Chang'a online tv

Chang'a online tv Matangazo na taarifa mbalimbali za kijamii

22/01/2023
BREAKING NEWS 📰Ndege ya shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafirisha abiria tokea dar es salaam kuelekea Bukoba kupit...
06/11/2022

BREAKING NEWS 📰
Ndege ya shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafirisha abiria tokea dar es salaam kuelekea Bukoba kupitia mwanza imeanguka katika ziwa Victoria asubuhi hii.
Shughuli za uokoaji zinaendelea ikiwa ni pamoja na uondoaji wa ndege hiyo ziwani.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia..

*Wazee wanasema, "mwenye hekima hatamkabidhi mbuzi bustani ya mboga". Wapo watu wanaolalamika wakati mwingine hawapewi m...
06/11/2022

*Wazee wanasema, "mwenye hekima hatamkabidhi mbuzi bustani ya mboga". Wapo watu wanaolalamika wakati mwingine hawapewi madaraka, hawakabidhiwi vitengo fulani fulani, lakini kwakweli ukichunguza namna yao unaogopa kwasababu wana tabia yakumaliza mboga zote walizokabidhiwa kwenye bustani. Hii ni tabia yake lakini atasingizia wengine. Anajijeruhi mwenyewe anasingizia wengine na pengine viongozi hawamjali, lakini kila mtu anamuogopa kumkabidhi bustini kwasababu mboga zote zitaisha. Kabla hujalaumu jambo ebu jicheki pengine unahitaji kuponya umbuzi ulionao kabla hujaanza kulaumu.🫣🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♂️* ©️Pd. PK, angalia tumbo lisifanye mwili mzima udharaulike😋. Hata k**a wewe ni mpole na mzuri sana, ukidondoka mtoni lazima samaki wakimbie🏃🏻‍♂️🫣🖐️

Shikamoo mchoraji 🔥🔥
24/10/2022

Shikamoo mchoraji 🔥🔥

23/10/2022

NYIEEEE

Makolo njooni huku mjibu😁

23/10/2022

Mtu Kazi… huna baya

23/10/2022

Mwanzilishi na Mmiliki wa Kampuni ya Red Bull, Bilionea Dietrich Mateschitz, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mateschitz (78) Mfanyabiashara maarufu duniani kutokea Austria anatajwa kuwa mtu tajiri kuliko wote nchini humo, ambaye alifanikiwa kujenga jina kubwa kwa kinywaji cha Red Bull.

Bilionea huyo pia ni mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Mashindano ya magari ya Formula 1 iitwayo Red Bull Racing.

Uongozi wa Formula 1 umemsifu kwa mchango wake mkubwa kwenye mchezo huo na kusema kuwa ameacha alama ambayo haitofutika.

Maisha binafsi ya bilionea huyo aliyekuwa akiishi katika mji wa Salzburg hayakuweza kujulikana kirahisi, alikuwa mkimya na hakupenda kuhojiwa, aliwahi kusema kuwa alikuwa akinywa makopo 10 hadi 12 ya Red Bull kwa siku miaka ya nyuma.

HIVI NDIVYO WOTE WENYE KUMCHA BWANAKiitikio: Hivi ndivyo wote wenye kumcha Bwana watakavyobarikiwa naye x2.1.Amchaye Bw...
22/10/2022

HIVI NDIVYO WOTE WENYE KUMCHA BWANA

Kiitikio: Hivi ndivyo wote wenye kumcha Bwana watakavyobarikiwa naye x2.

1.Amchaye Bwana atastawi, k**a mwerezi wa lebanoni.

2.Heri yule amchaye Bwana, na Kupendezwa na umri wake.

3.Wazao wake watakuwa hodari, kizazi cha waadilifu kitabarikiwa.

27

19/10/2022

Hongera na kila la kheri kaka…!

Magari mengi kuliko wananchi iiiiiiii wenyewe 😂😂😂
19/10/2022

Magari mengi kuliko wananchi iiiiiiii wenyewe 😂😂😂

Mama Yuko Kazini 👍

Address

Mtwivila
Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chang'a online tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chang'a online tv:

Share

Category