Nkosi Wa Afrika

Nkosi Wa Afrika Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nkosi Wa Afrika, Digital creator, Mbeya.

Memories
01/10/2024

Memories

28/09/2024

Hello, Habari Natafuta 1).Meneja wa kituo Cha Mafuta.2)Pump Attendance Meneja awe na Certificate au Diploma  ya Uhasibu ...
28/09/2024

Hello, Habari
Natafuta
1).Meneja wa kituo Cha Mafuta.
2)Pump Attendance
Meneja awe na Certificate au Diploma ya Uhasibu au cheti chochote kile Cha Taaluma.
Pump Attendance awe na elimu kuanzia darasa la Saba na kuendelea.
Hii ni kwa wakazi walio mwanza tu haswa maeneo ya BUHONGWA
Kwa maelezo zaidi piga simu namba hii 0757565614.
Mwisho ni Leo 28.09.2024 saa kumi jioni

Sikuwahi kutumia pesa hizi labda baba, mama au pia babu na bibi yangu waliwahi kuzitumia. Mie nilizikuta kwenye mbao za ...
22/09/2024

Sikuwahi kutumia pesa hizi labda baba, mama au pia babu na bibi yangu waliwahi kuzitumia. Mie nilizikuta kwenye mbao za matangazo katika Jumba la Makumbusho Bagamoyo.

Picha Na Nkosi Wa Afrika 2013

NAKUKUMBUSHA TENA.Wakati mzuri wa Kukopa pesa ni ule wakati ukiwa nazo. Usikope ukiwa huna pesa kabisa.
22/09/2024

NAKUKUMBUSHA TENA.
Wakati mzuri wa Kukopa pesa ni ule wakati ukiwa nazo.
Usikope ukiwa huna pesa kabisa.

Ninawasalimu kutoka vichochoro vya mji mkongwe wa Zanzibar. Jirani na Kanisa la ya Mjini Zanzibar Minara miwili.Jumapili...
22/09/2024

Ninawasalimu kutoka vichochoro vya mji mkongwe wa Zanzibar. Jirani na Kanisa la ya Mjini Zanzibar Minara miwili.
Jumapili Njema kwenu nyote.

Sio kila vita ni ya kupigana.
19/08/2024

Sio kila vita ni ya kupigana.

Tushirikishane maneno ya Huyo mzee hapo. Alisema KELVIN FANYA KAZI KWA BIDII. TUNZA FAMILIA. JALI AFYA YAKO.
18/08/2024

Tushirikishane maneno ya Huyo mzee hapo. Alisema
KELVIN FANYA KAZI KWA BIDII. TUNZA FAMILIA. JALI AFYA YAKO.

Walevi wenzangu  wameniagiza niwakumbushe kuwa.Msiwaruhusu omba omba kuja huku bar mnatugombanisha na nafsi zetu.
15/08/2024

Walevi wenzangu wameniagiza niwakumbushe kuwa.
Msiwaruhusu omba omba kuja huku bar mnatugombanisha na nafsi zetu.

Ushauri wangu sio sheria.
13/08/2024

Ushauri wangu sio sheria.

Akili nyingi kupita Umri
12/08/2024

Akili nyingi kupita Umri

Soko la MwanakwerekweZanzibar
08/07/2024

Soko la Mwanakwerekwe
Zanzibar

Human Person Social BeingMedia Personality Marketing GuruBy name Nkosi wa AfrikaπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽYour dreams, your plans and your p...
16/04/2024

Human Person
Social Being
Media Personality
Marketing Guru
By name Nkosi wa Afrika
πŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’Ž
Your dreams, your plans and your projects shouldn't only scare you but they should be realistic also.πŸ’Ž

Kumekucha
13/04/2024

Kumekucha

UNATAFUTA KAZI?Nakukumbusha save namba hiyo. Au mpe rafiki yako mwambie acheki status za WhatsApp Tunaposti kazi mpya ki...
12/04/2024

UNATAFUTA KAZI?
Nakukumbusha save namba hiyo. Au mpe rafiki yako mwambie acheki status za WhatsApp
Tunaposti kazi mpya kila siku.

Habar...nahitaj binti wa Kaz za ndan mshahara 60000 kwa mwez..binti awe na umri kwanzia miaka 15 au 16pia awe mkiristo m...
11/04/2024

Habar...nahitaj binti wa Kaz za ndan mshahara 60000 kwa mwez..binti awe na umri kwanzia miaka 15 au 16pia awe mkiristo mm ninafamilia ya watu 4 yaan baba. Mama na watt wa 2 Ila mmoja anasoma boarding na huyu mdg pia anasoma baby class
Tuma ujumbe. 0654099015

Nafasi za kaziPosition; *House keeping-1* *Receptionist-3*Sifa za waombaji:Hotel management certificate Work location;Da...
11/04/2024

Nafasi za kazi

Position;
*House keeping-1*

*Receptionist-3*

Sifa za waombaji:
Hotel management certificate

Work location;Dar

Wenye sifa wasiliana na namba 0755 641 480

Deadline 15 April 2024

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkosi Wa Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nkosi Wa Afrika:

Videos

Share