Juma Yahaya Mbwana

Juma Yahaya Mbwana Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juma Yahaya Mbwana, News & Media Website, Kilosa, Kilosa.

Sasha Obama
24/03/2022

Sasha Obama

King and Queen black love!!!!!!
07/02/2021

King and Queen black love!!!!!!

  Manara anastahili kushtakiwa kwa makosa ya kuichafua jezi ya Yanga.
06/02/2021

Manara anastahili kushtakiwa kwa makosa ya kuichafua jezi ya Yanga.

  k**a Mama 2021💜💜💜
06/02/2021

k**a Mama 2021💜💜💜

UWOYA;  NAOGA MAZIWA YA NG'OMBEIRENE Pancras Uwoya ni binti wa rubani mstaafu. Uwoya ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Mov...
16/10/2020

UWOYA; NAOGA MAZIWA YA NG'OMBE

IRENE Pancras Uwoya ni binti wa rubani mstaafu. Uwoya ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Movies, wenye majina makubwa Bongo.

Kupitia sanaa ya uigizaji, jina lake limebaki kwenye chati kwa zaidi ya miaka kumi sasa.

Katika mahojiano maalum (exclusive interview) na gazeti bora la mastaa wa IJUMAA WIKIENDA, Uwoya anafunguka mengi, lakini kubwa zaidi ni juu ya kuishi maisha ya kifahari, kufuru za hapa na pale akidaiwa kuwa na pesa chafu, kumficha mwanaume wake na ishu ya kuogea maziwa.

Uwoya ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kiume aitwaye Krish, anasema kuwa, kikubwa anakichofanya sasa hivi ni kufanya mambo yanayoendana na umri wake kwani miaka hairudi nyuma;

IJUMAA WIKIENDA: Kumekuwa na gumzo kubwa juu ya kauli yako kuwa, huwa unatumia maziwa ya ng’ombe kuogea, je, ni kweli na bado unafanya hivyo?

Uwoya: Ni kweli nafanya hivyo, naogea maziwa na ndiyo maana sura yangu kila ninayeonana naye ananisifia. Mimi sipaki chochote, kikubwa zaidi ni hayo maziwa.

  kwa mara ya kwanza amezungumzia ishu yake na mpiga picha wake baada ya kuonekana wakila Bata peke yao huku zikiwepo ta...
13/10/2020

kwa mara ya kwanza amezungumzia ishu yake na mpiga picha wake baada ya kuonekana wakila Bata peke yao huku zikiwepo taarifa kuwa wawili hawa wana toka kimapenzi ambapo Shishi amesema

“Kuna mtu anayeumia kwani..? Bata anakula mtu yeyote, tatizo watanzania wanapenda kuunganisha matukio, hatuna lolote linaloendelea sisi tupo kazini ni Picha tu, Mpiga Picha wangu Nampenda, Yupo vizuri kila Sekta Shilole

WEMA SEPETU KUWANIA TUZO ZA HAPAWARDS 2020-Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu am...
13/10/2020

WEMA SEPETU KUWANIA TUZO ZA HAPAWARDS 2020
-
Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu ametajwa kuwa miongoni mwa Mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAwards 2020) za nchini Marekani
-
Wema anawania kipengele cha Muigizaji Bora wa K**e wa Tamthilia za Kiafrika kupitia Tamthilia ya Karma
-
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Oktoba 18, mwaka huu ambapo pia, zimemtaja Mwimbaji Christian Bella kwenye kipengele cha Msanii Huru wa Kiume wa Kimataifa.

Unamjua huyu?
13/10/2020

Unamjua huyu?

Msanii Maarufu hapa Tanzania Maua Sama Amesema Kwa kipindi Hiki Hawezi kuolewa na Mwanaume Asiyekuwa na Pesa."Kwa Kweli ...
06/10/2020

Msanii Maarufu hapa Tanzania Maua Sama Amesema Kwa kipindi Hiki Hawezi kuolewa na Mwanaume Asiyekuwa na Pesa.

"Kwa Kweli Mimi Siwezi Kuolewa na Mwanaume Ambaye Hana Pesa za Kutosha Na Level zangu kwa Sasa Siwezi Kuolewa Na Mwanaume Wa Hapa Tanzania labda kutoka Nje ya Nchini"-Ameongea Maua Sama.

  ya fedha.
25/09/2020

ya fedha.

