09/06/2023
π§π¨πππ‘π¬ππ‘π π¨π§ππππ§π ππͺπ ππ¨π₯πππ π¬π π ππ¦ππππππ πͺππ§π¨
Poleni sana wanafamilia wenzangu kwenye ukurasa huu,, nimepokea msg nyingi sana kuhusu taarifa za mchezaji huyu BRUNO GOMEZ wapi anakwenda majibu rasmi ni haya.
π¨ EXCLUSIVE
Bruno Gomez bado ni mchezaji halali wa Singida Big Star kwa sasa mwenye mkataba,,Hakuna klabu yoyote Kati ya Yanga na Simba ambao wamefikia dau la kuvunja mkataba na Singida Big Star hadi sasa,licha ya vilabu vyote kuonesha nia ya kutaka kumsajili.
π’Yanga wamefanya mazungumzo na Singida Big Star kwa ajili ya kutaka kumsajili kwa ajili ya msimu ujao lakini hadi sasa hakuna makubaliano yoyote ambayo Kati ya Yanga na Singida Big Star juu ya ada ya usajili wa Bruno Gomez.Licha ya mchezaji mwenyewe kuonesha nia ya kujiunga na Yanga SC.
:Katika orodha ya wachezaji ambao Yanga wanaowataka jina la BRUNO GOMEZ lipo.
π΄Makolo hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote Kati yao na Singida Big Star na Hakuna ofa wala dalili ya Makolo kumuhitaji Bruno Gomez kwa sasa.
Hiki ni kipindi cha tetesi tu na timu zote zipo kwenye mawindo ya kusaka wachezaji kwa ajili ya kuboresha vikosi vyao.Kama Makolo wataweza kufika dau la 185M ambalo Singida Big Star walinataka kwa BRUNO GOMEZ kumwachia basi kila la kheri mtani.
Nasikitishwa sana na baadhi ya waandishi humu Facebook ambao hawataki kuumiza vichwa kusaka taarifa kwa ajili ya mashabiki wao.Rai yangu kwenu tupunguze sana kuandika habari kwa mihemko kucopy na kupaste.
My name is Castor Yanga news π€