16/09/2022
CHEMSHA BONGO.! UKISHINDWA SHARE KWA WENGINE.๐
๐ฃUnahitaji Kununua Nguo Ya Shilingi Elfu 10 Dukani, Umekopa Elfu 5 Kwa Dada na Elfu 5 Kwa Kaka,
Ukaenda Dukani Ukauziwa Kwa Tsh. 9700 (Yaani Punguzo Ikawa Ni Shilingi 300) na Ukarudishiwa Hiyo Shilingi 300,
Sasa Ukaamua Kwenda Kupunguza Deni Lako Kwa Kaka na Dada Na Kila Mmoja Ukamlipa Shilingi 100,
Hivyo, Kaka Akabaki Anakudai Shilingi 4,900, na Dada Naye Akabaki Anakudai Shilingi 4,900,
Ikumbukwe kuwa Mkononi Utakuwa umebakiwa Na Shilingi 100,
Sasa Tufanye Mahesabu Kidogo,
Ukichukua Hiyo Shilingi 4,900 anayokudai Dada na Shilingi 4,900 anayokudai Kaka Kisha Ukaongeza Hiyo Shilingi 100 Ya Mkononi Inakuwa Jumla Shilingi 9,900 Badala ya 10,000
SWALI:
๐๐ฟJe, Shilingi 100 Imeenda Wapi?
SHARE KWA WENGINE..๐