Zuri live

Zuri live Awesomely...Cutely....Fashionable

26/01/2022
18/05/2021
16/05/2021

MAMBO 50 YA KISAIKOLOJIA YATAYOKUSHANGAZA

Hii ni kwel hata k**a ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo.

1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa imetulia zaidi.
2. Sikiliza kwa makini namna mtu anavyozungumzia watu wengine akiwa na wewe, na ndivyo atakavyokuzungumzia wewe akiwa na watu wengine.
3. Ndoto zako zinabeba ujumbe mhimu sana. Asilimia 70 ya ndoto zako zina ujumbe wa siri.
4. Kwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane,
5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au muda k**a unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza.
6. Kunywa maji ya baridi sana mapema asubuhi husaidia mwili wako kufanya kazi vizuri hadi asilimia 25.
7. Kukumbatiana huondoa shauku, msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili.
8. Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo akilini mwa mtu huyo.
9. Watu wenya akili yenye ubunifu hupata shida sana kupata usingizi, hivyo hupendelea kuwa macho hadi usiku wa manane.
10. K**a utakataliwa na mtu ambaye kujali kwake ni muhimu sana kwako, basi maumivu utakayopata katika ubongo wako ni k**a maumivu ya mwili yanavyokuwa.
11. Mtu ambaye ametendwa au ameumizwa kisaikolojia huwa na hulka ya kukasirika pasipo sababu yeyote ya msingi.
12. Ukitaka kujua k**a mtu unaezumguza nae anapenda kusikia unayoyazungumza kunja mikono yako, k**a anapenda na anafurahia mazungumzo nae atakunja mikono pia.
13. K**a mtu anachekacheka tu bila sababu maalumu au anacheka sana, basi mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake, na k**a mtu analala kwa mda mrefu sana, mtu huyo ni mpweke.
14. Namna tunavyozungumza na watoto wetu ndivyo inavyokuwa sauti katika mioyo yao.
15. Mtu akitokea katika ndoto unayoota, basi ni kwa sababu mtu huyo kakuhamu (kakumiss).
16. Wa kwanza kuomba msamaha sikuzote ni mwerevu, wa kwanza kusamehe ni mwenye nguvu na wa kwanza kusahau ni mwenye furaha.
17. Mashairi katika wimbo uupendao ni ujumbe ambao unapambana kuufikisha mahala flani au kuwaambia watu flani.
18. Ukitumia mkono wako usiotumika mara kwa mara (wa kushoto kwa wengi) itakusaidia kuwa na ‘self control’.
19. K**a mwanaume atasimama akiwa ametanua miguu yake wakati akizungumza na mwanamke, ni ishara kwamba mwanaume huyo anampenda mwanamke kwa dhati.
20. Mwanaume akiwa hajisikii huru au akiwa hana amani, basi hushika kichwa au uso wakati mwanamke hushika aidha nywele, hereni, mavazi, mikono au shingo.
21. Siku zote fuata wazo linalokuogopesha zaidi, sababu hili ndili litakalo kujenga na kukuimarisha.
22. Aina mbili ya watu ambao hawatakuangalia machoni: mtu anaejaribu kuficha uongo na mtu anaejaribu kuficha mapenzi/ upendo.
23. Wanasaikolojia wanasema mtu anataka kumfurahisha kila mtu huishia kuwa mpweke zaidi.
24. Mtu anaekasirika kirahisi, kwa vitu vya kijinga, inaonesha kwamba anahitaji upendo/
kupendwa.