23/08/2020

HONGERA BROTHER!Hamisi Taletale maarufu Babu Tale amepitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mashariki kwa tiketi ya ...
20/08/2020

HONGERA BROTHER!

Hamisi Taletale maarufu Babu Tale amepitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mashariki kwa tiketi ya CCM.

.
# .

  bhana!
20/08/2020

bhana!

MWANA FA ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE MUHEZA- Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma, maarufu k**a Mwana FA ameteu...
20/08/2020

MWANA FA ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE MUHEZA

- Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma, maarufu k**a Mwana FA ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM kugombea Ubunge jimbo la Muheza mkoani Tanga

- Jimbo la Muheza lilikuwa chini ya Adadi Rajab wa CCM ambaye aliongoza kwenye kura za maoni na Mwana FA akiwa wa pili katika kura hizo

  hans asema anasalitiwa na mpenzi wake Ray kigosi, ni jambo ambalo linalomuumiza sana k**a mzazi mwenzake kutokuwa mwam...
12/08/2020

hans asema anasalitiwa na mpenzi wake Ray kigosi, ni jambo ambalo linalomuumiza sana k**a mzazi mwenzake kutokuwa mwaminifu.

 :Benard Morrison ametua katika klabu ya wekundu wa Msimbazi SC na kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo. Haijafahamika...
08/08/2020

:Benard Morrison ametua katika klabu ya wekundu wa Msimbazi SC na kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo.

Haijafahamika kwamba amesaini mkataba kwa kipindi cha muda gani.

Kupitia ukurasa wa wameweka picha tatu za Morrison akionekana mwenye bashasha.

HATUJI KUACHANA MILELE🇹🇿Msanii Maarufu hapa Bongo na CEO wa KondeGang, Harmonize amefunguka kutokana na Skendo Zinazo En...
05/08/2020

HATUJI KUACHANA MILELE🇹🇿

Msanii Maarufu hapa Bongo na CEO wa KondeGang, Harmonize amefunguka kutokana na Skendo Zinazo Endelea kuwa yeye na Sarah wameachana Kutokana na Harmonize kuacha kumpost Sarah Kwenye Account yake ya Instagram Harmonize Amesema "UKWELI NI KWAMBA MIMI NA MKE WANGU SARAH HATUWEZI KUACHANA, KUHUSU KUMPOST INSTAGRAM TUMEAMUA TUPUNGUZE MAPENZI YA MTANDAONI"-Ameongea Harmonize.

Mwanamitindo  na mzazi mwenzake  waendeleza mahusiano yao kikazi baada ya Diamond kuweka wazi kuwa kampuni ya   ndio ili...
05/08/2020

Mwanamitindo na mzazi mwenzake waendeleza mahusiano yao kikazi baada ya Diamond kuweka wazi kuwa kampuni ya ndio ilihusika kumvalisha siku ya harusi ya na Msizwa

Hii itakuwa kwa mara nyingine tena baada ya kukiri kuvalishwa na kampuni hiyo kwenye show ya Zuchu Mlimani City. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameishukuru kampuni hiyo inayomilikiwa na mzazi mwenzake huyo kwa kumvalisha kwa mara ya pili

Hii ni hatua nzuri kwa mastaa hawa ambao wamezaa mtoto mmoja. Hapo awali hawakuwa kwenye mahusiano mazuri baada ya kuanza kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii muda mfupi baada ya kuachana.

Yetu macho nini kinachofuata kwa watu hawa.
02/08/2020

Yetu macho nini kinachofuata kwa watu hawa.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin Mkapa na kusai...
24/07/2020

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin Mkapa na kusaini kitabu cha maombolezo.



  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Behewa la Treni ya Uh...
28/06/2020

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Behewa la Treni ya Uhandisi wakati alipokuwa akielekea Mlandizi mkoani Pwani ambapo amekagua kazi za ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia 80.

  sana babu tale kwa msiba mzito wa kumpoteza mke wako kipenzi.
28/06/2020

sana babu tale kwa msiba mzito wa kumpoteza mke wako kipenzi.

