Haya msimu wa Zawadi za wapendanao umefika,
Package nzuri inayovutia tunaanzia Elf 15, hakika utapenda.
Karibu nikuhudumie ๐ช๐พโคโคโคโบ
VALENTINE'S SEASON
#wamziupdates #greencitytv #tunakua_kidigitali
Kupitia Channel ya Greencity TV Online huko YouTube, kuna kipindi kinaitwa KIGANJA CHA MTAA
Maswala yote yapo kiganjani sasa.
Je, unahitaji kufanya Interview ili kutangaza Biashara yako au unahitaji kuwa Mdhamini wa kipindi?
๐ฑWasiliana na 0742116359 au 0693073237
๐๐พMakao Makuu Mbeya Mjini
Tutembelee kisha SUBSCRIBE
YouTube: Greencity Tv Online
Facebook: Greencity Tv Online
Instagram: @greencity_tv
#mnyakyusamkuu #wamziupdates #wamzimedia #asiliyangu #mbeya #tunakua_kidigitali
Mniombee nduguzangu
Nmegombana na Mwalimu Mkuu, nlitaka nimpige kakwepa ngumi yangu ๐๐คฃ๐๐คฃ
Vipi nimhamishe mwanangu au nisubiri maamuzi ya Mwalimu?๐๐คฃ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
#wamziupdates #wamzimedia #tunakua_kidigitali
Narudi Kiwira ๐คฃ๐๐คฃ
#wamziupdates #wamzimedia
๐๐๐
Hizi ni dharau Pro
#wamzimedia #greencitytv #tunakua_kidigitali
Leo niposti ngoma za Asili ya Wanyakyusa ๐๐ช๐พ
#wamzimedia #wamziupdates #greencitytv #tunakua_kidigitali #mbeya
Usiku wa NGUVU YA MDAU MBEYA CITY FC @officialmbeyacityfc
Meya wa Jiji la Mbeya anatoa mualiko๐๐๐โฝ๏ธ๐น๐ฟ
#wamziupdates #greencitytv #wamzimedia #mbeya #viralvideos #love #kikubwa_uzima #tunakua_kidigitali
USIKU WA MBEYACITY FC
Usiku wa NGUVU YA MDAU MBEYA CITY FC
Mbeya City FC tunaitaka Ligi Kuu ๐ช๐พ
Huku ni kuwaonea watu wa Iringa
๐๐๐๐คฃ๐
#HABARI
MA'DJ KUNUFAIKA NA TULIA STREET TALENT MSIMU WA TANO
Taasisi ya Tulia Trust iliyochini ya Dr. Tulia AcksonDr. Tulia Ackson Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Wa IPU na Mbunge wa Jimbo La Mbeya Mjini Dkt; Tulia Ackson imeandaa tukio kubwa la kifursa upande wa sanaa za burudani zinazowalenga vijana wenye vipaji mbalimbali na kutengenezewa fursa kupitia tamasha la Tulia Street Talent Competition 2024.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mkoani Mbeya Afisa Habari wa Tulia Trust Joshua Mwakanolo leo Oktoba 10,2024 amesema kuwa Tamasha hili linavipengele vikubwa vitano ambavyo ni Kuimba(Singing), kucheza (Dance), Mitindo(Fashion/Model), kuchekesha (Comedy) na DJ Mixing.
โTamasha hili litafanyika kuanzia Oktoba 25 hadi 27, 2024 kwenye Uwanja wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mbeya mjini, kuanzia muda wa mchana. Msimu huu utakuwa tofauti na misimu mingine kwa kuhusisha wasanii kutoka tanzania nzima, kwa wasanii wanoamini kuwa tamasha hili ni fursa kwao wanakaribishwa kujisajili kikamilifuโ amesema Joshua.
Aidha amesema kuwa zoezi la uchukuaji wa fomu za kushiriki limeanza Leo Oktoba 10 mpaka Oktoba 20 , 2024 katika vituo vifuatavyo
Mbeya mjini katika ofisi za Tulia Trust Uyole,
Rungwe Ofisi za Tulia Trust na
Kyela Ofisi za Tulia Trust
Kwa waliopo katika Mikoa mingine wawasiliane na Taasisi kwa namba 0657389521 na 0769060738.
Tamasha hili la TULIA street talent competition linaandaliwa kwa msimu wa tano tangu kuanza kwake mwaka 2020.
WAAMBIE BADO TUNAKAZI NAO NA HATUJAMALIZANA NAO
#wamzimedia #wamzicosmetics #wamziupdates #greencitytv #KIKUBWA_UZIMA #tunakua_kidigitali #tuliatrust
#tbt 2019 ๐
Mtaje mtu anaekukera sana
Naanza mimi
Tumeachana kwa vurugu, halafu namuona X wangu anatakata. Kama sio kukerana ni nin sasa๐คจ๐คจ๐คจ
KUNA WATU WANAKERA SANA HAPA DUNIANI๐๐๐
#newchallenge #ChallengeAccepted #wamzimedia #wamziupdates #wamzicosmetics #greencitytv #kikubwa_uzima #Youtube #TUNAKUA_KIDIGITALI