25. Sikuzote wanaoponda au kulalamikia wengine kwa wanayofanya, ndicho kile wanachofanya wao au wanatamani kufanya wao- elewa hili.
26. Kulia ni afya kwako. Huondoa bacteria wabaya mwilini mwako, hukupunguzia msongo wa mawazo na kukuongezea kinga ya mwili.
27. Saikolojia inasema: Huogopi kupenda, unachoogopa ni kutokupendwa (afraid of not being loved back).
28. Ukweli wa mambo: uko karibu zaidi na kufanikisha malengo yako k**a utayaweka kuwa yako pekee, yaani kuwa ni siri yako.
29. Saikolojia inasema: kujifanya mwenye furaha wakati una maumivu ni mfano wa kuonesha ni jinsi gani wewe ni mwanadamu mweye nguvu. (strong person).
30. Kabla ya kulala, asilimia 90 ya akili yako huanza kufikiri mambo ambayo ungependa yatokee.
31. Watu wanaotembea kwa hatua za harakaharaka huonekana kuwa wanajiamini na wenye furaha zaidi kuliko wanaotembea taratibu.
32. Watu wanaojua utani zaidi wanajua kusoma akili za watu pia.
33. Ubongo wa mwanadamu alielala unaweza kuelewa mazunguzo ya watu walio karibu eneo hilo.
34. Ukiwa uaongea na mtu, ongea huku ukitaja jina lake, hii itasaidia kupendwa zaidi na mtu huyo.
35. Kufuatana na uchunguzi wa wataalam, kumtamani mtu kingono hiushia miezi minne, zaidi ya hapo utakuwa ni upendo wa dhati.
36. Uchunguzi unaonesha kuwa watu wanaolala na mito mingi ni wenye msongo wa mawazo na wapweke.
37. Umbo la ubongo wako hubadilika kila unapojifunza jambo jipya.
38. Watu wakiwa katika kundi na ikatokea kuna kucheka, wale walio na mahusiano ya karibu zaidi hutizamana.
39. Kwa namna mwandiko wa mtu unavyokosa mpangilio au kuwa mbaya ndio kiashirio kwamba mtu huyo anafikiri haraka zaidi ya mikono yake inavyoweza kuandika.
40. Kuna watu wana alama ya asili ya kuwaamsha muda wanaotaka, hii ni kwa sababu wana homoni ya asili ya stress.
41. Haiwezekani kukaa na hasira dhidi ya umpendae kwa mda mrefu. Hasira inayofika siku tatu au zaidi inamaanisha kwamba hauna upendo.
42. Chakula cha kwenya ndege hakina ladha sana sababu uwezo wetu wa kutambua ladha hupungua kwa asilimia 20 hadi 50 tukiwa angani.
43. K**a urafiki utafikisha miaka saba, basi urafiki huo utadumu milele.
44. K**a mtu akiongea na wewe halafu kwenye maongezi akakungalia machoni kwa asilimia 60 ya maongezi basi umemboa mtu huyo. K**a atakuangalia kwa asilimia 80 basi umemvutia mtu huyo na k**a itafikia asilimia 100 basi mtu huyo anakutishia.
45. Katika sekunde tatu za mwanzo unapoamka, huwezi kumbuka chochote.
46. Uoga waweza kuua. Hii ni kwa sababu mwili huzalisha adrenalin ambayo ni sumu ikizidi.
47. Kawaida, mtu akianza kulia atakumbukaia matukio mengine yaliyomsikitish
a au kumchukiza ili kuongezea ubongo wake hamu ya kulia.
48. Unapopiga chafya, unakufa kwa sekunde. 49. Unapotekenywa hucheki, bali ni itikio na kupaniki (panic response). Huwezi jitekenya mwenyewe kwa sababu mwili hauhisi hatari yoyote. Kawaida enzi za zamani kutekenya ilitumika k**a adhabu.
50. Kukosa usingizi husababisha ubongo kutokumbuka mambo kiusahihi.

