Chang'a online tv

Chang'a online tv Matangazo na taarifa mbalimbali za kijamii

22/01/2023
BREAKING NEWS 📰Ndege ya shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafirisha abiria tokea dar es salaam kuelekea Bukoba kupit...
06/11/2022

BREAKING NEWS 📰
Ndege ya shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafirisha abiria tokea dar es salaam kuelekea Bukoba kupitia mwanza imeanguka katika ziwa Victoria asubuhi hii.
Shughuli za uokoaji zinaendelea ikiwa ni pamoja na uondoaji wa ndege hiyo ziwani.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia..

*Wazee wanasema, "mwenye hekima hatamkabidhi mbuzi bustani ya mboga". Wapo watu wanaolalamika wakati mwingine hawapewi m...
06/11/2022

*Wazee wanasema, "mwenye hekima hatamkabidhi mbuzi bustani ya mboga". Wapo watu wanaolalamika wakati mwingine hawapewi madaraka, hawakabidhiwi vitengo fulani fulani, lakini kwakweli ukichunguza namna yao unaogopa kwasababu wana tabia yakumaliza mboga zote walizokabidhiwa kwenye bustani. Hii ni tabia yake lakini atasingizia wengine. Anajijeruhi mwenyewe anasingizia wengine na pengine viongozi hawamjali, lakini kila mtu anamuogopa kumkabidhi bustini kwasababu mboga zote zitaisha. Kabla hujalaumu jambo ebu jicheki pengine unahitaji kuponya umbuzi ulionao kabla hujaanza kulaumu.🫣🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♂️* ©️Pd. PK, angalia tumbo lisifanye mwili mzima udharaulike😋. Hata k**a wewe ni mpole na mzuri sana, ukidondoka mtoni lazima samaki wakimbie🏃🏻‍♂️🫣🖐️

Shikamoo mchoraji 🔥🔥
24/10/2022

Shikamoo mchoraji 🔥🔥

23/10/2022

NYIEEEE

Makolo njooni huku mjibu😁

23/10/2022

Mwanzilishi na Mmiliki wa Kampuni ya Red Bull, Bilionea Dietrich Mateschitz, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mateschitz (78) Mfanyabiashara maarufu duniani kutokea Austria anatajwa kuwa mtu tajiri kuliko wote nchini humo, ambaye alifanikiwa kujenga jina kubwa kwa kinywaji cha Red Bull.

Bilionea huyo pia ni mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Mashindano ya magari ya Formula 1 iitwayo Red Bull Racing.

Uongozi wa Formula 1 umemsifu kwa mchango wake mkubwa kwenye mchezo huo na kusema kuwa ameacha alama ambayo haitofutika.

Maisha binafsi ya bilionea huyo aliyekuwa akiishi katika mji wa Salzburg hayakuweza kujulikana kirahisi, alikuwa mkimya na hakupenda kuhojiwa, aliwahi kusema kuwa alikuwa akinywa makopo 10 hadi 12 ya Red Bull kwa siku miaka ya nyuma.

HIVI NDIVYO WOTE WENYE KUMCHA BWANAKiitikio: Hivi ndivyo wote wenye kumcha Bwana watakavyobarikiwa naye x2.1.Amchaye Bw...
22/10/2022

HIVI NDIVYO WOTE WENYE KUMCHA BWANA

Kiitikio: Hivi ndivyo wote wenye kumcha Bwana watakavyobarikiwa naye x2.

1.Amchaye Bwana atastawi, k**a mwerezi wa lebanoni.

2.Heri yule amchaye Bwana, na Kupendezwa na umri wake.

3.Wazao wake watakuwa hodari, kizazi cha waadilifu kitabarikiwa.

27

19/10/2022

Hongera na kila la kheri kaka…!

