Pastor Kamgisha

Pastor Kamgisha °Heavenly Man
°In Christ I Stand°
°Daughter of King of King°
Pastor: TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD
(1)

KANISA LA TAG - MTWARA MJINIHABARI NJEMASUNDAY SERVICE 13.10.2024Power Of WorshipYeyote anayejihusisha na vitendo vya ki...
13/10/2024

KANISA LA TAG - MTWARA MJINI
HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 13.10.2024

Power Of Worship
Yeyote anayejihusisha na vitendo vya kishetani kwa ajili ya uharibifu wa Maisha yako,
• matendo hayo maovu na yabatilishwe sasa kwa Jina la Yesu.

KANISA LA TAG - MTWARA MJINIHABARI NJEMASUNDAY SERVICE 13.10.2024Power Of WorshipKila roho chafu ambayo imeshik**ana na ...
13/10/2024

KANISA LA TAG - MTWARA MJINI
HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 13.10.2024

Power Of Worship
Kila roho chafu ambayo imeshik**ana na hali yoyote karibu na maisha yako, ili kuunda maumivu;
• Ninakutenga na roho hiyo sasa, katika jina la Yesu!

KANISA LA TAG - MTWARA MJINIHABARI NJEMASUNDAY SERVICE 06.10.2024Mungu ana watu katika future zetu! Hawa Ni wale anaowat...
06/10/2024

KANISA LA TAG - MTWARA MJINI
HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 06.10.2024

Mungu ana watu katika future zetu! Hawa Ni wale anaowatumia Kutupenda na Kutubariki! Leo Vijana wa Kanisa Letu, Katika moja ya Mambo bora kwetu - Wametubariki na Kuonyesha Upendo wao Kwetu!

Ungana nasi kwa Youtube: https://youtu.be/t8-UEQ1CAHk?si=jT4yMNYWgG0mIjHX

KANISA LA TAG - MTWARA MJINIHABARI NJEMASUNDAY SERVICE 29.10.20241 Petro 2:9."Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifa...
29/09/2024

KANISA LA TAG - MTWARA MJINI
HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 29.10.2024

1 Petro 2:9.
"Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa
takatifu, watu wa milki yake mwenyewe, mpate kuzitangaza
fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru
yake ya ajabu."

Watu wengi hukiri ushirika na Yesu Kristo, lakini matendo
yao yako mbali na njia zake.
• Ukijiita mkristo lazima na wewe uwe Shahidi halisi wa kristo
• Inaskitisha sana kuwa na Umli mkubwa katika Imani lakini
Hujengi Uhusiano wa Karibu na Mungu….
• Udhihilisho wa Kutokuwa na uhusiano na Mungu ni kuwa
mwathilika wa Nguvu za Giza!

Je wajua Tai hufanya nini kunguru akitua kwenye mbawa zake?
• Bila fujo, Tai huanza kupanda juu angani hadi kunguru
ashindwe kupumua.
• Kwa sasa kunguru hana budi kuanguka mgongoni mwa
mwewe
• Hivi ndivyo Wakristo wanapaswa kupambana na tabia na
uraibu. Usipigane nayo Endelea juu zaidi kwa Mungu.
• Kuza maisha yako ya maombi,
• endelea kusoma Neno, endelea kuja kanisani.......

HAPPY BIRTHDAY MY WIFE LadyDivine........SuperWoman Mungu Akupe Furaha, Neema, Utukufu na Nguvu!!!
18/09/2024

HAPPY BIRTHDAY MY WIFE
LadyDivine........
SuperWoman

Mungu Akupe Furaha, Neema, Utukufu na Nguvu!!!

13/09/2024
HABARI NJEMASUNDAY SERVICE 11.8.2024Ushindi wa Kiungu1. Hii Ni wiki yako ya Ushindi wa Kiungu2. itakuwa ushindi wa pande...
11/08/2024

HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 11.8.2024

Ushindi wa Kiungu
1. Hii Ni wiki yako ya Ushindi wa Kiungu

2. itakuwa ushindi wa pande zote kwako na kwa familia yako.

3. Katika mwaka huu wote na zaidi, Bwana atapigana vita vyako, hakuna adui atakayeweza kusimama mbele yako.

4. Mungu atanyamazisha majivuno ya adui zako milele.

5. Hakuna shida au maafa yanaruhusiwa kukugusa wewe na familia yako kwa sababu Bwana wa Majeshi ndiye wokovu wako.

HABARI NJEMASUNDAY SERVICE 11.8.2024The FaundationZaburi 13:3 K**a misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?4 Bwan...
11/08/2024

HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 11.8.2024

The Faundation

Zaburi 13:3 K**a misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
4 Bwana yu katika hekalu lake takatifu. Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawajaribu wanadamu.
5 Bwana humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na
mwenye kupenda udhalimu.

1 Peter 2:4-6 4 Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima.
5 Ninyi nanyi, k**a mawe yaliyo hai, mmejengwa mwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.

Gusa Link Hii kujiunga na Ibada Hii sasa!!

https://youtu.be/f00AkUfK15M

HABARI NJEMASUNDAY SERVICE 11.8.2024Time to WorshipMwimbieni Bwana kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi. Halel...
11/08/2024

HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 11.8.2024

Time to Worship

Mwimbieni Bwana kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi. Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri.

Gusa Link Hii kujiunga na Ibada Hii sasa!!

https://youtu.be/f00AkUfK15M

HABARI NJEMASUNDAY SERVICE 11.8.2024Time to WorshipInuka Lisifu jina la Bwana, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adh...
11/08/2024

HABARI NJEMA
SUNDAY SERVICE 11.8.2024

Time to Worship

Inuka Lisifu jina la Bwana, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu yetu sasa!

Gusa Link Hii kujiunga na Ibada Hii sasa!!

https://youtu.be/f00AkUfK15M

Address

Mtwara
96

Telephone

+255625970301

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Kamgisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pastor Kamgisha:

Videos

Share


Other Digital creator in Mtwara

Show All