Share please.....

15/05/2021

Jibu la Nape Nnauye kwa Zitto Kabwe kuhusu A.C.T Wazalendo kutumia Helikopta kwenye kampeni.

Toa maoni yako

  hiyoJe wajua kwamba... pamoja na kuishi kwake majini..chura Ni kiume asiye kunywa maji..wala kutegemea kunywa maji ili...
02/02/2021

hiyo

Je wajua kwamba... pamoja na kuishi kwake majini..chura Ni kiume asiye kunywa maji..wala kutegemea kunywa maji ili aishi

Hakustahili haya..si makosa yake  Alikuwa na miaka 13 tu pale alipo ambukizwa virusi vya Ukimwi baada ya kuchangiwa damu...
02/02/2021

Hakustahili haya..si makosa yake

Alikuwa na miaka 13 tu pale alipo ambukizwa virusi vya Ukimwi baada ya kuchangiwa damu mnamo mwaka 1984..wazazi 117 kutoka shule aliyekuwa anasoma walitia saini waraka wa kutimuliwa kwake shuleni hapo..Tahadhari zilitolewa kukaa nae mbali na Magazeti yakahamasisha asaidiwe kuuwawa..Baadae familia yake ilikimbia mji baada ya kukoswa na mashambulizi na silaha za Moto...huyo ndo Ryan White..raia wa marekani kuwahi kunyanyapaliwa na jamii nzima kisa virusi vya Ukimwi

DUNIA YAONGEZA KASIWanasayansi wanataka kupunguza muda katika dakika kutoka sekunde 60 mpaka sekunde 59, hii imetokana n...
02/02/2021

DUNIA YAONGEZA KASI

Wanasayansi wanataka kupunguza muda katika dakika kutoka sekunde 60 mpaka sekunde 59, hii imetokana na kuwa dunia imeongeza kasi yake katika kujizungusha na hivyo kupelekea muda kwenda kasi zaidi. Sababu ya dunia kuongeza kasi imetajwa ni kuwa Barafu inayo yeyuka kwa kasi katika kizio Cha kaskazini mwa dunia.

Huyu ndo mwana michezo Frank Lentini....Mwanaume aliyekuwa na miguu mitatu....vidole 16...na uume mbili...Alizaliwa mnam...
12/01/2021

Huyu ndo mwana michezo Frank Lentini....Mwanaume aliyekuwa na miguu mitatu....vidole 16...na uume mbili...Alizaliwa mnamo may1889 huku Sicily ya Italia na Maisha yake yote aliishi K**a mtumbuizaji wa majukwaani...Katika maisha yake Ali oa ndoa mbili na Alijariwa watoto wanne.

.....wakati vita ya Kwanza ya dunia ikiendelea mwaka 1914..bila kutarajia vikosi vya Uingereza na Ujerumani vilisitisha ...
25/12/2020

.....wakati vita ya Kwanza ya dunia ikiendelea mwaka 1914..bila kutarajia vikosi vya Uingereza na Ujerumani vilisitisha mapigano hapo kukiwa na umwagikaji mkubwa wa damu huku kukiwa na majeruhi zaidi ya 40000...na wanajeshi wote waliamua kutopigana na Kusherekea sikukuu ya Christmas...wakishea sigara..vyakula..na wakacheza mpira na kuimba pamoja

05/08/2020

la Maisha #
JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI?*
NISIKIZE KWA MAKINI
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:

1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.

2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako.

3. Una marafiki wengi ambao ni k**a kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao!

4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi k**a wao hata k**a huna uwezo huo.

5.Unaongea zaidi ya kasuku lakini vitendo hakuna.Unatamani mafanikio tu moyoni lakini huna mipango ya kuyafikia

6.Maisha yako yote umeyaweka kwenye mitandao ya kijamii.Huna siri hata moja!Hivyo unalazimika kuishi aina ya maisha ambayo yataendelea kufanana na yale uliyoyaweka kwenye mitandao ya jamii kwa sababu ukibadilika tu watasema "umefulia"

7.Kila aliefanikiwa ni rafiki yako au utasema ni mtu wako wa karibu na unaishia kuwasifia tu na kupiga nao picha lakini hujifunzi kutokana na mafanikio yao na wala hutumii fursa hiyo ya kujuana nao.

8.Upo sahihi kila siku(you are always right). Huambiliki, hushauriki na kila wazo atakalotoa mwenzako basi si zuri ila la kwako ndio sahihi na utataka litekelezwe hilo hilo. Mwisho wa siku kila mtu anakukimbia hakuna wa kukuambia "hapa umekosea" kwa sababu ya ujuaji wako.

9.Hujifunzi maarifa mapya.Mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ni "Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe" Tena ni kwa sababu ilikuwa ni kwa ajili ya kujibia mtihani. Hujifunzi "life skills" wala ujuzi mwingine.

10.Unazurura mno mitandaoni bila faida. Kwako wewe intaneti ni kwa ajili ya kuchati tu na kufuatilia habari za mjini ambazo tangu umeanza kuzifuatilia hujawahi kuingiza hata shilingi moja, zaidi unateketeza tu hela yako ya vocha.
ISHUSHE hiyo mizigo k**a kweli inahitaji kusonga mbele

SOMA INAWEZA KUKUSAIDIAFAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU P...
26/03/2020

SOMA INAWEZA KUKUSAIDIA

FAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGEA AU KUSINYAA.
👇
Pelvic floor muscle Ni msuli ambao umeshikilia Uume ,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .

