Karibu sana🙏
@greenoasisvillas
@4k_studi0s shot it
Miaka ya hivi karibuni soko la tamthilia bongo limezidi kukua kwa kiwango cha kiwango cha juu na kusaidia kurudisha thamani ya sanaa ya filamu bongo (bongo movie) Ambayo nikiri wazi kuna kipindi ilitetereka kidogo na kufanya baadhi ya watu kutoipa Attention kubwa na kurudi kwenye kuangalia filamu na tamthilia za watu magharibi na kufanya (bongo movie ) kutokuwa na thamani tena!!!!
Uwepo na visimbuzi tofauti nchini kama vile @azamtvtz @dstvtanzania na nk umesaidia kwa kiwango kikubwa kurudisha thamani ya tamthilia na filamu kutoka bongo japo changamoto bado ipo lakini tunaenda vizuri
"Kuna msanii mmoja aliwahi kuzungumzia kuhusu changamto ya tamthilia nyingi bongo kuwa na story zinazofanana kila siku lakini pia story nyingi za tamthilia za kibongo kutokuwa na uhalisia wa maisha halisi ya mtanzania jambo ambalo tusipokua nalo makini linaweza kuturudisha kuleeee!!
Kwasasa ni kweli kwamba zipo tamthilia nyingi na zinafanya vizuri pia lakini kwa nionavyo mimi tamthilia ya KOMBOLELA season 2 ndiyo tamthilia bora kwa sasa hii inatokana na aina ya story mazingira na vimbwanga vyake kuendana kabisa na mazingira ya mtanzania wa chini kabisa lakini wahusika wa tamthilia hii wamefanya tamthilia hiii kuwa kivutio cha wengi!!
Nionavyo mimi @abdullywriter ndiye mtunzi bora wa tamthilia kwa sasa 🇹🇿 inatokana umahiri wa uandishi wake Ambao kwa Asilimia kubwa unagusa maisha ya familia nyingi za kiswahili kuanzia mfumo wa maisha na matukio yanayotokea kila siku kwenye hizo familia kazi ambazo amezifanya kuanzia saloon ya mama kimbo zahanati ya kijiji kombolela season 1 na hii ya sasa Kombolea season 2 zinamfanya Azidi kuwa bora
.
.
.
Nisaidie kumtag anaeukukosha zaidi kwenye hii tamthilia!!!
Zingatia usalama barabarani
Hasa kwenye kipindi hiki cha
Za mwisho wa mwaka
@polisi.tanzania
NB: Usifosi kuendesha gari 🛻🚙
Umbali mrefu kama sio mzoefu barabarani
Lakini zawadi pekee unayoweza kuwapa
Ndugu na jamaa kipindi cha Sikukuu ni
>Gas complete kutoka
@oryxgastanzania
>Nguo kali kutoka
@nasra_house_of_fashion
>kompyuta kalii kutoka
@icaretechnologytz_
>Simu kali kutoka
@blax_store175_
Lakini sehemu nzuri ya kufikia ukiwa
Mbeya ni @rostelvilla
#mbeyacomedyfestival2024
@icaretechnologytz_
produced by
@4k_studi0s
Episode 3
#talkwithinnopodcast
With
@vecky_cakes_mbeya
Full interview you tube
"Talk with inno podcast"
.
.
.
Directed & produced by
@4k_studi0s
Short documentary
With @oryxgastanzania @oryxenergiestanzania
@4k_studi0s shot it💪🔥
Hello December👋
Mbeya mbeya
25/12/2024
Tunaenda kuandika historia mpya👊
All About mbeya comedy festival season 2⛽🌍👉
.
.
.
Powered by
@icaretechnologytz_
@oryxtanzania
@mbeyaboy_media
@mbeya_furniture
@nasra_house_of_fashion
@dreamfmtz
#innoReels
With my brother
@mixingdoctor 💪👊
.
.
.
#talkwithinnopodcast
MBEYA MBEYA
Ndo tumeanza hivi⛽🚦🚘💣🌍
Road to Mbeya comedy festival season 2
25/12/2024 Tughimbe Mafiat!!!
.
.
.
#standupcomedymbeya
#TukutaneDecember25
#hiiiyasasaimebarikiwa
#munguametupakicheko😂
This week kwenye
#Talkwithinnopodcast
Tupo na @vecky_cakes_mbeya
.
.
.
Written by
@innopresentertz
Voiced by
@bray_d_s_m
Produced by
@4k_studi0s
Ni kweli Tumeumbwa kuwa majasiri💪
Lakini kwenye yale magumu ni vizuri
Kufunguka👊
#fungukabro
#talkwithinnopodcast
With genius
@kikunizo_montage
Happy birthday bro
.
.
.
#talkwithinnopodcast