ASEMAVYO MANARAKikombe chenyewe ni hiki,,baada ya Jumapili kitakaa kabatini kwetu milele,,unajua maana ya milele?Ni hadi...
25/06/2020

ASEMAVYO MANARA

Kikombe chenyewe ni hiki,,baada ya Jumapili kitakaa kabatini kwetu milele,,unajua maana ya milele?
Ni hadi kiyama

  TAMAA NDUGU MAISHA YANAWEZA KUBADILIKA. MCHIMBAJI mdogo Saniniu Laizer akimkabidhi Waziri wa Madini, Doto Biteko mawe ...
24/06/2020

TAMAA NDUGU MAISHA YANAWEZA KUBADILIKA.

MCHIMBAJI mdogo Saniniu Laizer akimkabidhi Waziri wa Madini, Doto Biteko mawe mawili ya madini ya Tanzanite ya kilo 9 na 5 ambayo hayajawahi kutokea tangu kuanza kuchimbwa kwa madini hayo baada ya kununuliwa na serikali kwa zaidi ya Sh.bilioni 7.7.

Aibuka na mawe ya Tanzanite yenye thamani ya bilioni 7.8

Mchimbaji mdogo wa madini ya , Saniniu Laizer ambaye amekuwa bilionea baada ya kupata madini yenye thamani kubwa.

Taarifa ya Wizara ya Madini imeeleza kuwa Laizer amepata mawe mawili makubwa yenye thamani shilingi 7.8 bilioni.

Kati ya mawe hayo mawili aliyopata mchumbaji huyo, moja lina uzito wa 9.2kg ambalo lina thamani ya TZS 4.5 bilioni na la pili lina 5.8kg lenye thamani TZS 3.3 bilioni.

Kufuatia tukio hilo, Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea.

“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.

VANESSA MDEE: WASANII WENZANGU WAMENISHUKURU  alitangaza kujitoa katika tasnia ya muziki wiki iliyopita kupitia ‘podcast...
23/06/2020

VANESSA MDEE: WASANII WENZANGU WAMENISHUKURU

alitangaza kujitoa katika tasnia ya muziki wiki iliyopita kupitia ‘podcast’ yake akidai ilimpelekea kupata msongo wa mawazo

Ameeleza kuwa maisha ya wasanii hayana uhalisia kwani wanalazimika kuendana na ukubwa wa brand zao hata wanapokosa uwezo huo

  amesema kwa sasa yupo single ila hataki mwanaume fukara ambaye hata akimwomba Milion 10 anasema hana.
22/06/2020

amesema kwa sasa yupo single ila hataki mwanaume fukara ambaye hata akimwomba Milion 10 anasema hana.

Wamefanya kazi kubwa wanastahili pongezi hawa watu, jamani tuache waendelee kipindi kingine
21/06/2020

Wamefanya kazi kubwa wanastahili pongezi hawa watu, jamani tuache waendelee kipindi kingine

Happy father day!!
21/06/2020

Happy father day!!

" TUNAZO SABABU 1,000 ZA KUING'OA CCM MADARAKANI "" Tunazo sababu 1,000 za kuing'oa CCM Madarakani , na nilazima ing'oke...
21/06/2020

" TUNAZO SABABU 1,000 ZA KUING'OA CCM MADARAKANI "

" Tunazo sababu 1,000 za kuing'oa CCM Madarakani , na nilazima ing'oke ili nchi irudi katika misingi yake na wananchi wawe na furaha " Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT Wazalendo.

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva Tanzania na Afrika, Vanessa Mdee ametangaza rasmi kuacha muziki na kupumzika kwa muda...
20/06/2020

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva Tanzania na Afrika, Vanessa Mdee ametangaza rasmi kuacha muziki na kupumzika kwa muda kufanya kazi hiyo kutokana na matendo yaliyomo ndani ya tasnia. Akizungumza kwenye kipindi chake cha redio mtandaoni (podcast) Vanessa amesema tasnia ya muziki imejaa mambo ya ajabu yasiyoaminika machoni pa watu. “Kilichonifanya nichukue likizo kwenye muziki ilikuwa ni kuchagua maisha yangu na muziki unajua unapoingia kwenye tasnia watu wanakuambia upande mmoja tu wa mazuri na kusahau mabaya, kiukweli tasnia ya muziki imejaa mabaya mengi na ilibidi nichague kundelea kwenye ubaya au maisha yangu” amesema Vanessa.

K**a siku ya leo 16TH JUNE 1976...ni siku ambayo south wanaikumbuka kila mwaka kwa mauji ya Wanafunzi wengi mjini SOWETO...
16/06/2020

K**a siku ya leo 16TH JUNE 1976...ni siku ambayo south wanaikumbuka kila mwaka kwa mauji ya Wanafunzi wengi mjini SOWETO dhidi ya polisi Wazungu.