Msuli huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo.(K**a unavyoona kwenye picha. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;

Moja, Bawasili -kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa.

Mbili,Kuvimbiwa (constipation ) tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea.

Tatu,Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.

Nne, Kujichua/punyeto.Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka K**a matone ya mvua.Yani zinadondoka tu.

Ikiwa huu msuli wa pelvic floor Ni imara utakuta shahawa zinatoka kwa Kasi na kwa nguvu zinaruka mbali na kwa Presha kubwa .Basi msuli huu ndio hufanya hiyo kazi.

Ukilegea shahawa zinatoka kwa uvivu , zinadondoka tu chini.

Tano, Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani

Kwa upande wa Wanawake msuli huu ukilegea husababisha Uke kupanuka Sana na kuwa mlegevu.kubaini K**a anatatizo hili Ni kuingiza kidole ukeni alafu ajaribu kukibana akishindwa Basi misuli ya pc imelegea.

Waathirika wakubwa wa msuli huu wengi wao ni watu wa maofisini wanaokaa muda mrefu sehem moja, madereva wa magari na bodaboda, wanaojichua, wenye uzito uliopindukia, kisukari ,vidonda vya tumbo nk.
Suluhisho linahitajika mapema sana kabla msuli huo haujaaribika sana. Likiwa sugu litakusumbua.

Suluhisho; Tuma ujumbe kwenda 0658145988 stany tee mwema #

  code9 #JE! WE NI BINTI NA UNASUMBULIWA NA TUMBO KUBWA NA UNENE ULIOPITILIZA?Tatizo hili limekua likiwakumba wanawake w...
25/03/2020

code9 #
JE! WE NI BINTI NA UNASUMBULIWA NA TUMBO KUBWA NA UNENE ULIOPITILIZA?

Tatizo hili limekua likiwakumba wanawake wengi hadi kupelekea wengine kupata msongo wa mawazo na wengine kukosa kujiamini mbele za watu.

JE CHANZO NI NINI?

Chanzo cha tatizo hili ni deposition ya mafuta mwilini ambayo huwa yanajikusanya kwenye misuli ya tumbo.
Hii usababiswa na ulaji wa vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta na wanga hivyo kusababisha mwili kuwa na kiasi kikubwa cha mafuta.

TIBA YAKE NI NINI?

Wengi wamekua wakihangaika kutafuta tiba yake lakini hawakufanikiwa kwani njia pekee yenye uhakika ambayo inaweza kumaliza tatizo hili ni njia ya operation ambapo mafuta yote uondolewa.
Lakini zipo njia mbadala ambazo unaweza kutumia na uk**aliza tatizo hili japo kuna baadhi ya watu njia hizi huwa hazifanyi kazi kwao hivyo kuwapa changamoto zaidi.

Njia hizo ni
-Chukua juisi ya malimao pamoja na tangawizi na kitunguu swaum na utumie vijiko vitatu vya chakula asubuhi na jioni kwa wiki mbili mfululizo.

-Pia unaweza kuwa unakunywa maji ya uvuguvugu nusu lita asubuh na jioni mpaka pale utakapoona umefikia kiwango unachokitaka

-pia kupunguza ulaji wa mafuta kwa kujitahidi na kuhakikisha vyakula unavyokula vina mafuta kidogo sana na ya asili au hauli kabisa mafuta na badala yake utumie vyakula vyenye protini ndani yake kwa kiasi kikubwa.

# hutumia mikanda ila mikanda usaidia kwa muda kwani ukivua mwili urudia hali yake k**a kawaida hivyo mikanda haitatui tatizo bali inasogeza mbele muda wa kulitatua.

AHSANTENI SANA

EMOTIONAL PAINShare Like Comment Page HiiEmotional pain imekuwa tatizo kwa watu wengi punde wanapo kumbana na matatizo a...
25/03/2020

EMOTIONAL PAIN
Share Like Comment Page Hii
Emotional pain imekuwa tatizo kwa watu wengi punde wanapo kumbana na matatizo au wanapo hitaji kukutana na kitu fulani kigumu kwao na kusababisha watu wengi kushindwa kujizuia na hali iyo.

