA KIROHO KANISA LA EFATHA – MTUMISHI NOEL KAPINGA. SOMO: MAMBO MUHIMU YATAKAYO KUWEZESHA KUTUNZA MAACHILIO YAK...
30/12/2022

KIONGOZI WA KIROHO KANISA LA EFATHA – MTUMISHI NOEL KAPINGA.

SOMO: MAMBO MUHIMU YATAKAYO KUWEZESHA KUTUNZA MAACHILIO YAKO MWAKA HUU:

Mungu ameruhusu maachilio kwetu na hayo maachilio mengine yametokea katika ulimwengu wa roho na mengine tumeyaona kwa damu na nyama (ulimwengu wa kawaida).

Baraka siku zote Mungu anaziachilia lakini tatizo watu huwa wanashindwa kuzitunza hizo Baraka walizopokea, tatizo sio uponyaji na ukombozi ambao watu wameupokea, la! Bali tatizo ni utunzaji wa huo ukombozi na uponyaji ulioupokea. Kuna watu walipokea uponyaji au ukombozi wao lakini baada ya muda fulani huo ugonjwa au hilo tatizo walilokuwa nalo likawarudia tena, sasa tatizo sio mponyaji, la! Bali ni aliyeponywa alishindwa kuutunza huo uponyaji wake.

Umepokea maachilio yako ndani ya mwaka huu wa maachilio, lakini unapaswa kuyatunza ili uweze kuwa mtu wa tofauti na uweze kuona matokeo ya hayo maachilio yako.

STAY CONNECTED
30/12/2022

STAY CONNECTED


SIKU YA KUFUNGA NA KUOMBAKanisa la Efatha linapenda kukualika katika siku maalum ya tarehe 30 Desemba 2022 ambayo ni sik...
29/12/2022

SIKU YA KUFUNGA NA KUOMBA

Kanisa la Efatha linapenda kukualika katika siku maalum ya tarehe 30 Desemba 2022 ambayo ni siku ya KUFUNGA na KUOMBA kwa Wana Efatha wote ndani na nje ya nchi ambapo siku hii itaambatana na Ibada ya pamoja itakayofanyika kuanzia Saa 10:00 jioni.


𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️Azam Fc 2-3 Young Africans SC
25/12/2022

𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️

Azam Fc 2-3 Young Africans SC


USIKATE TAMAA MUNGU ANAKUWAZIA MEMA. Tito 2:11 "Maana Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu imefunguliwa.Huu ndio ukweli wa ...
24/12/2022

USIKATE TAMAA MUNGU ANAKUWAZIA MEMA.

Tito 2:11 "Maana Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu imefunguliwa.

Huu ndio ukweli wa maisha, USIJIKATAE na KUJIDHARAU kwa sababu Mungu anakuwazia mema na neema yake ni kuu mno maishani mwako.

Kuna mtu yuko MAHALI amendaliwa na MUNGU KUKUTHAMINI sana.

Ukiona WAZO lako limekataliwa na MTU FULANI, haimaanishi kuwa wewe hauwezi kuwa na MAWAZO mazuri.

Ni kwamba umetoa wazo kwa asiye SAHIHI, Kuna mtu yuko mahali ANASUBIRIA wazo lako.

Hata k**a umewahi kuambiwa kuwa wewe HAUFAI na HAKUNA anayekuhitaji, SIO KWELI.

Kumbuka, huo ni mtazamo wake yeye, kuna mtu yuko mahali anaomba kukutana na wewe, ANAKUSUBIRI.

Umeomba KITU, PESA au NAFASI na umenyimwa, USIHITIMISHE kuwa wewe HAUSTAHILI. wewe ni Wathamani sana machoni pa MUNGU

Kuna MTU yuko mahali anasubiri ukutane naye akupe unachostahili,

Leo kumbuka kuwa Mungu anakuwazia mema na Sahau WALIOKUNYIMA...

WALIOKUKATAA...

Au KUKUSEMA vibaya...

Chukua hatua kwenda MAHALI PENGINE.

✍️

24/12/2022


Zaburi 1:6 "Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea."
20/12/2022

Zaburi 1:6 "Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea."


𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️Young Africans SC 3-0 Coastal Union
20/12/2022

𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘⏱️

Young Africans SC 3-0 Coastal Union


Address

Mkiringo
Musoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyahori Johanes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nyahori Johanes:

Videos

Share


Other Media/News Companies in Musoma

Show All

You may also like