Masta tz

Masta tz this is for News and Entertainment.

31/05/2024

KIJANA ALIYESHINDA NDANI MIAKA SABA AREJEA TENA AKOSA MSAADA.......

29/05/2024

mnakaribishwa sana

Mke wangu alinichukulia simu yangu, akafuta namba ya mpenzi wangu, Naomi, na kujiweka yeye namba ya Naomi. Sikujua k**a ...
24/05/2024

Mke wangu alinichukulia simu yangu, akafuta namba ya mpenzi wangu, Naomi, na kujiweka yeye namba ya Naomi. Sikujua k**a mtu alikuwa amemwambia mke wangu kuhusu Naomi. Kisha nikapokea ujumbe mfupi kutoka kwa Naomi akitaka pesa 2,000,000 naira. Nikamwendea kwa haraka mke wangu nikamdanganya kwamba nihitaji 2,000,000 nimepata dharura. Nikamwambia kwamba kaka yangu yuko mgonjwa na anahitaji pesa haraka sana.
Mke wangu akanipa pesa na nikafanya haraka kuzituma kwenye namba ya akaunti iliyoandikwa kwenye ujumbe. Nilipokuwa nikirelax nyumbani baada ya kazi, nilikuwa nikiwaza ikiwa Naomi alikuwa amepokea pesa.
Nikamtumia ujumbe mfupi kuuliza k**a alikuwa amepokea pesa. Jibu lake lilikuwa, "Nipigie sasa."
Nikaenda nje nyuma ya nyumba kupiga simu... baada ya kupiga simu nikasikia sauti ya mke wangu ikijibu ndani na mimi niko nje
Imekuwa siku tatu sasa nimesimama nje sielewi cha kufanya.
Ushauri jmn

21/05/2024

Mwili wa Rais wa Iran ukiagwa vilio vyatanda kila kona

PICHA IPI ITAONEKANA INAFUATA MAADILI YA KIAFRIKA KATI YA A
21/05/2024

PICHA IPI ITAONEKANA INAFUATA MAADILI YA KIAFRIKA KATI YA A

20/05/2024
31/03/2024

Makonda ateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha

https://youtu.be/LLXpiQsDUAQ
31/03/2024

https://youtu.be/LLXpiQsDUAQ

UTEUZI MPYA PAUL MAKONDA KUWA MKUU WA MKOA ARUSHA, HUKU AMOSI MAKALLA KUSUBIRISHWA......my best tagsuteuzi mpya raisi samiaraisi samia afanya uteuz...

https://youtu.be/UDWcWRRHNGw
31/03/2024

https://youtu.be/UDWcWRRHNGw

MANENO MAZITO YA MAKONDA KABLA YA KUTENGULIWA UKATIBU WA CHAMA.......uteuzi mpya raisi samiaraisi samia afanya uteuziuteuzi wa mama samiauteuzi rais samiaute...

JIFUNZE KITU HAPA
28/03/2024

JIFUNZE KITU HAPA

KISA CHA HUYU DADA HAKIKA KINAUMIZA NA KITAKUTOA MACHOZIhellen akinyiapostle dani wema

https://youtu.be/nTQp-KxWGRY
11/03/2024

https://youtu.be/nTQp-KxWGRY

Nyimbo iliyosimamisha Wachungaji kwenye Tukio la kumsimika Mchungaji Mwakalundwa Lwangwa....Tukio la Kumsimika MchungajiMwakalundwa usharika wa Lwangwa

Taja sifa Moja tu ya mpira wa "CHANDIMU" naanza mm, Kwanza kabisa mwenye mpira hawezi kukosa Namba.😃😃😃😃
21/11/2023

Taja sifa Moja tu ya mpira wa "CHANDIMU" naanza mm, Kwanza kabisa mwenye mpira hawezi kukosa Namba.😃😃😃😃

Tunakudikia Hadi ulipo tunafika tu.
21/11/2023

Tunakudikia Hadi ulipo tunafika tu.

Kwa picha nzuri k**a hizi... Tupo live kabisa tucheki chaap 255686394269
21/11/2023

Kwa picha nzuri k**a hizi... Tupo live kabisa tucheki chaap 255686394269

Hongera sana Dada kheri kwa tukio hili lenye baraka. Karibu sana masta kwa kazi nyingine tena. 0764 826 497
10/11/2023

Hongera sana Dada kheri kwa tukio hili lenye baraka. Karibu sana masta kwa kazi nyingine tena. 0764 826 497

Thanks for coming Madam Filbert
18/09/2023

Thanks for coming Madam Filbert

Seriously Busokelo Imebarikiwa kuwa na Vivutio vingi vya Utalii.Aise karibuni sana muwekeze Busokelo mama Loema Peter ka...
04/08/2023

Seriously Busokelo Imebarikiwa kuwa na Vivutio vingi vya Utalii.
Aise karibuni sana muwekeze Busokelo mama Loema Peter katoa fursa zote za uwekezaji.
Pitia masta tz kutazama vivutio mbalimbali vya Busokelo.
Laurie Schaetzel-Hill K Burnell Schaetzel-Hill Emily Kollabhattula

13/01/2023

Sababu za wanaume wengi Kupenda wanawake wenye makalio makubwa... ...

https://youtu.be/k9j58A0bcSs
09/01/2023

https://youtu.be/k9j58A0bcSs

HUU NDIO UZURI WA TRENI YA UMEME TANZANIA.Treni ya umeme kukamilika.ziara ya Mh kassim majaliwa kukagua mradi wa Treni ya umeme korea kusini.SGR. standard Ga...

Karibu kwa matangazo mazuri k**a haya kwa ajili ya Biashara.
12/04/2022

Karibu kwa matangazo mazuri k**a haya kwa ajili ya Biashara.

https://youtu.be/fu_ch1oc6V4
06/11/2021

https://youtu.be/fu_ch1oc6V4

HUU NI MSAFARA MZITO WA BODABODA LWANGWA WAKIMSINDIKIZA MWENZAO FODY.SONG BY. MARTIN LEONARD X MESHACK PAUL X DJ MWASA FT KINGKIPUSAPROD BY. ISAYA MWAISANGO ...

COMMENT AMEN THEN SHARE IT
06/11/2021

COMMENT AMEN THEN SHARE IT

29/10/2021
Askofu Edward Mwaikali, akiellezea jinsi ugumu wa Uongozi ulivyo, alijaribu pia kuleza kuwa uaskofu sio Jambo jepesi san...
22/10/2021

Askofu Edward Mwaikali, akiellezea jinsi ugumu wa Uongozi ulivyo, alijaribu pia kuleza kuwa uaskofu sio Jambo jepesi sana. Pia alisema katika nafasi ambayo ni neema tu kuingia katika hiyo nafasi ni ya uaskofu.

Address

PO Box 2, Busokelo
Mbeya
53529

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masta tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masta tz:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other TV Channels in Mbeya

Show All

You may also like