Rjun sports

Rjun sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rjun sports, Digital creator, Kyela, Mbeya.

huu ndio ufanisi wa mashabiki wa clabu ya wananchi yanga kwa kujijenga kila mitaa na kila kona ya tanzania na kijinadi k...
25/09/2024

huu ndio ufanisi wa mashabiki wa clabu ya wananchi yanga kwa kujijenga kila mitaa na kila kona ya tanzania na kijinadi kuwa sisi k**a wao tutashindwaje

🔺 updeted huenda pape osman sackho akaonekana tena kwenye NBC 24/25 maana wagisi wa kaya cistal union umetia mguu na kul...
14/07/2024

🔺 updeted huenda pape osman sackho akaonekana tena kwenye NBC 24/25 maana wagisi wa kaya cistal union umetia mguu na kulizia huduma ya mchezaji huyo baada ya kupewa THANK U na klabu yake huko ufaransa

TRANDIND; nani kuondoka bingwa usiku wa leo ikiwa ni final ya EURO 2024 endelea kutufuatilia baada ya machi  sports
14/07/2024

TRANDIND; nani kuondoka bingwa usiku wa leo ikiwa ni final ya EURO 2024 endelea kutufuatilia baada ya machi sports

klubu ya Farabat ya morocco imekamilisha usajiri wa aliyekuwa mchezaji wa simba HENOCK INONGA kwa mkataba wa miaka miwil...
14/07/2024

klubu ya Farabat ya morocco imekamilisha usajiri wa aliyekuwa mchezaji wa simba HENOCK INONGA kwa mkataba wa miaka miwili

DELDONE; club ya CGERONA ya nchini hispania imeweza kunasa saini ya mchezaji wa man utd ya nchini uingereza,mchezaji huy...
14/07/2024

DELDONE; club ya CGERONA ya nchini hispania imeweza kunasa saini ya mchezaji wa man utd ya nchini uingereza,mchezaji huyo VAN DEBEECK atajiunga na club hiyo kwenye msimu mpya wa laliga

EXCLUSSIVE;mchezaji wa zamani wa young africa SAIMON MSUVA ameonekana akiwa na kocha mkuu wa yanga GAMOND huko avic town...
12/07/2024

EXCLUSSIVE;mchezaji wa zamani wa young africa SAIMON MSUVA ameonekana akiwa na kocha mkuu wa yanga GAMOND huko avic town,je kipi kimemleta huko endelea kufuatilia rjunsport kujua mengi kuhusu usajiri wa msuva bado ni free agent

club ya mamelod sundwon (masandawana) wamempa mkono wa kwa heli MENDITA box to box midfielder huyo hatokuwa sehem ya kik...
11/07/2024

club ya mamelod sundwon (masandawana) wamempa mkono wa kwa heli MENDITA box to box midfielder huyo hatokuwa sehem ya kikosi cha mamelod msim ujao wa DSTV primier league ya africa kusini

simba sc imeweza kuachana na kiungo wao katili raia wa mali SADIO KANOUT PUTTIN kwa makubaliano ya bench la ufundi kwa m...
11/07/2024

simba sc imeweza kuachana na kiungo wao katili raia wa mali SADIO KANOUT PUTTIN kwa makubaliano ya bench la ufundi kwa maana mkataba wake kiungo huyo ulifika mwisho na wana lunyasi hawajaweza kumuongezea mkataba mwingine wa msimu ujao wa ligii kuuu TANZANIA

HOT NEWS; club ya simba sc imeendelea na kambi yake mjini ismaliya nchini misr kujipanga na msimu mpya wa ligi ya NBC TZ...
11/07/2024

HOT NEWS; club ya simba sc imeendelea na kambi yake mjini ismaliya nchini misr kujipanga na msimu mpya wa ligi ya NBC TZ 24/25,pia mwana habari wa clubu hiyo AHMED ALLY amesema kuwa msimu wa ligi si wakuangaliana usoni maana wamesajili wachezaji wenye viwango hivo ni bora kabisa timu isiingie uwanjani maana itaibika vibaya mno

DEAL DONE; aliyekuwa mchezaji wa dar young africa joyce lomalisa mtambala ambaye mkataba wake umetamatika mtaa wa twiga ...
10/07/2024

DEAL DONE; aliyekuwa mchezaji wa dar young africa joyce lomalisa mtambala ambaye mkataba wake umetamatika mtaa wa twiga na jangwani ameweza kusajiliwa na timu ya fc lupopo ya DRC nchin kwao mashabiki wa yanga wametakia mkono wa kheri beki huyo kwenye changamoto nyinge ya kisoka na hawakuishia hapo kuonyesha hisia zao pia walisema tutakumisi wazir wa maji byebyee

EXCLUSSIVE;kiungo mshambuliaji wa fc barcelona LAMONE YAMAL mwenye umri wa miaka 16 raia wa hispania jana usiku aliweza ...
10/07/2024

EXCLUSSIVE;kiungo mshambuliaji wa fc barcelona LAMONE YAMAL mwenye umri wa miaka 16 raia wa hispania jana usiku aliweza kulisaidia taifa lake kwa kusawazisha gori lilo fungwa na wapinzani wao ufaransa kwenye michuano ya EURO dakika ya 9 ya kipindi cha kwanza pia mchezo huobulikuwa umebeba hisia za watu wengi walio huzuria kuitazama mechi hiyo ambapo hispania waliweza kusonga mbele kwa ushindi wa gori 2-1 na kuwakwamisha wafaransa hao wasiendelee na michuano

EXCLUSIVE; licha ya Ki master mwamba wa uwagadugu kuto saini kandarasi yoyote mpaka sahiv ndani ya club ya dar young afr...
09/07/2024

EXCLUSIVE; licha ya Ki master mwamba wa uwagadugu kuto saini kandarasi yoyote mpaka sahiv ndani ya club ya dar young africa ameweza kumkalibisha triple c mwamba wa lusaka chota chama na kusema nifura kubwa kwake kucheza na mchezaji mkubwa kutokea nchini zambia

Address

Kyela
Mbeya

Telephone

+255755642958

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rjun sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rjun sports:

Share