Njiwa Media

Njiwa Media Njiwa Media ni ukurasa unaomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania-JK.
(2)

Njiwa Media tunatoa pole kwa Kwaya ya ST. John Hus Choir Kyela Moravian kwa kumpoteza mwana Kwaya mwenzao Kissa Bulambo....
03/09/2024

Njiwa Media tunatoa pole kwa Kwaya ya ST. John Hus Choir Kyela Moravian kwa kumpoteza mwana Kwaya mwenzao Kissa Bulambo.

Tupo nanyi katika kipindi hiki kigumu. Mungu ampumzishe kwa amani. Ameni.

03/09/2024

5 za Njiwa Media sasa zimehamia katika uzinduzi wa gari jipya la Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini. Tukio hili lilifanyika hapa katika Ushirika wa Rungwe na kuongozwa na Baba Askofu Kennan Panja.

Ilikuwa shangwe ya kihistoria yaani "Humu tuu 🙏🥰" KARIBU

Karibu Lutengano High School.
03/09/2024

Karibu Lutengano High School.

02/09/2024

Mkuu wa Shule ya Lutengano High Lutengano Secondary School New Era inayomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Mch. Israel Kabuka akizungumza mambo mbalimbali kuhusu shule hiyo, ikiwemo kupewa Tuzo kutokana na ufaulu mzuri.

02/09/2024

MWENYEKITI KMT JK, AWASHUKURU WADAU NJIWA MEDIA.

Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Mch. Ezekiel Mwasamboma, amewashukuru wadau wa Njiwa Media kwa mchango wao wa kujaza mafuta katika gari mpya la kanisa hilo.

Akizungumza katika Ibada ya uzinduzi wa gari jipya aina ya Land Cruiser Hard Top ya 2020 uliofanyika katika Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Rungwe, Mch. Mwasamboma ametumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa Wadau wa Njiwa Media waliojitolea kwa hiari kuchangia mafuta Full tank katika uzinduzi huo.

Zaidi mtazame na kumsikiliza hapa.

02/09/2024

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Lusekelo Mwalyaje akiimba wimbo wake mbele ya Madhabahu ya ya Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Rungwe, katika uzinduzi wa mpya ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini.

02/09/2024

Kwaya Kuu ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini wakiwa mbele ya madhabahu ya Ushirika wa Rungwe katika Ibada ya Uzinduzi wa gari la Kanisa.

02/09/2024

Kwaya ya Damu ya Yesu wakiimba katika uzinduzi wa gari hapa Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Rungwe.

02/09/2024

Kwaya ya Shukrani kutoka Moravian Ushirika wa Rungwa Ileje wakiimba katika uzinduzi wa gari mpya ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini, hapa Ushirika wa Rungwe.

02/09/2024

Bethel Choir Kutoka Kanisa la Moravian Ushirika wa Kyimo, walipata wasaa mzuri wa kuimba mbele ya madhabahu ya Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Rungwe, katika Ibada ya Uzinduzi wa gari jipya la Jimbo la Kusini.

02/09/2024

Karibu kutazama Kwaya ya Muujiza kutoka Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Katumba wakiimba mbele ya Madhabahu ya Moravian Ushirika wa Rungwe, kwenye uzinduzi wa gari jipya la Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini.

02/09/2024

Chukua dakika zako chache kufurahia nyimbo hii kutoka Kwaya kuu ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini, wakiimba katika uzinduzi wa gari mpya la jimbo hilo.

02/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari jipya la KMT JK {9}

02/09/2024

KANISA LA MORAVIAN TANZANIA JK WAISHUKURU SERIKALI MSAMAHA WA KODI GARI JIPYA.

Mwenyekiti wa Halmashauri kuu Kanisa la Moravia Tanzania Jimbo la Kusini Mch. Ezekiel Mwasamboma, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msamaha wa kodi walioutoa katika gari jipya aina ya Land Cruiser Hard top lililo zinduliwa jumapili 1/9/2024.

Mch. Mwasamboma pia amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Rungwe District Council Mh. Jafar Haniu kwa kuwa kiungo muhimu mpaka kupatikana kwa msamaha huo.

Akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi huo zilizofanyika katika Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Rungwe, Mch. Mwasamboma amewashukuru pia waumini wa Kanisa hilo kwa michango yao iliyofanikisha kupatikana kwa gari hiyo.

Zaidi fuatilia video hii.

02/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari la KMT JK [7]

02/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari jipya la Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kusini [6]

02/09/2024
02/09/2024

Karibu utazame mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Mch. Ezekiel Mwasamboma aliyoyatoa katika Ibada ya Uzinduzi wa gari jipya la Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini.

01/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari mpya ya KMT JK {3}

01/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari mpya ya KMT JK {2}

01/09/2024

Ibada ya uzinduzi wa gari {1}

01/09/2024

Shuhudia gari mpya ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini aina ya Land Cruiser Hard Top likiwekwa Wakfu na Baba Askofu Kennan Panja. Tukio hili limefanyika katika viwanja vya Kanisa la Moravian Ushirika wa Rungwe.

Kwaya ya Uinjilisti kutoka Ushirika wa Kyimo {Bethel Choir} ni moja kati ya kwaya zilizopata nafasi ya kusifu mbele ya m...
01/09/2024

Kwaya ya Uinjilisti kutoka Ushirika wa Kyimo {Bethel Choir} ni moja kati ya kwaya zilizopata nafasi ya kusifu mbele ya madhabahu ya hapa Ushirika wa Rungwe katika Ibada ya kuweka Wakfu gari jipya la Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini.

Address

Rungwe Mission
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njiwa Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njiwa Media:

Videos

Share


Other Broadcasting & media production in Mbeya

Show All

You may also like