Tujifunze Pamoja neno la Mungu

Tujifunze Pamoja neno la Mungu Zaburi 118:13
(1)

Bwana Yesu kristo asifiwe, wakati mwingine vile visivoofaa kabisa ndivyo Mungu huvitumia ili kuudhirisha uweza wake,Usij...
26/04/2024

Bwana Yesu kristo asifiwe, wakati mwingine vile visivoofaa kabisa ndivyo Mungu huvitumia ili kuudhirisha uweza wake,
Usijidharau mtu wa Mungu pamoja na magumu unayopitia,
Usiku mwema 🤍🤍🤍

19/03/2024

Ampendaye Mungu ataishi kwa amani, hapa duniani.

12/02/2024

Follow the Visit Ngorongoro - Tanzania channel on WhatsApp:

09/01/2024

Wakati mwingine hauwezi ukaelewa ukuu wa Mungu k**a haujatafakari matendo yake.

03/01/2024

Kumekucha tena,endelea kumshukuru Mungu.

Biblia husema uongoo???
26/12/2023

Biblia husema uongoo???

Jee umelielewa vipi hili andiko? Mwana wa Mungu?
02/09/2023

Jee umelielewa vipi hili andiko? Mwana wa Mungu?

01/09/2023

Tunamshukuru Mungu sana, jmapili iliyopita kanisa la nayothi bomangombe limetimiza mwaka moja tangu ilipoanza hapa boma,
😀Na haya mojawapo matendo mkuu ambayo Yesu kristo amewatendea watu wake😀
😀Watu mbalimbali wameponywa, karibuni woteeee🍇

Kuna wakati mwingine huwezi kumwelewa Mungu alipokutoa, Lakini embu fikiria maisha yako na marafiki zako ni sawa? Jee wo...
25/08/2023

Kuna wakati mwingine huwezi kumwelewa Mungu alipokutoa,
Lakini embu fikiria maisha yako na marafiki zako ni sawa? Jee wote wapo hai?
kwanini wewe upo,
Acha kumlalamikia Mungu na maombi ya manung'uniko Mungu hapendi.

Mungu ibariki tanzania🎁Mungu wabariki watu wote wa tanzania🎁Mungu mbariki raisi wetu mama Samia,.
25/08/2023

Mungu ibariki tanzania🎁
Mungu wabariki watu wote wa tanzania🎁
Mungu mbariki raisi wetu mama Samia,.

Ukiona unapitia kwenye majaribu sana, jua kuwa kuna kitu cha samani unacho ndio maana shetani anakupinga, pambana, mshik...
27/07/2023

Ukiona unapitia kwenye majaribu sana, jua kuwa kuna kitu cha samani unacho ndio maana shetani anakupinga, pambana, mshike Yesu sanaa,😀unamkumbuka Ayubu?? Matokeo ya kushika imani yake yalimpa ushindi mkuu.

23/07/2023

Wakati mwingine ukiwaza sanaaa ya dunia hii unachoka na kukataa tamaa,
😄utasukumwa sana,
😄lakini jibu letu hili hapa,
Zaburi 118:13⛪

15/07/2023

Yeyote anayeichukia dhambi huridhika na kile Mungu anachombariki,
😀hutumia màarifa ktk maisha, 😀hekima ni njia yake. 🍇

10/06/2023

Ni jambo jema kumshukuru Mungu,
Anapokuamsha siku hii tena😀😀😀😀

Sio mimi ni andiko, usiku mwema. 🤔
26/05/2023

Sio mimi ni andiko, usiku mwema. 🤔

19/04/2023

Karibu Tanzania, nchi yenye watu wakarimu sana😀😀😀😀😀

18/04/2023
Ngozi nyeupe hapana,
18/04/2023

Ngozi nyeupe hapana,

14/04/2023

Hakika tanzania tumebarikiwa, karibuni wageni.

Ee Mungu tuhurumie watanzania,
13/04/2023

Ee Mungu tuhurumie watanzania,

09/04/2023

Nawatakia marafiki zangu pasaka njema,
😃waislamu wote walio funga, nawatakia funga njema

03/04/2023

Naomba Mungu yanga wapangwe na riverside, itakuwa kisasi

30/03/2023

Wakati mwingine fanya mema ukijua kuwa Mungu anakuona,
Embu tuwe na kumuhofu Mungu jamani,.

29/03/2023

Siku mbaya Kazini, poleni watanzania Wenzangu bado tuna nafasi🙏

Mr Geon Ya Leo

Follow SOKA kidigitali

Address

Kilimanjaro

Telephone

+255763838362

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujifunze Pamoja neno la Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tujifunze Pamoja neno la Mungu:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Kilimanjaro

  • AMANI

    AMANI

    Karansi Sanya Juu
Show All