13/05/2024
*JIMBO LA BUSANDA*
*MHANDISI MAGESA AKAGUA DARAJA LA ILANGASIKA-LWAMGASA*
MBUNGE wa Jimbo la Busanda Wilaya Ya Geita Mhandisi Tumaini Magesa amemtembelea na kukagua ujenzi wa daraja la llangasika liliopo kata ya Lwamgasa ambalo ni kiunganishi cha Uchumi wa wananchi wa kata ya Busanda, Lwamgasa na Nyarugusu.
Daraja hilo ambalo lilishindikana ujenzi wake zaidi ya Miaka 27 nyuma lakini msukumo wa diwani wa kata ya Lwamgasa Joseph Kaparatus na Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhandisi Magesa kupitia Rais msikivu Dkt.Samia Suluhu Hasani.
Kwa mujibu wa mkandarasi mjenzi wa daraja hilo la Ilangasika amesema kwa sasa ujenzi umefika asilimia 50 k**a kutakuwa na changamoto badi kufikia Agosti mwaka huu daraja hilo litaanza kutumika.