16/04/2023
Oya, watu wazima eee!! mambo vp,,,Kalibuni katika page yangu ya wasanii chipukizi.Nimeifungua hivi karibuni. Basi,ukiingia kwenye page yangu hii usisahau,ku like,kushare,kucoment & kusabscribe,page page hii ili kuwa wa kwanza kupata habari mpya,...Mambo powa jaman!