Magari mengi kuliko wananchi iiiiiiii wenyewe 😂😂😂
19/10/2022

Magari mengi kuliko wananchi iiiiiiii wenyewe 😂😂😂

Mama Yuko Kazini 👍

19/10/2022

Huyu injinia 🙌🏾🙌🏾

Hongereni sana Dada zetu Serengeti girls Kwa kutuwakilisha vema huko India
19/10/2022

Hongereni sana Dada zetu Serengeti girls Kwa kutuwakilisha vema huko India

PAMOJA NA MALAIKA1. Pamoja na malaika, Mariamu mama yetuKuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetuEe Maria zipokee hizo...
19/10/2022

PAMOJA NA MALAIKA

1. Pamoja na malaika, Mariamu mama yetu
Kuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetu

Ee Maria zipokee hizo zako heshima
Twakuimba, twakuomba, utwelekee, Mama

2. Mazuri ya ulimwengu, si kitu mbele zako
Hata nyota za uwingu, zavia mbele yako

3. Bikira uso mfano, sifazo kuzitaja Sitoshi haba maneno, kubwa yako daraja

*Au*

1. Pamoja na malaika, Maria mama yetu
Kuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetu

Maria ee zipokee hizo zako heshima
Twakuimbia, twakuomba, utwelekee, Mama

2. Mazuri ya ulimwengu, si kitu mbele zako Hata nyota za uwingu, zavia mbele yako

3. Bikira uso mfano, sifazo kuzitaja Sitoshi haba maneno, kubwa yako daraja

33

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama mzazi wa Hayati Dr John pombe magufuli 💚💚
18/10/2022

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama mzazi wa Hayati Dr John pombe magufuli 💚💚

14/09/2022

Fundi Aziz Ki amezungumzia mchezo wa leo na goli lake la kwanza Young Africans SC

Taarifa zaidi inapatikana kwenye Chanel yetu ya 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗧𝗩 | YouTube

Direct Link:
https://youtu.be/z5UFqmyX7Fw


*Wazee wanasema “ndama anazaliwa na masikio ila pembe zinaota baadae.” Angalia usivunje maisha yako na ya wengine kwa pe...
22/08/2022

*Wazee wanasema “ndama anazaliwa na masikio ila pembe zinaota baadae.” Angalia usivunje maisha yako na ya wengine kwa pembe zako zilizoota baadae. Elimu yako, cheo, na utajiri vimekuja baadae baada ya kuzaliwa angalia visikufanye ushindwe kuishi vizuri na wanadamu. Jitahidi kupunguza ukuwaji wa pembe zako (majivuno), kwa njia ya unyoofu na unyenyekevu. Utapita mlango wowote wa maisha, pembe hazitakuzuia.* ©️Pd. PK, Jpl njema.

17/08/2022

James Msengi Mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni akiwa kwenye kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro.

AyoTV na millardayo.com zimefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alikolazwa Majeruhi huyo ambaye amesema alikuwa anasafairi kutoka Dar es salaam kuelekea kwao Tabora lakini alipofika katika kituo hicho cha mabasi aliamua kujikata kwa makusudi shingoni kwa lengo la kujiua kutokana na ugumu wa maisha ambao ulisababishwa na kukosa ajira.

Katibu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro Scholastika Ndunga amethibitisha kumpokea Majeruhi akiwa katika hali mbaya na kutokwa na damu nyingi shingoni ambaye alianza kupatiwa matibabu na sasa anaendelea vizuri.

Shuhuda wa tukio hilo Mzee Ibrahim Omary ambaye Majeruhi alitumia kisu chake cha kuuzia miwa kujikata koromeo amesema kuwa Mtu huyo alifika katika eneo analofanyia biashara na kutaka auziwe muwa ambao haujamenywa lakini walishangaa baada ya kupewa kisu akaanza kujichinja.

16/08/2022

KENYA: Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Jimbo la Embakasi, Daniel Mbolu Musyoka umeokotwa Kajiado. Taarifa zaidi zinadai Mwili wa Marehemu ulionesha dalili za mapambano na mateso

Musyoka alitoweka eneo lake la kazi Agosti 9, 2022

Soma - https://jamii.app/IEBCOfficialFoundDead

Address

Mtwivila
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chang'a online tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chang'a online tv:

Share

Category

Nearby media companies


Other TV Networks in Iringa

Show All