Emotional pain, ni maumivu ambayo ustahimili umekuwa mgumu sana, lakini zipo njia kadhaa ya jinsi gani mtu anaweza akajizuia na aina hii ya maumivu, mfano.

Mtu unatakiwa Usiwe mtu wa Kisasi, jitahidi kuwa mtu asiye Jali , pindi unapo kumbwa na tatizo ambalo moja kwa moja litakusababishia aina hii ya maumivu..mfano labda Umetendwa na mpenzi wako, jitahidi usiwe mtu wa kutaka kulipiza , nimbaya kwasababu unapo kuwa na maumivu rohoni baada ya kutendwa , utakapo weka kisasi kwamba lazima nilipize, na ikatokea kweli ukalipiza lakini ,ikatokea huyo ulie mlipiza hajali wala hashtuki , na kwambia maumivu utakayo ya pata ni mara mbili ya yale ya kwanza.

Pia Usipende kutafuta Chanzo/ sababu ya wewe kukumbwa na maumivu hayo, kwasababu endapo ukajua kasoro au chanzo, hakika utateseka sana na itakuwa vigumu kusahau , maana utakapo kuwa katika mazingira yeyote yanayo fanana na chanzo chawewe kuumia ,lazima utakumbuka na ukisha kumbuka utajawa na uwoga kisha kushtua tena maumivu.

Pia penda kuji changanya na watu, fanya vile vitu unavyo vipenda epuka kuwa peke ako mara nyingi hii itakufanya mara nyingi kuwa na furaha hivyo kupunguza hata kupoteza kumbukumbu ya chanzo cha wewe kuumia.

Kila mtu ana kasoro ,hivyo Usipende kujiona k**a wewe umekamilika kila kitu, kwasababu siku ikitokea umeumia rohoni , kisa kasoro fulani toka kwako na pindi utakapo kuja kuijua iyo kasoro yako, hakika itakutesa sana , na itakufanya upunguze kujiamini. mfano.

Unampenzi na itokee siku amekuacha ,na wewe unajua huna kasoro, alafu unakuja kuuliza kwanini amekuacha, anakwambia labda hujui mapenzi, amini hii utapuuza kwasababu bado unajiona ni bora, lakini itokee umempata mpenzi mwingine ,na yeye ana kuacha kwa sababu hiyo hiyo, sasa utakapo ijua kasoro yako utateseka sana.

  #FIRST NIGHT EFFECT.Hii Ni Ile Hali Inayotokea Pale Mtu Anaposhindwa Kupata Usingiz Au Kupata Usingizi Kwa Muda Mreefu...
25/03/2020

#
FIRST NIGHT EFFECT.
Hii Ni Ile Hali Inayotokea Pale Mtu Anaposhindwa Kupata Usingiz Au Kupata Usingizi Kwa Muda Mreefu Sana Akiwa Katika Mazingira Mageni .

Ulishawahi Kufika Ugenini Na Baadae Kupata Usingiz Ikawa Mtihani au Ukachelewa Kupata Usingizi , Sasa Wataalamu Wa Usingizi Wanasema Hii Ndiyo Huitwa First Night Sleep. Hii Hutokea mara kwa mara Mtu anaposafir Kwenda mahali Ambapo ni Mgeni.

Unapokua Katika Mazingira Mageni Ambayo Hujayazoea Wanasema Rapid Eye Movement (Niliwah izungumzia katika Post Ya Sleep Paralysis Kwamba ni moja Ya stage za Usingiz) Sasa Hio REM Huwa inachukua muda Mrefu sana Sababu Kwanza Ubongo Unakuwa Unajitahid Kuendana na Mazingira Lakini Pia Inakuwa Hivyo Sababu Za Kujilinda Tu.

First Night Effect Imewahi Kuwatokea Wat Weng Hasa Pale Wanapokua katika Mazingira Magumu. Wataalam Wa usingiz Wanaongeza Pia na Kusema Katika FNE Katika Pande Mbili za Ubongo Upande mmoja Wa Kushoto Huwa Unakua hauna Usingizi (Unakua active) Na Wakulia Huwa na Usingiz .

