KING Movies Studio

KING Movies Studio Kwa habari na matukio yaliyojiri ndani ya Tanzania Na kwingineko kote Dunia.
(2)

21/10/2022

KUNA SIKU FEISAL ATAKUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA:

Kiwango cha soka kinachooneshwa na kijana huyu Feisal Salumu kinavutia na kudhihirisha kwamba yuko makini na kazi yake.

Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona kijana huyu akipikwa na kuwa kiungo hatari sana katika Klabu ya Yanga. Kiwango chake cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.

Chini ya kocha Nabi, ninaiona yanga ikibeba NBC, KOMBE LA CAF SHIRIKISHO, FA CUP, , CLUB world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote kijana hayu atapokezana hiyo tuzo ya dunia.

Kila la heri kwake.


🇹🇿

Maambukizo kwenye via vya uzazi (PID) imekuwa maarufu sana katika jamii yetu miongoni mwa wanawake wengi huambukizwa PID...
21/10/2022

Maambukizo kwenye via vya uzazi (PID) imekuwa maarufu sana katika jamii yetu miongoni mwa wanawake wengi huambukizwa PID.
Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID kwa kinamama.

MWANAMKE ANAAMBUKIZWA VIP PID
Kuna njia kadhaa ambazo hupelekea mwanamke kuambukizwa PID
📌Kutoa mimba (Abortion)
📌Maambukizo katika njia za uzazi Mara baada ya kujifungua
📌Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge, kitanzi, sindano n.k
🩸.Kukaa na infection k**a u.t.i na fangas sugu kwa mda mrefu bila kutibiwa

DALILI ZA PID NI ZIPI
Moja ya dalili za PID kwa mwanamke ni

🌷Kutokwa na uchafu mweupe k**a mziwa mtindi sehemu za siri sometimes inaweza kuwa rangi ya kijani,kahawia,brown hata njano.
🌷 Maumivu chini ya kitovu,nyonga na kiuno
🌷 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🌷 Kukosa hamu ya tendo la ndoa

MADHARA YA KUKAA NA PID PELVIC INFLAMMATORY DISEASE

Maambukizo kwenye via vya uzazi ni makubwa sana
🌱 Husababisha Kizazi kulegea
🌱 Husababisha polycystic ovarian syndrome na ovarian cysts uvimbe kwenye mayai
🌱 Hormone kushindwa imbalance
🌱 Husababisha Kizazi kujaa maji maji sometime unakuta chupi imelowa
🌱 Husababisha saratani ya shingo ya Kizazi
🌱 Husababisha mimba kuporomoka kabla ya mda (miscarriage)
🌱 Husababisha UGUMBA (infertility)

Ni Fact mwanamke mwenye PID hulalamika kutokunasa ujauzito kwa haraka hi ni Kwasababu PID huathiri kizazi na Utafiti unaonyesha Katika wanawake 8 wenye PID Mmoja anakuwa MGUMBA sikutishi Ila nimekupa Fact.

Chukua hatua mapema kumuona Daktari au Zungumza nami kwa whatsapp no: #0789699225 , kwa ushauri Na msaada zaidi ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako

06/06/2021

Ama kweli hujafa hujaumbikaaaa

04/06/2021
04/06/2021

➡️ G S M
Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohammed - GSM Juu ya ujio wa Yusuph Manji
"Kwa sasa mimi siwezi kusema chochote nini nitawafanyia Yanga SC ila ngoja tupate mfumo sahihi wa mabadiliko wa timu yetu ya Yanga ndipo nitawaonesha kwa mara nyingine mapenzi yangu kwa timu hii ya Yanga nini nitawafanyia".
"Najua Yusuph manji aliifanyia makubwa sana Timu hii wakati yeye alivyokuwa hapa kitu ambacho mimi bado sijafikia ila hainikatishi tamaa kuacha kuendelea kuisaida Yanga nitapambana hadi mwisho wa msimu huu kuwa karibu na timu yangu ya Yanga kwa kuwapa ufadhili wote unaohitajika",
"Ujio wa Manji Tanzania umenipa furaha sana na nilishawahi kuongeaga nae awali kabla ya kurudi nchini alinambia nia yake ya dhati kabisa kuja kutaka kuifanya Yanga iwe moja ya timu kubwa barani afrika baada ya kunipongeza kwa hatua ya mabadiliko tunayoendelea kuyafanyia ya kimuundo wa klabu yetu kwa sasa".
"Imani yangu atakuja tena Yanga na tutaunganisha nguvu kwa pamoja kuipeleka Yanga kule mashabiki na wanachama wote wa Yanga wanaopataka kuiona timu yetu inapostahili",

Address

Nzuguni
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KING Movies Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KING Movies Studio:

Share