Baba Love Omugonzibwa Media

Baba Love Omugonzibwa Media Hapa tutajifunza maswala yote ya mapenzi, uchumba na NDOA. pia Simulizi zenye mvuto.

07/11/2025

Samkiller anawekwa kwenye majalibu na mtoto wa kihindi vipii ataruka mtego huu usisite ku bonyeza SUBSCRIBE pale youtube kupata huondo huu

06/11/2025

Ajali aliyo pata Mzee jobadu duu....

04/11/2025

Jobadu anaanza kuhuza mali za familia taraatibu

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! πŸŽ‰ Naswiru Dauda M***a, David Egibert, Nasw...
24/10/2025

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! πŸŽ‰ Naswiru Dauda M***a, David Egibert, Naswiru Dauda, Sadick Said, Thobias Ishengoma, Hashimu Abdul, Sadick Sadamu, Johnson Benard, Philimon Buganzi, Derick Bosco

23/10/2025

Mwana dada Kau kwenda kwa mganga ampatie dawa ili apate Ng'ombe za mzee Jobadu

21/10/2025

Mzee jobadu kaoza kwa mtoto wa k**e Kausha damu/KAU

17/10/2025

Ni hatari Vegoshi kula nyama ya kitovu

16/10/2025

Wanaume wengi hawapendi kuzungumza sana wanapoumizwa β€” wananyamaza, wanajitenga, na hatimaye wanatoka kimya kimya πŸ˜”
Lakini kabla hajaondoka, huwa kuna β€œmilango” ambayo ilifunguliwa taratibu. Hii hapa milango kumi inayoweza kumtoa mwanaume kwenye uhusiano πŸ‘‡πŸ‘‡

Kumbuka:
Mwanaume akiondoka, si mara zote ni kwa sababu ya mtu mwingine β€” mara nyingi ni kwa sababu alichoka kupigania mahusiano yasiyomjali.
Funga milango hii mapema, linda moyo wako na ule wa mwenzako ❀️

14/10/2025

🌹 WANAUME, ANGALIA HAYA KABLA MKEO HAJACHOKA KIMYA KIMYA 🌹
Ndoa nyingi hazivunjwi kwa kelele, bali kwa kimya cha uchungu.
Mke hachoki ghafla β€” anaumia kidogo kidogo mpaka moyo wake unakauka.
Haya ndiyo malango 10 yanayoweza kumfanya mkeo akuache, hata bila kusema πŸ˜”πŸ‘‡

13/10/2025

Vegoshi anakataliwa na wazazi kumuoa binti anae mpenda unajua kilichomkuta vegoshi baada ya kulazimisha???

12/10/2025

Ndoa bila Mungu ni safari yenye kivuli cha giza... inaweza kung’aa kwa muda, lakini mwisho wake ni machungu. Muweke Mungu katikati ya ndoa yenu, ndipo upendo wenu utadumu milele. πŸ™β€οΈ

Address

KARAGWE
Kayanga
35402

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baba Love Omugonzibwa Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Baba Love Omugonzibwa Media:

Share