Micshariki Africa tunadondosha mradi mpya tukishirikiana na Sela Ninja: Uchavushaji Elimu Ya Fedha
A Financial Literacy Album
#maudhuielimuyafedha
#financialliteracycontent
#financialliteracy
#financialfreedom
#Elimuyafedha
#uhuruwafedha
#FinancialEducation
Simulizi Ya Wimbo ‘Mke Dalali’ kutoka Kwa Shobi Mzawa 🇹🇿
Mke Dalali ni wimbo wa kipekee sana, unahitajika kusikiliza kwa utaratibu ili kung'amua ujumbe kusudiwa wa wimbo huo. Ubunifu huu umefanya wimbo huu kuwa wa kipekee sana. Karibu usome mahojiano yangu na Shobi Mzawa kuhusiana na wimbo huo.
- Iddy Mwanaharamu
https://micshariki.africa/simulizi-ya-wimbo-mke-dalali-kutoka-kwa-shobi-mzawa/
Who Am I? – The Vedette , A Rap Knight 🇰🇪
“Music takes a lot of time and money before you can even start getting your revenue back. It can take you years before you break even. Don’t believe the hype. My best advice would be to have at least a source of income that will help you finance your projects.”
- The Vedette
English - https://micshariki.africa/who-am-i-the-vedette-a-rap-knight/
Mimi Ni Nani? – The Vedette – Rap Knight
“Muziki huchukua muda na pesa nyingi kabla ya kuanza kurudisha mapato yako. Inaweza kukuchukua miaka kabla ya wewe kuanza kupata marejesho. Usiamini unachokiskia. Ushauri wangu bora ni kuwa na angalau chanzo cha mapato ambacho kitakusaidia kufadhili miradi yako.”
- The Vedette
Swahili - https://micshariki.africa/mimi-ni-nani-the-vedette-rap-knight/
Patrino On The Beat – Mtaalam maswala ya fedha na midundo -
“Patrino ni mmoja wa watayarishaji wa Hip Hop wanaopatikana handakini mwa Tanzania aliejikita kwa midundo ya Hip Hop. Mtayarishaji huyu ambae ana taaluma yake ya mambo ya fedha (banker) amejulikana sana kutokana na midundo yake yenye ubunifu na utubhutu. Leo tumepata fursa ya kupiga gumzo na kaka Patrick aka Patrino (On The Beat!).”
- MkoKeNya
https://micshariki.africa/patrino-on-the-beat-mtaalam-maswala-ya-fedha-na-midundo/