Ndege ndogo ya Kenya hapo jana iligonga chini katika kaunti ya Meru na kujeruhi maafisa 6 wa usalama waliokuwa wakisafir...
14/06/2020

Ndege ndogo ya Kenya hapo jana iligonga chini katika kaunti ya Meru na kujeruhi maafisa 6 wa usalama waliokuwa wakisafiri nayo kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo eneo la Marsabit kufanya mkutano wa usalama.

Ndege hiyo inasemekana kupata hitilafu ya kimtambo, muda mchache tu baada ya kupaa. Wote 6 hao wanaendelea kupiokea matibabu.

Rais Mstaafu awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nk...
14/06/2020

Rais Mstaafu awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jijini Dar es Salaam hapo jana.

‪ATLANTA: POLISI WAMUUA MTU MWEUSI MWINGINE KWA RISASI‬‪> Rayshard Brooks (27), amepigwa risasi na Polisi Ijumaa usiku‬‪...
14/06/2020

‪ATLANTA: POLISI WAMUUA MTU MWEUSI MWINGINE KWA RISASI‬

‪> Rayshard Brooks (27), amepigwa risasi na Polisi Ijumaa usiku‬

‪> Afisa aliyehusika na tukio hilo, Garrett Rolfe ameshafukuzwa kazi, Devin Bronsan aliyeshiriki kwenye tukio amebadilishiwa kazi‬

AJISALIMISHA POLISI UCHI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MWANAJESHI .Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha katika kit...
14/06/2020

AJISALIMISHA POLISI UCHI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MWANAJESHI .

Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha katika kituo cha polisi akiwa bila nguo mara baada ya kufumaniwa na Mke wa mwanajeshi.

Inasemekana Mwanajeshi alirudi nyumbani kwake bila kumtaarifu mkewe ndipo akamkuta mwanaume huyo na mkewe wakiwa ndani. Baada ya mwanaume huyo kumuona Mwanajeshi alimaua kukimbilia kituo cha polisi ili kujisalimisha.

Miss Tanzania mwaka 2005 Nancy Sumari mwenye sura matata na kuvutia, kiasi ambacho ukimuona tu utapenda kumtazama kwa ma...
12/06/2020

Miss Tanzania mwaka 2005 Nancy Sumari mwenye sura matata na kuvutia, kiasi ambacho ukimuona tu utapenda kumtazama kwa mara nyingine kwa sababu ya kisura chake, alipata bahati ya kuolewa miaka mingi nje ya nchi ya Tanzania.

sana sister kwa kuipenda ndoa yako.

UNAMKUMBUKA huyu? Ray C dada yetu alimpenda sana kutoka moyoni kwa sababu jamaa alikuwa handsome pili hela alikuwa nayo ...
12/06/2020

UNAMKUMBUKA huyu? Ray C dada yetu alimpenda sana kutoka moyoni kwa sababu jamaa alikuwa handsome pili hela alikuwa nayo ya Big brother lakini Ray C alipozama kwenye mapenzi na huyu mwamba ndio alipotea mazima, alijuta na mpaka leo anajuta. Harmonize amemkumbuka dada yetu. "uno la ray c alinaga mifupa"

Zari the boss lady amefunga Jana na  kutema cheche baada tetesi zinazo sambaa mitandaoni kwamba amerudiana na mzazi mwen...
12/06/2020

Zari the boss lady amefunga Jana na kutema cheche baada tetesi zinazo sambaa mitandaoni kwamba amerudiana na mzazi mwenzake, amepinga vikali ajarudiana na Daimond ila wanalea watoto ndio maana wana ukaribu.

Diva the boss aliyekuwa mtangazaji wa clouds redio amefunguka jana, ndoto yangu sasa ni kuwa mfanya biashara  baada ya k...
12/06/2020

Diva the boss aliyekuwa mtangazaji wa clouds redio amefunguka jana, ndoto yangu sasa ni kuwa mfanya biashara baada ya kufukuzwa Clouds Fm.

Muda haumsubirii mtu aisee!! A. Y mzee wa Commercial
11/06/2020

Muda haumsubirii mtu aisee!!

A. Y mzee wa Commercial

Address

Kilosa
Kilosa

Telephone

+255712956061

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juma Yahaya Mbwana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share