Brother Ben

Brother Ben β™₯️ MAKALA ZA MICHEZO
βœ… AZAM FC
βœ… SHABIKI WA FEI TOTO
πŸ§’ BABA SASHA

14/01/2026
Bro fanya mambo yote kwenye maisha yako lakini epuka wake za watu, haijalishi anakuletea shobo kiasi gani? Halijalishi m...
11/01/2026

Bro fanya mambo yote kwenye maisha yako lakini epuka wake za watu, haijalishi anakuletea shobo kiasi gani? Halijalishi mumewe boya kiasi gani? Haijalishi Mwanamke anakupenda kiasi gani! Usikubali kuwa anguko la Mwanaume mwenzako.

Mwanamke akichepuka hakuna tena Ndoa, Mwanamke akimvulia nguo Mwanaume mwengine hakuna tena pumzi kwenye uhai wa ndoa yake, Mke anauma.

Kuna vijana wamezikwa kwa sababu tu uroho wa wake za watu, wangine wamepata ukilema, wengine wamepoteza ubingwa kisa tu ndoa za watu.

K**a kugongewa tu demu wako kunauma vipi mke? Vipi mama wa toto, vipi mtu uliyemlipia Mahari? Wanangu acheni.

Ukisababisha maumivu kwa Mwanaume mwenzanko hata k**a hatojua lakini na wewe hautozikwa kwenye kaburi kabla ya kugongewa karma ipo.

Wanawake ni wengi kuliko Wanaume, tafuta mali yako halafu ishi nayo.

Ushauri kutoka kwa
Steve Champion

10/01/2026

VITOTO VYA MBEYA KAZI IPO.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Azam FC
10/01/2026

Azam FC

09/01/2026

EDMUND JOHN KAWAKOSESHA YANGA , GOLI LA WAZI, YE NA KIPA TU
MICHEZAJI MINGINE SIJUI MNAIKUTA WAPI?

Wakati Azam wanamsajili Huyu jamaa, wachambuzi tuliwananga sana. Ila jamaa anachokifanya kwenye hizi mechi anazocheza ni...
09/01/2026

Wakati Azam wanamsajili Huyu jamaa, wachambuzi tuliwananga sana. Ila jamaa anachokifanya kwenye hizi mechi anazocheza ni πŸ”₯, k**akawaida yake utaondoa kila kitu kwenye game yake ila upambanaji huwezi kuutoa.

Amemlazimisha Ibenge awe anambadirishia tuu partner kwenye lile eneo la kiungo mkabaji lakini nafasi yake ipo pale. Moja kati ya wachezaji bora wa Azam tangu msimu uanze kwenye michuano yote.

Kiukweli japo Himid ana Umri mkubwa lakini nishati aliyonayo anaweza akacheza kwa misimu kadhaa mbele bila shida yoyote, kwasababu ya aina ya mashindano ambayo yapo hapa ndani. STILL A TOP PLAYER πŸ™Œ.

Kutoka uwanja wa (New Amaan Complex) Msemaji wa klabu ya Yanga β€œAli Kamwe”Amezua taharuki kwa kuangua kilio Uwanjani Baa...
09/01/2026

Kutoka uwanja wa (New Amaan Complex) Msemaji wa klabu ya Yanga β€œAli Kamwe”

Amezua taharuki kwa kuangua kilio Uwanjani Baada ya Simba kuondoshwa na Azam kwenye Kombe la Mapinduzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

Unahisi Kwanini Ali Kamwe Alikuwa Analia Baada Ya Simba Kuondolewa ?

Wahenga Walisema hakika hawakukosea leo Himidi Mao Mkami Ninja amethibisha Yote ya wahenga walio semaKijiji bila wasee.....
09/01/2026

Wahenga Walisema hakika hawakukosea leo Himidi Mao Mkami Ninja amethibisha Yote ya wahenga walio sema

Kijiji bila wasee..........
Kisu Cha Buchani..........
Weka nawewe msemo unaoendana na umri wa Himid na Mambo anayo yafanya

09/01/2026

K**A KUNA MTU ANASHIDA NA UKWAJU, KUNA TIMU INATOKA ZANZIBAR LEO HII.....

04/01/2026

FEI TOTO NA SIMON MSUVA
WAMETUKOSEA SANA WATANZANIA

Address

Mbeya

Telephone

+255747506166

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brother Ben posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Brother Ben:

Share