Kwa ufupi Humphrey Polepole akielezea kuhusu serikali za nchi na masuala ya kiuchumi.
Polepole ametoa angalizo kuhusu serikali ya Tanzania kuwa na serikali mbili.
Tizama video.
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan awaonya mawaziri wake na sasa ameteua mawaziri wa nne na kumbadilisha mwanasheria mkuu.
"Walichukulia ukimya na utulivu wangu kama udhaifu, ila nilikuwa nawasoma kwa miezi 6"- Rais Samia
Maofisa wa polisi nchini Marekani walimkamata ofisa mmoja wa FBI ambaye alikuwa ni mweusi.
Wakati wanamkamata hawakujua iwapo yupo kitengo cha FBI baadae walipo kuja kumpekua mifukoni walimkuta na vitambulisho vya FBI na hivyo kulazimika kumuacha na kusema wamemfananisha na mtu waliyekuwa wanamtafuta.
Tizama video hiyo hapo
Tizama video ikiwaonesha waandamaji wakivamia Lori lilikatiza mbele Yao nchini Marekani.
Tizama video ikimuonesha muandamanaji mmoja akiwatoroka askari walio mkamata.
MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESERA ATOA SALAMU ZAKE ZA MWISHO KWENYE MSIBA WA NDG ROBERT SWAI.
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela ametoa salamu zake za mwisho Kwenye msiba wa mfanyabiashara maarufu mkoa wa Iringa.
"Leo tumemuaga marehemu Robert Swai amesafirishwa kwenda kuzikwa mkoa wa Kilimanjaro. Robert alikuwa mfanyabiashara na mzaliwa wa hapa kwetu Iringa"
HABARI ZA HIVI PUNDE.
Vibanda vilivyopo jirani na Stendi ya Msamvu Morogoro vinateketea Kwa Moto chanzo cha Moto huo inadhaniwa ni shoti ya umeme TIF MEDIA itakuletea tukio zima endelea kufuatilia kurasa huu.
JK na JPM wamewekana sawa kuhusu mfanyakazi wa Ikulu aliyekuwa akihudumia Tausi Tizama video ikionesha JK na JPM wakijibizana.