Wanaongeza na Kusema Huwa Ni kwaajili Ya kujilinda maana ubongi huwa unaaamua mahali ambapo ni pageni kwako Panaweza Kuleta hatar Yyte Hivyo Ili Kuweza Kupambana Na hali Ya hatari Itakayojitokeza . Wapo Wanaofanikiwa Kulala Vizur Usiku Huo lakin Kesho Yake huwa na Uchovu Sana . Jaribu ukifika Maeneo mageni Uzoee mazingira Ukague Chumba Ushike Vitu N.k

  code9 #HIZI NDIZO NJIA ZA ASILI ZA KUONDOA MADOA YALIYO TOKANA NA CHUNUSI USONI NA KWENYE NGOZI YAKOWengi wetu tuna zi...
25/03/2020

code9 #
HIZI NDIZO NJIA ZA ASILI ZA KUONDOA MADOA YALIYO TOKANA NA CHUNUSI USONI NA KWENYE NGOZI YAKO

Wengi wetu tuna zile dark spot zilizo tokana na chunusi eidha kwa kutumbuliwa au kuto kutumbuliwa chunusi ikiisha inaacha alama au doa jeusi.

lakini kabla ya kukupeleka kwenye matibabu kwanza tukwambie jinsi ambavyo una weza kuepukana na tatizo hili la madoa usoni

1) usitumbue / kuchezea kipele chako

iweke mikono yako mbali na kipele chako unapo kitumbua una paka kidonda na bakteria wana ingia hili kidonda kipone ni lazima ile ngozi ngumu ijifunge kwa juu na hakuna anae penda ile situation unapo itoa ile ngozi ngumu una baki la laini lakini yenye doa.

2) epuka jua

lile doa lilnalo baki lina weza kuji safisha lenyewe likaja kwenye hali yake ya kawaida endapo tu uta li treat vizuri kwa kuto kuexpose kidonda chako juani, ila k**a jua litakua rafiki yako basi litasababisha lile eneo kuzidi kuwa jeusi.

NJIA ZA KUONDOA WEUSI ULIOTOKANA NA CHUNUSI

Ya Limao

limao husifika kuwa na acid ambayo ina safisha ngozi haraka, sio tu kusafisha bali ina weza kuondoa kabisa madoa katika ngozi, limao ni jibu zuri katika matibabu mbali mbali ya ngozi k**a una chunusi pia husaidia kuondoa,

i)una weza kutumia maji ya limao kwa kukamua maji ya limao na kutumia pamba au vidole kupaka sehemu iliyo athirika kaa nayo kwa dakika kumi kisha ondoa na maji masafi, fanya hivi kwa muda wa week mbili utapata matokeo

ii) k**a una ngozi sensitive dilute maji ya limao kwa ku mix na rose water halafu fanya process k**a ya kwanza hapa



i)paka asali kwenye doa iache kwa usiku mzima osha uso wako asubuhi

ii) changanya asali vijiko viwili , aspirin 2-3 na maji kidogo – weka maji kidogo kisha tumbukiza aspirin zako changanya mpaka upate uji uji wa aspirin halafu changanya na asali ipake katika sehemu iliyo athirika na uache kwa dakika 15 kisha ifute.



Aloe Vera sio ina uwezo wa kufanya ngozi yako iwe soft bali pia ina uwezo wa ku- regenerate damaged tissue na ku boost healing proc

  #  Kwa mujibu wa klabu ya Simba, mazishi ya aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu hiyo, Asha Muhaji aliyefariki dunia leo Ji...
25/03/2020

#
Kwa mujibu wa klabu ya Simba, mazishi ya aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu hiyo, Asha Muhaji aliyefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam, yatafanyika nyumbani kwao Kijitonyama mtaa wa Uganda, kesho Machi 26, saa 10 Alasiri.

  #Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amepiga marufuku usafiri wa umma kwa siku 14 na kuruhusu usafiri binafsi pekee kutumi...
25/03/2020

#
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amepiga marufuku usafiri wa umma kwa siku 14 na kuruhusu usafiri binafsi pekee kutumika akitaka wapande watu si zaidi ya watatu

Address

Pawaga Road
Iringa

Telephone

+255621215456

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zuri live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other Magazines in Iringa

Show All

You may also like