Prime fm & online radio

Prime fm & online radio this page is owned by Prime online radio&Tv media *dearing with advertise ment
*promoting
*broadcasting

LEO WATU WA PRIME MEDIA TUNATAKA MUONYESHE NGUVU YENU HAPA KWA KIJANA WENU KWA KUSUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA Emt...
09/09/2024

LEO WATU WA PRIME MEDIA TUNATAKA MUONYESHE NGUVU YENU HAPA KWA KIJANA WENU KWA KUSUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA Emton boy official na ku follow page yake👆 Tuna wapenda sana onyesheni upendo pia

MAMA SAMIA # amepokea Kwa masikitiko makubwa  taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Anatoa  ...
09/09/2024

MAMA SAMIA # amepokea Kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Anatoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.

Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii. JE ? unahisi kauli ya mheshimiwa samia itafanyiwa kazi au ni maneno ya kisiasa tu weka maoni yako hapo chini@prime tv

Mama Mzazi wa Mbunge wa viti Maalum Halima Mdee Bi.Theresia Mdee, amefariki leo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodom...
30/07/2024

Mama Mzazi wa Mbunge wa viti Maalum Halima Mdee Bi.Theresia Mdee, amefariki leo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma.

Kwa mujibu wa Mbunge Ester Bulaya ambaye ni rafiki wa Halima, amesema Mama huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu akipata matibabu katika Hospitali mbali mbali ikiwemo hiyo ya Benjamin Mkapa, amefariki dunia na taratibu zingine za maziko yako yatakuwa wapi
fm& Prime fm & online radio

09/07/2024

TAZAMA EMTON BOY __ALIVYO PATA SHIDA KUFUNGUA SHAMPEN KWENYE HARUSI YA KAKA YAKE🤣🤣🤣

12/02/2024

Are you happy?

HAPPY BIRTHDAY-OUR BOSS AND OUR SUPERVISOR HAVE A NICE DAY AND ENJOY YOUR DAY🎂🎁🎁🎈🎉 Emton boy official
12/02/2024

HAPPY BIRTHDAY-OUR BOSS AND OUR SUPERVISOR HAVE A NICE DAY AND ENJOY YOUR DAY🎂🎁🎁🎈🎉 Emton boy official

Address

88
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prime fm & online radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Prime fm & online radio:

Videos

Share

Category